Dada'z na coursework za kuanzia 30 hadi 40 BARABARANI, JE NIPO ALONE?

Ngoswe11

Member
Nov 19, 2010
87
24
Wapendwa wana JF,

Kwa muda mrefu nimekuwa nikitabika na hii kitu. Mara nyingi niwapo katika mizunguko yangu nikikutana na mdada yeyote yule aliyejazia jazia hamasa yangu kubwa huwa kumuangalia sehemu za nyuma ya makalio yake, na kama anatembea huku akitingisha basi mie huwa nasu-uzika roho yangu ile mbaya!

Kifupi navutiwa sana na wadada wenye mjengo/kaushungi kwa nyuma hasa coursework ya kuanzia 30 hadi 40. Swali:-

1. Ni mimi tu peke yangu ndio zuzu wa hali hiyo au tupo wengi tunapenda mizigo kama hiyo?
2. Je wadada wenye makalio makubwa wanatambua kuwa wanaume wengi wanapenda bunyanga kama hizo/ I mean hizo corse work za 30 to 40?
3. Nifanye nini ili niache kuwatamani wadada wenye makalio makubwa? Yaani every day naona huo ndio kama ugonjwa wangu.

NB: Naomba ushauri plse wakuu wote help me.

Asanteni.
 
bahati mbaya wengi wenye bouyancy na course work hizo mambo flan wabovu, jaribu mmoja af hutawatamani tena.
 
anataka atamani wenye cw za5 mpaka 15, inaonesha kijana una mda mrefu hujaona ndani....fanya uoe.
 
Unataka uache kuwatamani hao alafu uwatamani wapi?

Pamoja kuwa wana mvuto wanapotingisha hizo VIBRATION ZAO lakini nasikia kitandani ni WABOVU SANA wengi wao si lolote si chochot, kama ya kichina ndo balaa zaidi, sasa mie nataka nihamie kule kwenye coursework za 17 au 18 hadi 24 maana nasikia huko ndio mambo tamu zaidi na unacheza ngoma kadiri upendavyo hadi monile, sasa nifanyeje ili nisipende hii mizigo ya coursework 30 hadi 40?

Lizzy plse nipe ushauri wako!!
 
Simple...acha kutamani unaowatamani uanze kutamani hao wengine!Alafu maneno ya kuambiwa achana nayo..tafuta experience yako mwenyewe!
 
Hahahaha,ujue hlo neno 'coursework' lmenifurahisha sana. U no wat meen? 2po weng,lemie guec utakua msukuma mwenzang au m2 kutoka lakezone. Sasa kuhus cozwek,vp wenye 'incomplete'?
 
tafuta mmoja uoe ukijambiwa mpaka ukuta utikisike ndo utajua tiba ya ugonjwa wako
 
Hahaha, sawa bwana ila wapo wataaalamu sana wenye hizo coursework za 30 na 40. However, wengine tunapenda wenye coursework za 20 tu,, hatupendi makuuu bwana!:help:
 
Aisee mkuu wewe inaonekana kwanza una pepo la uzinzi hilo halina tatizo sana.... ila wasiwasi wangu ni hiyo hali yako ya kutamani vijungu kwani inaonesha kwamba wewe unapenda sana tigo... kwa hilo hata huyo pepo atakukimbia nenda kapate kikombe mara moja!!!
 
Jamani usiache
maana hayo ndo maumbile
Ya wanawake wengi wakiafrica..

Lakini usikodelee sana
Ibia ibia tu..kama hakuna aliegunduA
Haina neno...
macho hayana pazia..
 
Kwa mtaji huu, ngoja nikapunguze corse work yangu, ifikie 10.
 
Ni tamaa tu,tafuta mchumba oa mengine ni uoto/ujana tu.....hayo yanayokuzingua 40cw kwa sasa mengi yanatengenezwa..usipoangalia utaangukia pabaya
 
Back
Top Bottom