Dada zetu (Mamiss & Wanamziki) na Vibabu

Status
Not open for further replies.
Ni upendeleo wao binafsi, nadhani wazee huwa wana care zaidi sisi young men we r a bit rough so kudos to wababu :lol::lol:
 
kama mleta mada kalambishwa ban basi haina haja ya kuchangia hii topic iondolewe
 
Anyway I guess your right...
yaani niko tayari ku sapport mtu malaya kuliko mtu mwenye "Madharau" ya hali ya juu..
mtu ambae anatukana waafrica wenzake walio njee.. sababu tu anajiona yeye bora.. Labda niliingia kwenye hiyo blog siku mbaya
na sjarudi tena.. ..

anyway blog ya Lizzy hii hapa..
alitolewa hata kwenye MIchuzi blogsport..

WWW.MALKIASUN.BLOGSPOT.com

Huyo Mange mpotezee,ndo wale ambao hata aende shule ya wapi anaongozwa na tumbo lake.

I love and admire Lizzy even more...i love her blog and its another place to hang out...thanks dearest...!!
 
Huyo Mange mpotezee,ndo wale ambao hata aende shule ya wapi anaongozwa na tumbo lake.

I love and admire Lizzy even more...i love her blog and its another place to hang out...thanks dearest...!!

No probs..
yaani hapa nilipo nime duwaaa..
I hope umeona hii..

Breaking News: Regia Mtema is No More! Jukwaa la siasa

I'm speechless.. I can't believe this..
 
No probs..
yaani hapa nilipo nime duwaaa..
I hope umeona hii..

Breaking News: Regia Mtema is No More! Jukwaa la siasa

I'm speechless.. I can't believe this..

Acha tu, nimechat nae siku sio nyingi,tukakubaliana nikifika Dar tuzungumze, ni rafiki yangu mzuri na nimefanya nae kazi huko nyuma.....yaani sitaki kuamini naona kama naota....Life is short dear..!!
 
List ni ndefu kama kuna mwenye data anaweza mwanga hapa:
  1. Jacqline Vs Reginald M
  2. Rita Paulsen Vs Reginald M
  3. Mwanvita Makamba Vs............
  4. ..........................................
  5. ............................................
  6. .......................................... etc etc
Hivi sababu ni nini?

Are you serious>? Yaani hujui sababu ni nini? Hujiulizi kwanini hao Mamiss hawatoki na vibabu vya Mbagala Kibonde Maji au Vigwaza kwa Zoka? PESA baba PESA. Mwanaume pesa, ndevu hata mbuzi anazo! Kalagha baho!
 
una maneno kama kitabu wewe...
 
Are you serious>? Yaani hujui sababu ni nini? Hujiulizi kwanini hao Mamiss hawatoki na vibabu vya Mbagala Kibonde Maji au Vigwaza kwa Zoka? PESA baba PESA. Mwanaume pesa, ndevu hata mbuzi anazo! Kalagha baho!

Hahahahaha...LOL..:)
 
hahahahahahahah lol... tell you what Lizzy (yap DOTO) has a better I mean way better blog than Manges..
Marrying to a white man.. WTF?? anyway I hardly go in her blog.. Full of crap to be honest..

Kurwa you should be my PR manager. . . Lolzz

@Dearest pole sana kwa msiba jamani. Mi mpaka sasa hivi bado nimezubaa. .
 
Vinajua kulea
Afu hamna mikiki mikiki

there is more to this than we are prepared to admit - vibabu vyenye fwedha vinahitajiwa for the obvious purpose ya kukidhi material needs ya wahusika; admittedly, however, yapo mahitaji mengine muhimu ambayo yako nje ya uwezo wa vibabu (sexual gratification etc)... so as a practical necessity, baadhi ya dadaz wanaamua kuwa na kijana pembeni ili ku-address hiyo shortcoming
 
List ni ndefu kama kuna mwenye data anaweza mwanga hapa:
  1. Jacqline Vs Reginald M
  2. Rita Paulsen Vs Reginald M
  3. Mwanvita Makamba Vs............
  4. ..........................................
  5. ............................................
  6. .......................................... etc etc
Hivi sababu ni nini?

Huu ni ufinyu wa fikra.
 
Nimefurahishwa na mjadala huu coz unatia hasira kwa watu fulani halafu mkuu wa kambi PAW yupo anajivichanjiri.Kwa wote wanaochafua hali ya hewa /wanaokosa uvumilivu wanasulubiwa vyema....

POLE NA KAZI MKUBWA PAW
Kweli Jf ni zaidi ya social netiweki...
 
vibabu also deserve a chance in love,lol hata nyie mtakuwa wababu siku moja lol pray hard msiwe single wakati huo ukifika...nani anataka kufa mpweke......???lol sex is just bonus ila wengi ukiwa mtu mzima unachotaka ni companion tu,mtu wa kuspend naye time na kuenjoy a little time that is left....pray uwe na mifweza yako hutakufa mpweke kama wababu wengine lol
 
there is more to this than we are prepared to admit - vibabu vyenye fwedha vinahitajiwa for the obvious purpose ya kukidhi material needs ya wahusika; admittedly, however, yapo mahitaji mengine muhimu ambayo yako nje ya uwezo wa vibabu (sexual gratification etc)... so as a practical necessity, baadhi ya dadaz wanaamua kuwa na kijana pembeni ili ku-address hiyo shortcoming

Mwanafunzi wa IFM anataka kuvaa Prada au Dolce & Gabbana...Perfume pia atumie designer, hata chupi anataka avae designer. Handbag za Louis Vuitton unategemea nini>? Lazima tu amegwe na vibabu vyenye umri wa babu yake. Hayo mambo ya sexual gratification yatafuata baadae.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom