Dada Zetu na Lift

Mbona usiku ndio wanawake wanajipanga wengi? sasa uje na gari si ndio room hiyo tayari hata bei inashushwa unajibebea mzigo na HIV dk 5 unamshusha, wala hela haitoshi kwa supu anatafuta mwingine
 
Wanawake wanapenda sana vitu vya bure!!!!!!!yuko tayari "atafunwa" kwa kununuliwa lunch, kwa hili la lift ndio kabisaaaaaaaa...wengi hujikuta wameshaliwa bila kutongozwa!

Wanaliwa sana kuliko maelezo na wauza a chipsi, makondakta...... ila si lazima hutoe lift kufanya ufska bwn. mwanaume anayetumia gari ka ngao ya kushinda udhaifu wa binti ni dhaifa ka serikali ya jk
 
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....

Kwa uzoefu wangu wakaka kama wewe huwa mnasimama pale tu unapoona kuna wadada lakini kama kituoni wamesimama kina mchanganyiko husimami maana unajua watapanda watu tofauti, kumbuka kuna kinadada wengi siku hizi wapo strategic unaweza kumpa lift na bado akaonyesha ushirikiano kimaongozi lakini si kwamba ni kicheche ila anakusoma maana angedengua ungeponda (mwanzo wa mahusiano mazuri si lazima lugha ya mawasiliano iwe nzuri, kweli umempa mtu lift alafu akuchunie tena utajisikiaje) pia japo sikatai kuna ambao wanashobekea wenye magari.
 
ulikuwa hujui kwamba dawa ya mwanamke ni gari? wewe unawaonaje makonda wanavyowaharibu watoto wa shule...................
 
Wanadada wamelogiwa nini sijuwi kwenye mkoko hata ukawa kimeo .nakumbuka kabla sijaoa nikiwa nyumba ya kupanga nilinunua ka corola 100.mbona wadada wote pale ndani niliwamaliza
 
Hahahaha aisee Preta umenikumbusha mbali sana lol......mie pia nashangaa wakisema wadada wanapenda lift khaaa.....ni mwendawazimu peke ake ndie anaweza kukubali lift ya mtu asiyemjua......waje Yaeda kweli waone vile wadada ukijifanya tu kusimamisha gari wanavyotoka mbio lol......huko wanakokubali hakuna wafuga kobe ndio maana!

watu nachezeiya kobe.......
 
mh.....................

An Excellent RoAd sentence
Written on National Highway:
Go Slow,
Unless U Have An Urgent Appointment With God!
kuna gonjwa lile jaman, kumbukeni hao mnaowamega nyie kirahc hivyo sababu ya mikoko yenu wanamegwa na wengine pia wenye magari kama nyie.................

halaf acheni unaniliu na nyie.................

QUOTE=Chinga boy;4502956]Wanadada wamelogiwa nini sijuwi kwenye mkoko hata ukawa kimeo .nakumbuka kabla sijaoa nikiwa nyumba ya kupanga nilinunua ka corola 100.mbona wadada wote pale ndani niliwamaliza[/QUOTE]
 
Mtoa uzi anazungumzia hatari kwa mpewa lift lakini asisahau hatari pia kwa mtoa lift. Wapo waliotoa lift kwa akina dada na mbele ya safari wakaishia kuporwa magari au fedha.
 
kweli bwna, kuna mmoja tupo nae alishamegwa kwa lifti dah mbaya sana sana. hata sijui shida ni nni.

unaingia unakaa kwenye siti hujiulizi wamekaa wangapi na akikushusha ww atampakia nani.
My Dear Graca, ahsante kwa huu ushuhuda. We hujawahi kudhurika na huu ugonjwa?

Gari ni PUSSY Magnet....
I like this post.
 
Last edited by a moderator:
Amin Amin nakuambia mwaJ, Mwanamke akiona mwanaume anaendesha gari hata kama ni DFP, SU, STK akapewa lift akakubali.......... Ni uamuzi tu wa dereva akafanye naye nini?

Wanawake wengi wamelogewa GARI!! Period!!
hubby inaonyesha una experince na lifts! morning hubby!
 
jaribu kutoa lift Yaeda uone ka kuna mtu atapanda......nani wa kunyonyesha kobe......

Hivi na huko ipo hiyo eenh?!.......huku mbeya tajiri mmoja maarufu ndio zake hizo,kashanyonyesha vitoto kadhaa vya shule na vyuo na vyote vikishasema tu hiyo siri,vinakufa!!
 
Amin Amin nakuambia mwaJ, Mwanamke akiona mwanaume anaendesha gari hata kama ni DFP, SU, STK akapewa lift akakubali.......... Ni uamuzi tu wa dereva akafanye naye nini?

Wanawake wengi wamelogewa GARI!! Period!!

Usifanye hitimisho kwa wanawake wote. Mbona hata mimi natoa lift kwa wanaume ina maana wamelogezewa gari? Acha imani potofu zisizokuwa na ukweli ndani yake. Unajua kutoa lift ni hiari? Once unampa mtu lifti halafu unaanza kumnanga ndiyo nini? Magari yenyewe makaburi hayo! kha!
 
Kutoa lift ni jambo la kawaida sana na mimi ningeunga mkono kama kungekuwa na sheria ya kuwa hakuna mtu kupita kwenye gari yupo peke yake toka mbezi mpaka posta wakati huo watu wanakanyagana kituoni. Binafsi nawapa wachache sana kwasababu naona aibu kumpa mtu lift alafu anakataa. Pili ninaowapa lift nakuwa mgumu kuwatokea japo kuna wawili hivi wanakidhi viwango vyangu ila naogopa wasijesema hivi unasema hivi kwasababu ya lift yakoi? Mwisho binafsi sijiskii raha ninavyotoka home naenda ofisini napita 15Km nikiwa peke yangu na watanzania wenzangu nawaona kwani najua adha ya daladala hasa mvua inaponyesha. So kutoa lift na umalaya havihusiani ni tabia ya mtu tu.
 
Usifanye hitimisho kwa wanawake wote. Mbona hata mimi natoa lift kwa wanaume ina maana wamelogezewa gari? Acha imani potofu zisizokuwa na ukweli ndani yake. Unajua kutoa lift ni hiari? Once unampa mtu lifti halafu unaanza kumnanga ndiyo nini? Magari yenyewe makaburi hayo! kha!
Nadhani ungepitia mabandiko yangu ungenielewa. Ukisoma vizuri hapo kwenye red utajua sikumaanisha wote.




Amin Amin nakuambia mwaJ, Mwanamke akiona mwanaume anaendesha gari hata kama ni DFP, SU, STK akapewa lift akakubali.......... Ni uamuzi tu wa dereva akafanye naye nini?

Wanawake wengi wamelogewa GARI!! Period!!

Mshiki hebu soma vizuri hapo kwa red



Kifupi ukipewa lift na usiyemjua afu ukakubali.......... iwe Yaeda, Ngaramtoni, Machame, Kinondoni au Mwanza.... Kishaliwa huyo!

Ni sawa na mhudumu wa Bar anapompa mlevi namba yake ya simu, ujue kishakubali kumvulia pichu.
kweli bwna, kuna mmoja tupo nae alishamegwa kwa lifti dah mbaya sana sana. hata sijui shida ni nni.

unaingia unakaa kwenye siti hujiulizi wamekaa wangapi na akikushusha ww atampakia nani.
Umeona eh?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom