Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

Kwayu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
499
92
Dada wa mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh Munde Tambwe anayeitwa Khadija Tambwe alikamatwa jana na madawa ya kulevya ktk uwanja wa ndege wa JK Nyerere akiwa safarini kuelekea Uturuki.

Mpaka sasa polisi haijatoa taarifa ya tukio hili.

Ifahamike kuwa Munde ni mmoja wa wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa kamati ya bunge ya Nishati na Madini.

BAADAE MAGAZETINI:
 
heeeeeeeee,inamaana polisi wanareport baadhi ya matukio mengine ni siri.wamalinda masal ya magamba!!!
kweli uozo.#asante kwa kutujuza.
 
Usimsingizie mbunge, Sheria zetu za jinai ni "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliye iba ng'ombe!". Kosa la ndugu unamhusisha vipi Mhe. Mbunge?.

Nimjuavyo mheshimiwa huyo alikuwa akijihusisha na ile "the oldest profession" enzi zile mama yake akiwa mbunge!.

Pasco, with the respect your have earned yourself in JF community. It is high time you start distancing yourself from some issues.
 
Ndiyo maana na wasiwasi na hii ishu ya Zitto kwani naona kuna watu wengine wanafumbiwa macho wengine wanasimamiwa kidedea refer hata ishu ya Mnyika Singida lakini wakina Mwigulu wanatukana hovyo na mahakamani. Hawafikishwi
 
Kweli Nchi hii hatari sana, Dada wa Mbunge kakamatwa na madawa ya kulevya kwa hiyo? aandikwe aliyekamtwa ni nani, anaitwa nani na amekamatwaje na uhisiano wake na mbune au yeyote yule uje pale unapotaka kumuelezea mwenye tukio, ilivyoandikwa utafikiri Mbunge ndiye aliyekamatwa na madawa ya kulevya
 
Dada wa mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh Munde Tambwe anayeitwa Khadija Tambwe alikamatwa jana na madawa ya kulevya ktk uwanja wa ndege wa JK Nyerere akiwa safarini kuelekea Uturuki.

Mpaka sasa polisi haijatoa taarifa ya tukio hili.

Ifahamike kuwa Munde ni mmoja wa wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa kamati ya bunge ya Nishati na Madini.

Mkuu mbona jana nimeona kupitia TBC1 wadada wawili mmoja mkazi wa Shekilango wakiwa wamekamatwa Airport na Bange kibao. Kamanda Nzowa akatoa taarifa ya hao watu kukamatwa wakiwa wanaenda Uturuki na mibange yao.

Au siyo miongini mwa hao?
 
Usimsingizie mbunge, Sheria zetu za jinai ni "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliye iba ng'ombe!". Kosa la ndugu unamhusisha vipi Mhe. Mbunge?.

Nimjuavyo mheshimiwa huyo alikuwa akijihusisha na ile"the oldest profession" enzi zile mama yake akiwa mbunge!.

Mkuu Pasco naomba ufunge hapo japo kidogo kwa kuwa the oldest profession niijuayo mimi siwezi kuitaja kwenye jukwaa hili.
 
Last edited by a moderator:
Kweli Nchi hii hatari sana, Dada wa Mbunge kakamatwa na madawa ya kulevya kwa hiyo? aandikwe aliyekamtwa ni nani, anaitwa nani na amekamatwaje na uhisiano wake na mbune au yeyote yule uje pale unapotaka kumuelezea mwenye tukio, ilivyoandikwa utafikiri Mbunge ndiye aliyekamatwa na madawa ya kulevya

kiuandishi yupo sahihi, neno "dada yake na mbunge" limetumika kama kuvuta attention ya wasomaji bila hivo angeandikwa tu Khadija Tambwe akamatwa na madawa ya kulevya watu wengi wasingesoma maana mbona wanapkamatwa na madawa ni wengi tu!!
 
Usimsingizie mbunge, Sheria zetu za jinai ni "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliye iba ng'ombe!". Kosa la ndugu unamhusisha vipi Mhe. Mbunge?.

Nimjuavyo mheshimiwa huyo alikuwa akijihusisha na ile "the oldest profession" enzi zile mama yake akiwa mbunge!.

Anahusishwa kuonyesha kuwa uroho wa mafanikio uko katika hiyo familia ya hao kina dada!! Rushwa and madawa, they fly together!!
 
Juzi juzi alikuwa ameonekana Tabora, au ndio anakokusanyia hiyo ganja? Wekeni picha wadau kama mnayo
 
Wameshacheza na polisi magamba na hii itaminywa kimya kimya.

Dada wa mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh Munde Tambwe anayeitwa Khadija Tambwe alikamatwa jana na madawa ya kulevya ktk uwanja wa ndege wa JK Nyerere akiwa safarini kuelekea Uturuki.

Mpaka sasa polisi haijatoa taarifa ya tukio hili.

Ifahamike kuwa Munde ni mmoja wa wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa kamati ya bunge ya Nishati na Madini.
 
Huyu dada kakamatwa na bange walikuwa wawili walikuwa nanataka kupeleka uturuki...sidhani kama kuna uhusiano wowote na mbunge.
 
Pasco, with the respect your have earned yourself in JF community. It is high time you start distancing yourself from some issues.

For what purpose!!? so there are issues to discuss for some individuals while others should refrain on respect grounds!? be specif for knowing's sake! please
 
Back
Top Bottom