Dada zetu mnashangaza.

GITWA

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,489
1,687
Ukiwauliza dada zetu wangependa kuolewa na mwanamme wa aina gani? Wengi watakujibu kuwa wanapenda mwanamme mwenye msimamo thabiti kwenye maamuzi yake. Lakini cha kushangaza ni kuwa pindi wanapoolewa hujitahidi kuwatoa waume zao kwenye misimamo yao.

  1. Kinachonishangaza ni kwa nini hawawapendi wanaume wasio na msimamo ili wapate kuwageuza wapendavyo? Maana pindi wanapoolewa na wenye msimamo na kuanza jitihada za kuwabadili hapo ndipo migogoro ya ndoa inapoanza.
 
Kama mwanaume unabadilishwa msimamo ndani ya ndoa basi ulikuwa huna msimamo tangu awali. Maskini wadada bado wanakosa wanaume wenye misimamo.
 
Tatizo hapo ni miziziology yaani wanaweka mizizi mpaka mganaga naye unakuta
kashaanza kufanya featuring hasa kwenye kuingiza dawa ili ifanye kazi
 
Women spend their entire life trying to change their husband! And guess what? At end! They start complaining he is not the men I married!!
 
Hawa watu siku zote huwa hawajui wanachokitaka. Ukiwa na msimamo nomaa, ukiwa huna ndiyo kabisaa.
 
This thread is plagued with over generalizations, unfounded and gross ones at that.

Granted, I suspect there is a percentage of women - and men to be sure- befitting the above (original post) description. But this makes the notion that "dada zetu wako hivi" ridiculous, firstly because there is no evidence provided that this is the dominant behavior, but also because there is no evidence provided that this domain is the monopoly of "dada zetu".

Unless something more palatable and concrete is provided, I may be correct in saying the subconscious mischaracterization by the travails of "mfumodume" will stop at nothing to demonize women, even when there is absolutely no justification to support the outrageous assertion forwarded.
 
Inategemea na msimamo wenyewe ni wa mambo gani?misimamo mingine haina kichwa wala mkia, ptuuuuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom