DADA ZETU WAPENDWA:tunaomba tuwashauri

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
You either Take it Or Leave It!lakini naomba mtupe nafasi ya kuwashauri.....!

inawezekana sio wote,au si wewe unaesoma hii thread lakini WENGI WENU wana udhaifu mmoja mkubwa sana na MDOGO SANA kwenye hii habari ya mahusiano.....!

ni hivi:
kuna vitu huwa mnavifanya kwenye mahusiano ''machanga'' mkidhani kwamba vinaweza kuwa hamasa ya kumshawishi mwanaume aendelee kujiweka!KUMEKUWA NA TABIA FULANI YA KUJIKABIDHISHA KI-NGONO KWA MWANAUME na kuifanya kama ''bid security'' ya hayo mahusiano.nimeangalia kwenye thread fulani lediiz kadhaa wameweka bayana kwamba wanapenda SEX sana tu!okay sijakataa.lakini naomba muibadilishe kidogo hiyo dhana!......

kuna vitu vingi sana wanaume wataviangalia ukiacha hilo jingine......!adhawaisi mtakuwa watu wakuhuzunishwa 24/7 na mtakuwa watu wa kuwalalamikia wanaume 24/7.

i mean hilo swala la sex lije baadae sana lakini lisigeuke kuwa MUHIMILI WA MAHUSIANO YENU!shauri zenu bwana mi nishawaambia.....!

ka-uzoefu kangu kadogo ambako hapa jamvini watu wengine wamekuwa ''akikakrash'' kwamba ooh sijui mwezi tu mara wiki tu kamenifunza mambo mengi sana!ukishampa mwanaume hiyo habari kwa maana kwamba ''asikuache'' imekula kwako!kama unampa kwa maana ingine sawa lakini sio hilo

TAFUTENI MIHIMILI MINGINE YA MAHUSIANO YENU JAMANI SIO HIO MAMBO!......

adios!
 
i will be back............lakini hii imetoka moyoni mwako kabisa?
 
Well Noted Teamo ..imeingia na imekaa moyoni kaushauri katamu sana ngoja nikashushie na nanihii..:A S tongue:
 
Sasa Teamo kule si tumesema vitu ambavyo tunapenda ndo tukaweka hiyo chakula ya mwili mwanawani? Lakini umesema ukweli pia kuna wadada wanachukulia sex kama mhimili wa uhusiano. asante kwa ushauri kaka teamo
 
i will be back............lakini hii imetoka moyoni mwako kabisa?

kwa wadada waelewa hawawezi kufanya sex kama mhimili wa mapenzi/mapendo, kuna vitu vingi sana zaidi ya sex pamoja na hayo na sex pia ina nafac yake, kama mie kuanzia naanza urafiki na mr nilikuwa free kwake, mambo ya kumwambia leo nina hamu na sex ilikuwa jambo la kawaida kabisa na yeye alikuwa analitatua haraka inavyopaswa then tunaendelea na majadilino mengine ya kimaisha, cjui nipo nje ya mstari au laa, cjui nimeeleweka...khaaa
 
Dogo leo hujaamka na hang'over sijui? This is a very useful post for today, anayekataa ni mchawi tu!
 
unajua kuna mdada mmoja(MUNGU ANISAMEHE KWA KUONGEA UKWELI)...!yupo mwaka wa pili sasa hapo kwa mkandara....!ameumizwa sana tena sana!kila boifrendi alikuwa anampa mashine jamaa anapiga na mungu amemtunuku kizazi kizuri ALIKUWA HODARI WA KUSHIKA MIMBA!kila jamaa aliyeharibu alikuwa anakimbia!mwana dada akawa anatoa mimba tu!....

baada ya watu kama watano hivi kufanya the same thing dada wa watu AMECHOKA MBAYA!dah!na ameamua azae tu sasa!ni mdada mzuri sana na upstairs yuko biyee maanake alinipigia wani ya nne A-LEVEL ya EGM..!lakini ndo hivo amerisk sana kumtafuta mista right mwisho wa siku SHE BECAME A LOOSER!

TAFADHALINI SANA WANADAFADA ZANGU!muangalie mnavyofanya haya mambo
 
Dogo leo hujaamka na hang'over sijui? This is a very useful post for today, anayekataa ni mchawi tu!
hehehehe!
mkuu nimekutana na mdada ambaye kwakweli anahitaji kufanyiwa NOVENA!SHE IS FINISHED!...totally DONE
 
kwa wadada waelewa hawawezi kufanya sex kama mhimili wa mapenzi/mapendo, kuna vitu vingi sana zaidi ya sex pamoja na hayo na sex pia ina nafac yake, kama mie kuanzia naanza urafiki na mr nilikuwa free kwake, mambo ya kumwambia leo nina hamu na sex ilikuwa jambo la kawaida kabisa na yeye alikuwa analitatua haraka inavyopaswa then tunaendelea na majadilino mengine ya kimaisha, cjui nipo nje ya mstari au laa, cjui nimeeleweka...khaaa

GOD have mercy on them
 
Vitu muhimu kwetu kwanza ni Upendo wa kweli Sex ni matokeo tu binamu..
Ukiwa na upendo wa kweli kwanza ..
Utamjali mwenzio
Utampenda mwenzio
utamuheshimu mwenzio
Utamuona wa maaana kuliko wengine wote
na hayo mengine yanatokea..

lakini kwenye Kparty moja nilisikia mama mmoja anatudanganya sex ndio iwe ngao ya ndoa /mahusiano yetu:lie:
 
hii pointi muhimu sana ................Wanawake wengi hivi sasa wanaamini mahusiano = ngono na anatumia hiyo ngono kama silaha yake katika uhusiano vile vile.

ukimfurahisha ngono babu kubwa, ukimkasirisha kidogo, siku hiyo hupati hata kama una hamu.

kwa ufupi uhusiano wote unakuwa centred kwenye ngono na ukitoka nje ya hapo tu hamna kitu.
 
kwa wadada waelewa hawawezi kufanya sex kama mhimili wa mapenzi/mapendo, kuna vitu vingi sana zaidi ya sex pamoja na hayo na sex pia ina nafac yake, kama mie kuanzia naanza urafiki na mr nilikuwa free kwake, mambo ya kumwambia leo nina hamu na sex ilikuwa jambo la kawaida kabisa na yeye alikuwa analitatua haraka inavyopaswa then tunaendelea na majadilino mengine ya kimaisha, cjui nipo nje ya mstari au laa, cjui nimeeleweka...khaaa

umeeleweka best, ila teamo nafkr anazungumzia wale wakina dada ambao wanafikra kwamba mwanaume anachohitaji ni sex tu! yani hawakumbuki kama kuna vitu vingine kati ya mwanaume na mwanamke, na ndio utakuta hata wanafundishana mambo ya ajabu kama yale ya eti nimpe mpenzi wangu tigo asiniache!

Teamo ebu tueleweshe nn wanaume wanapensa aprt from ngono?
 
unajua kuna mdada mmoja(MUNGU ANISAMEHE KWA KUONGEA UKWELI)...!yupo mwaka wa pili sasa hapo kwa mkandara....!ameumizwa sana tena sana!kila boifrendi alikuwa anampa mashine jamaa anapiga na mungu amemtunuku kizazi kizuri ALIKUWA HODARI WA KUSHIKA MIMBA!kila jamaa aliyeharibu alikuwa anakimbia!mwana dada akawa anatoa mimba tu!....

baada ya watu kama watano hivi kufanya the same thing dada wa watu AMECHOKA MBAYA!dah!na ameamua azae tu sasa!ni mdada mzuri sana na upstairs yuko biyee maanake alinipigia wani ya nne A-LEVEL ya EGM..!lakini ndo hivo amerisk sana kumtafuta mista right mwisho wa siku SHE BECAME A LOOSER!

TAFADHALINI SANA WANADAFADA ZANGU!muangalie mnavyofanya haya mambo

Mweeh Teamo huyu simjui kweli huyu eeee?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom