DADA ZETU WAPENDWA:tunaomba tuwashauri

Kama mwanaume anampenda mwanamke kwa dhati haijalishi kama kampa mapema au la. Kwanza mjue wakati mwingine si suala la kujirahisisha. Labda nae ana ham zake je. Kumcheleweshea mwanaume pia si kigezo kuwa atakuona wa maana sana. Ni kweli mapenzi ni zaidi ya ngono lakini ngono ni sababu ya kuwafanya kuwa wapenzi

Ukweli ni kwamba mwanmume anataka kuhangaika na kutamanishwa kabla ya kupewa.ukimpa mara moja anakudharau na kukukosea heshima.Tena kama alikuwa anataka kukumega tuu ukikawia hatangoja atakwenda zake.So hii advice ya mwenye kulete mada ni kweli mtupu.
 
Ukweli ni kwamba mwanmume anataka kuhangaika na kutamanishwa kabla ya kupewa.ukimpa mara moja anakudharau na kukukosea heshima.Tena kama alikuwa anataka kukumega tuu ukikawia hatangoja atakwenda zake.So hii advice ya mwenye kulete mada ni kweli mtupu.
I second that:smile:
 
sugar hiii imenikuna mpenz ............hebu njoo utufafanulie? jamaa alikuwa na mshiko na wewe ulikuwa na shida au?

Mara kwa mara vinakwenda vyote kwa pamoja,jamaa kuwa na MSHIKO na bint kuwa na shida au TAMAA tu!:mad2::mad2::mad2:
 
You either Take it Or Leave It!lakini naomba mtupe nafasi ya kuwashauri.....!

inawezekana sio wote,au si wewe unaesoma hii thread lakini WENGI WENU wana udhaifu mmoja mkubwa sana na MDOGO SANA kwenye hii habari ya mahusiano.....!

ni hivi:
kuna vitu huwa mnavifanya kwenye mahusiano ''machanga'' mkidhani kwamba vinaweza kuwa hamasa ya kumshawishi mwanaume aendelee kujiweka!KUMEKUWA NA TABIA FULANI YA KUJIKABIDHISHA KI-NGONO KWA MWANAUME na kuifanya kama ''bid security'' ya hayo mahusiano.nimeangalia kwenye thread fulani lediiz kadhaa wameweka bayana kwamba wanapenda SEX sana tu!okay sijakataa.lakini naomba muibadilishe kidogo hiyo dhana!......

kuna vitu vingi sana wanaume wataviangalia ukiacha hilo jingine......!adhawaisi mtakuwa watu wakuhuzunishwa 24/7 na mtakuwa watu wa kuwalalamikia wanaume 24/7.

i mean hilo swala la sex lije baadae sana lakini lisigeuke kuwa MUHIMILI WA MAHUSIANO YENU!shauri zenu bwana mi nishawaambia.....!

ka-uzoefu kangu kadogo ambako hapa jamvini watu wengine wamekuwa ''akikakrash'' kwamba ooh sijui mwezi tu mara wiki tu kamenifunza mambo mengi sana!ukishampa mwanaume hiyo habari kwa maana kwamba ''asikuache'' imekula kwako!kama unampa kwa maana ingine sawa lakini sio hilo

TAFUTENI MIHIMILI MINGINE YA MAHUSIANO YENU JAMANI SIO HIO MAMBO!......

adios!

Ndo nimeiona leo sababu ya utoro wangu n i totaly agree with you T.
 
Ndo nimeiona leo sababu ya utoro wangu n i totaly agree with you T.
hahahaah!
hivi we kiumbe upo kweli?
mi nimeanza kuogopa kwamba HUENDA UISHAIMBIWA WIMBO wa tumpeleke
 
Mwanamke wa kutoka nae na mwanamke wa kumwonesha mama..... watu 2 tofauti kabisa!! kazi kwao!!!:glasses-nerdy:
 
Hahaaa,
hivi huyu dada alikuwa hajui namna ya kutumia condom au hata kumwambia mshikaji akojoe nje au kujua siku za period yake? i am sorry kwa kweli lakini simuonei huruma mwanamke mwenzangu. huyu alijitakia na kwa kweli yeye ndo mwenye matatizo.


unajua kuna mdada mmoja(MUNGU ANISAMEHE KWA KUONGEA UKWELI)...!yupo mwaka wa pili sasa hapo kwa mkandara....!ameumizwa sana tena sana!kila boifrendi alikuwa anampa mashine jamaa anapiga na mungu amemtunuku kizazi kizuri ALIKUWA HODARI WA KUSHIKA MIMBA!kila jamaa aliyeharibu alikuwa anakimbia!mwana dada akawa anatoa mimba tu!....

baada ya watu kama watano hivi kufanya the same thing dada wa watu AMECHOKA MBAYA!dah!na ameamua azae tu sasa!ni mdada mzuri sana na upstairs yuko biyee maanake alinipigia wani ya nne A-LEVEL ya EGM..!lakini ndo hivo amerisk sana kumtafuta mista right mwisho wa siku SHE BECAME A LOOSER!

TAFADHALINI SANA WANADAFADA ZANGU!muangalie mnavyofanya haya mambo
 
Nyani Ngabu, Kisusi et al. Ni wazi tutatofautiana kwenye hii topic, lakini Teamo (nilivyomuelewa) hakatai kuwa sex ni muhimu katika mahusiano ila anahadharisha wale (especially) women ambao wanafanya sex kuwa ndiyo muhimili wa mahusiano yao. Kwangu mimi dada ambaye hayuko tayari kutanua miguu yake kwenye mahusiano kabla ya kuolewa, hiyo ni moja ya sifa ya mwanamke anayefaa kuwa mke.

Seehmu kubwa ya watuu wanaopata shida kwenye ndoa zao ni wale waliokuiwa na tabia ya kufanya sex na wanaume/wanawake wengi kabla ya ndoa. That makes marriage life full of misery as you keeep compare your previous experiences Vs whta you are getting now. Kama partner wako hakufikia viwango vya yule wa zamani utatoka xsana nje ya mahusianao yenu.

Kuna wengine hawatanui kwa yule waliem-target atangaze nia, ila kwingine wanatanua
 
Hoja nzuri lakini mapenzi hayana formula,wanandoa msinyimane soma Wakorinto 1 sura ya 7.
Kwa wale dada zetu wanaotafuta wachumba kujirahisisha mno sio tiketi ya kuolewa na yule uliempa uroda,bana mapaja mpaka kieleweke.
Kwa dada zetu wenye ndoa ni jukumu lao kuimalisha usafi wa miili yao,mavazi yao na makazi yao,pamoja kula vyakula vya matunda,kufanya mazoezi ya mwili.
Vile vile punguza stresses na mabishano ya kila mara na mpenzi wako.
Mwisho ufukura kwa namna mmoja au nyingine unachangia kuua mapenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom