Dada zetu sasa mmezidi!!!

Tatizo wanafikiri ili
mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu
u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa?
Wasingethubutu kukaanga nywele.

The end justify the means.
 
Hupendi tambaa.......hakikufai sepaaaa!! Unalalamika nini sasa?? Ukiona unaumia macho kuwaangalia, vaa miwani mbao....over!
 
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!!

Kucha - Bandia!
Macho - Bandia!
Nywele - Bandia!
Meno - Bandia!
Rangi - Bandia!
Makalio - Bandia!
Maziwa - Bandia!
Bikra - Bandia!

Shida yote ya nini hii!!

mwanzisha mada hiyo id yako mmmmmhhhhh :thinking:
 
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!!

Kucha - Bandia!
Macho - Bandia!
Nywele - Bandia!
Meno - Bandia!
Rangi - Bandia!
Makalio - Bandia!
Maziwa - Bandia!
Bikra - Bandia!

Shida yote ya nini hii!!

Na bado ndo inaanza
 
Si ndio mnavyotaka, vizuri vizuri tu. Mwanamke akiwa ana mapungufu fulani ya uzuri basi mnaanza kuangaza kwengine sasa hii ni kuwasaidia mpate everything under one roof.

Madame X: avatar yako bandia yaani inatisha badala ya kupendeza. Samahani kama ni picha yako ya ukweli
 
Ushuzi bandia.

Nasikia kuna vidonge vya flavor unayotaka, ukimeza ukijamba ni flavor baadhi yao tayari wanatumia.
 
Back
Top Bottom