Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

Na hii ya kukimbia vikao vya bunge ambavyo anawajibika na kwenda huko kwenye biashara zake za unga, jamani wanachopata bungeni hakiwatoshi? Tambaa mbele bila kujua mauti ikikufika in sanda pekee unateremka nayo, mengine ni pata potea. Bora kujiishia na ya muhimu kwa maisha yangu na familia yananitosha.

hii kali, tena dhambi, kamuumiza mamaake mgonjwa kumbe anasafiri kiharamia, vikao kadoge
 
Mkuu Sangarara, nimekusikia, ila pia its a respetable professional mpaka kuna watu wanajipatia ajira rasmi tena very decent jobs kwa ajili hiyo!.

Hivi una taarifa enzi za vita kuu ya pili wanawake walikuwa hawaajiriwi jeshini, ilibidi hao wenye kazi hizo kukusanywa na nguvu na kupelekwa vitani kwa title za 'confort ladies"!. Baada ya kusainiwa The Universal Declaration of Human Right, 1948, ndipo kuwalazimisha wadada kutoa huduma hizo kukasitishwa na majeshi wakaamriwa wawaajiri rasmi kama askari wa kike!. Find out kwenye military book, hawa wadada wakisha ajiriwa ni lazima kwanza watumike kwa miaka mingapi ndipo waruhusiwe kuolewa!.

Kiukweli, kwenye biashara hii lawama na shutuma zote zinaelekezwa tuu kwa hawa wadada, lakini there are are customers ambao siku zote hawatajwi kabisa!. Biashara ipo na inashamiri kwa sababu wateja wapo na wanashamiri, cha ajabu, wanasumbuliwa tuu wadada, wateja wako ok!.

Tafuta uzi wangu kuhusu wabunge wapya wa viti maalum, wengi wamekuwa wakipata nafasi hizo kwa sifa kuu ya uwezo wa kutoa huduma hizo za kibinaadamu, na kuna wengine, amini usiamini, tangu wameingia bungeni, hawajawahi kuuliza swali wala kuchangia hoja yoyote!, wao ni huduma tuu!, angalau kuna baadhi yao ofcourse huduma lazima watoe, ila angalau hijitutumua kuuliza hata vijiswali na kuchangia vijimichango kwenye baadhi ya hoja!.

Pia tunatatizo kubwa la double standards humu, wakifanya biashara hiyo, nameless dada zetu ndio watajwe, wakifanya waheshimiwa...no wasitajwe tunawaheshimu sana!, tena mna bahati, ningeweza kumwaga humu listi ya mpaka mawaziri waliowahi!.

Kama hutajali naomba hiyo list yoote pm,please..
 
huyu mdada ni nouma, aliwahi fanya kazi hapo halmashauri ya tabora, walioingia kwenye anga zake waliipata.

Wala sishangai yeye kuuza njemu.
 
Usimsingizie mbunge, Sheria zetu za jinai ni "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliye iba ng'ombe!". Kosa la ndugu unamhusisha vipi Mhe. Mbunge?.

Nimjuavyo mheshimiwa huyo alikuwa akijihusisha na ile " professional" enzi zile mama yake akiwa mbunge!.
Linapokuja suala la kutetea maovu ya viongozi wa CCM humu JF huwa kuna watu wanavua utu wao na kujifanya wanyama.
 
Muunde tambwe.jpg ccm will never get a perfect leader!!!!
 
Kweli Nchi hii hatari sana, Dada wa Mbunge kakamatwa na madawa ya kulevya kwa hiyo? aandikwe aliyekamtwa ni nani, anaitwa nani na amekamatwaje na uhisiano wake na mbune au yeyote yule uje pale unapotaka kumuelezea mwenye tukio, ilivyoandikwa utafikiri Mbunge ndiye aliyekamatwa na madawa ya kulevya

mc muhina diwani wa tabora,kumbuka walikua pamoja uwanja wa ndege,walitofautiana flight tu,mmoja kaelekea italia,mwingine uturuki.kwa sisi wapelelezi lazima tuwe na question mark hapo.alafu mbona bungeni kaaga anaenda india kumuuguza mama,tiket inaonyesha kaenda italy?hapo kuna kitu bwana muhina.
 
Mkuu Pasco naomba ufunge hapo japo kidogo kwa kuwa the oldest profession niijuayo mimi siwezi kuitaja kwenye jukwaa hili.
Mi naitaja bwana! liwalo na liwe ujasiria mali mwili or commercial-"zinzing"!
 
Last edited by a moderator:
Taarifa imetangazwa pengine baadhi hamkufanyikiwa kuisikia au kuiona au ni mbinu za ushabiki tu
 
Prostitution? Then where is maadili ya viongozi wa umma in this stunk land?

Social engineering unaita prostitution? Acha hizo! Kwa taarifa yako, waheshimiwa wengi wamesomeshwa kwa shughuli hiyo na sasa wana nafasi muhimu kwenye jamii. Yazungumzie humu JF lakini ukiwa mtaani angalia kabla hujaropoka unaweza kujitafutia wabaya wengi.
 
Inasemekana mbunge aliaga bunge kuwa anampeleka mama yake kwenye matibabu India. Lakini gazeti linaeleza kuwa alienda nchi nyingine na si kwa kumpeleka mama yake. Je lipi sahihi? Kama hakumpeleka mama yake kwa matibabu kama alivyotoa sababu ya ruhusa bungeni, ni kwa nini alidangaya? Je bunge linaweza kuchukua taarifa hii na kumtaka mbunge athibitishe alienda wapi na sababu ya kwenda alikokwenda kama inawiana na sababu aliyoitoa wakati wa kuomba ruhusa?
 
Chezea MAGAMBA weye! Naogopa kuunga mkono hoja ya Lissu, hakuna ''veting" katinga ngazi zote ndani ya Magamba!
 
Back
Top Bottom