Dada zetu sasa mmezidi!!!

Wewe utakuwa sio wa bandia maana mashairi uliyoweka hapa si ya bandia!

Labda nywele tu ndo sometime najaladia tena za mitindo ya kwetu Afrika sio vinginevyo. Vingine vyote asilia na bado mrembo kweli kweli. Ukitaka bandia wapo tele, ukitaka natural hao nao ndio wengi zaidi kwa hiyo ni uchaguzi wenu wenyewe mnachagua bandia kila kitu, kwani we kucha za kweli na za kubumba huzioni? Kope za kuchonga na za ukweli huwezi kuzitambua? Acheni kulia lia hapa mnachagua wenyewe.
 
Wasi wasi wote wa nini, ngoja niseme ukweli,
mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali,
uzuri wangu wa kuzaliwa, maringo kwetu kawaida.
Nikitembea mtakubali, nikicheka mtakubali,
Nikiimba mtazimia eeeh wazi wazi.
Hamuwezi kunyamaza eeh, hamuwezi kunyamaza eeeh,
Hamuwezi kunyamaza eeeh, mpaka mseme kila sikuuuu.


Digna you have really made my day!!
Uzuri wangu wa tausi mama, Maringo kwetu kawaida,
Wenzangu wananisengenya, Nikipita mara hubonyezanaeeeee!!

Wamesahau kazi zao, Kutwa nzima kunichunguza,
Maringo kwetu kawaida, hamuwezi Kunyamazaaeeeeee!!!!
 
katika vitu vyote vya bandia napenda matiti bandia,sema huku kwetu sijui wanauzia wapi izo dawa?
 
Hata kazi bandia,safari bandia,ofisi bandia,ndugu bandia na mambo mengi wanayoyafanya ni ya bandia
 
kuna dada mmoja nilimuona ana nyusi za kope kama kibrashi cha chachandu...
 
mimba bandia

sister umenikumbusha story moja,dada mmoja wa manzese alikua kwenye uhusiano wa kimapenzi na mchina,mchina akawa anamwambia kwamba anahamu na mtoto na atakaye mzaria atampa mali za kutosha,demu akamtegea mara akaramba mimba mtoto alipo zaliwa kamaliza wiki akafa demu akajua mali kazikosa akawa analia msibani "uuuwii,nilijua tu kama mtoto wangu hata dumu maana nyie wachina mmezidi kwa vitu feki hadi mtoto faki aiwezekani mwanangu wik 1 afe,oooh we ulinipa mimba fek.teh,teh,teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom