Dada zetu Weusi - una matatizo gani hadi mjichubue?

NAYAPENDA MAKANISA YALIYOSIMAMA IMARA KATIKA IMANI...... AMBAYO KWAYO HUWEZI KUTA UCHAFU KAMA HUU.....AMBAPO KWAO UTAKATIFU NI NDANI YA ROHO MPAKA NJE (mwilini)
BIG UP KAKOBE
 
Wanaume nao wa mikoa fulanifulani wamezidi kupenda vyeupe sasa wale weusi wahame mkoa? ni kupambana na makorogo ili wapate mng'ao nao wawe kwenye chati ya mkoa wao.kwa kweli madhara yake nahisi ni makubwa sana ila yanakuja taratiibu. kuna dada namjua alikuwa anapaka mkorogo akaacha akawa kama maiti kwenye last respect jamani, alijuta sana
 
Kipofu siyo lazima apofuke macho, kuna upofu wa akili. Hii naweza sema ni upofu wa akili. Ninachojua ni kwamba kila mtu hapendi kuwa yule anapenda awe zaidi ya yule, waigizaji wa kiafrica sisi tunachofanya ni kuwa kama yule siyo zaidi.

Kutokana na upofu wa kiroho, huna cha kumshauri mpaka akipata skin cancer ndiyo anakumbuka kumbe kuna Mungu? Upofu unaondoka anabaki kuuguza kidonda end of day israel anaondoka nae.

Ebu wanawake zinduka, siyo wakati kukopi na kupesti. kuwa wewe, simama kama wewe siyo yule!
 
Kipofu siyo lazima apofuke macho, kuna upofu wa akili. Hii naweza sema ni upofu wa akili. Ninachojua ni kwamba kila mtu hapendi kuwa yule anapenda awe zaidi ya yule, waigizaji wa kiafrica sisi tunachofanya ni kuwa kama yule siyo zaidi.

Kutokana na upofu wa kiroho, huna cha kumshauri mpaka akipata skin cancer ndiyo anakumbuka kumbe kuna Mungu? Upofu unaondoka anabaki kuuguza kidonda end of day israel anaondoka nae.

Ebu wanawake zinduka, siyo wakati kukopi na kupesti. kuwa wewe, simama kama wewe siyo yule!
binti una undugu na afrodenz?
 
Mh mkoroogoooooo bado network ina search tarudi kesho mzee
 
hawa wanaojichubuwa wanamkosowa mungu,kwamba wao wameubwa visivyo!!beside Black colour is beautiful and attractive!!!
no need of kujichubiwa,just kuweka ngozi safi to make it soft and look beautiful na ya kuvutia..
 
God saw all that he had made,
and it was very good. And there
was evening, and there was
morning--the sixth day. Genesis 1:31
 
Haka ni Kembamba sana, miguu gani kama MIWA?

Halafu mie ni Ngosha bana, si unafahamu kale ka ugonjwa ketu kama NGOZI Nyeupe zaidi, Ng'ombe wengi zaidi.

Halafu kms ambazo gari limeshatembea zitakuwa nyingi sana hadi sasa. Si unaona tu Wazee waliofaidi?

Kwa kuwa na Mzee wa Def Jam, huyu ashakuwa matawi. Akimuacha, vijana watamchukua kama walivyomchukua Mjapan wake.

Flaviana+Matata+n+Russel+Simmons.bmp
Flaviana+%26+Simmons.jpg


Yule jamaa yetu nafikiri atakuwa Arusha sasa maana Dar hawezi kujificha na Dar kuna wasoma Internet wengi kuliko Arusha.

Uzuri wa Arusha kuna Migomba na Kawaha kibao na kujificha huko ni rahisi. Dar ishakuwa Jangwa la Zege.
Sikonge hana ubavu wa kumpata shori kama huyu. Zake yeye sampuli za Fideline teh teh teh....

Oh btw Ngosha Sikonge, yule mtu wetu vipi yule? Bado unampigia mahesabu? Lol
 
Angalia Katoto ka Kisukuma kalivyo kazuri.

Na kwa taarifa yako ni kuwa kanatoka Bariadi kabisaaa.... Kitoto cha Kinyantuzu.

Kwenye picha ni cha Pili kutoka Kushoto na kilishiriki Miss Tanzania mwaka 2007 na kikakataa kuchakachuliwa(kikabana miguu) na Wazee wakakichakachua kwenye matokeo. Ni kitoto cha Kisukuma hasa na heshima juu. Kusalimia kinapinda magoti.....

Hapo Mami, utaachana na huyo Matata wako wala sijui nani wa Ze-Utamu, utajifanya humfahamu..............

misstz2.jpg


Miss Tanzania 2007: TOP FIVE: Kutoka kulia ni Richa Adhia, Victoria Martin, Lilian Abel, Hadija Sulla, Queen David.
 
nowadays sio wadada tu wanaojichubua...also men do it cjui ndo kuwaiga wenzetu wa drc! but this issue is serious jamani kwan as inavoonesha kwenye takwimu kuwa kansa za ngozi zimezid kuongezeka na zinasababishwa na hz cream zetu......
jaman lets be serious black is beauty mi mwenyew ni black but am proud of colour yng kwan inawavutia wengi hata wale walokwisha jichubua wanaitamani..... so 2ache jamani hayo machemical yana side effects sana uki compare na kitu unachotaka kupata
gday wanajamvi
 
Lakini inakuwaje kwa mfano baadhi yetu wenye nywele za kipilipili ambazo kuchana hadi uje na greda; mtu ukaamua kuweka texturizer nywele zikawa na mawimbiwimbi na si kipilipili tena je nako ni uduni au kujirahisishia mambo?
i wish kupata mwanamke anayelewa uzuri wake wa asili hasa kwenye nywele
 
hivi nyinyi mnaochichubua na kuentertain uartificial mtafikiri mtafikia wapi badilikeni jah create you hivyo purposely
 
Kuna faida na hasara za kujichubua kwa ufupi, faida 1.kuongeza urembo 2.kukuza uchumi 3.kuijiamini ukiwa na mpenzi wako nkHasara 1.kuaribu muonekano 2.disease attacks the skin very easy 3.kansa ya ngozi 3.kwa mwanamke,kukosa kuzaa nk NB hizi hathari ni wanaume na wanawake wanao jichubua. nawatakia kazi njema
 
Back
Top Bottom