Dada zetu jeshini Khaaa..

PHP:
[B][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: Dada zetu jeshini Khaaa.. [/B]

    proud African lol

mazoezi muhimu kupunguza hohohohooooooooooooooo
 
UTADHANI HAWAFANYI MAZOEZI...KATIKA MAUMBO HAYA WANAWAJIBIKA VIZURI KWELI?.
ask1.jpg

http://1.bp.blogspot.com/-QPM0lGml3Pc/TbKZ11yEsbI/AAAAAAAAAm4/AopXa912bhs/s1600/ask1.jpg

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Fatma Habib Fereji akimkabidhi cheti askari Polisi wa kike aliyemaliza mafunzo ya uongozi .

(c) Michuzi

nuyamauzembe.com
 
Asubuhi supu utumbo na chapati tatu kisha soda coke , mchana punje maharage, nyama, jioni Ugali kitimoto au chipsi kuku...... Hapo hata uwanjani hana ladha kabali kitoto zinakua hakuna.Wadada chek out.
 
kamanda hao inabidi waolewe na majeshi wenzao tu, wee unazani mdada mjeshi kama huo kuna dalili ya kulegezwa na raia? hapo utazama chumvini mpaka domo litavimba lakini mdada unakutumbulia mimacho tu haulegei kabisa yaani halaf unakulamba vibao kuonesha msisitizo, au katikati ya mchezo unaweza ukauona mdada unaimba wimbo wa taifa, hainogi yaani.
Mkuu unaua live!!
 
aaaaaaah,aaaaaah,hii kali hasa kuimba wimbo wa taifa ina maana kuwa hasikii chochote au anataka usimame wima kishimu wimbo wa taifa?
 
kamanda hao inabidi waolewe na majeshi wenzao tu, wee unazani mdada mjeshi kama huo kuna dalili ya kulegezwa na raia? hapo utazama chumvini mpaka domo litavimba lakini mdada unakutumbulia mimacho tu haulegei kabisa yaani halaf unakulamba vibao kuonesha msisitizo, au katikati ya mchezo unaweza ukauona mdada unaimba wimbo wa taifa, hainogi yaani.
aaaaaaah,aaaaaah,hii kali hasa kuimba wimbo wa taifa ina maana kuwa hasikii chochote au anataka usimame wima kieshimu wimbo wa taifa?
 
kamanda hao inabidi waolewe na majeshi wenzao tu, wee unazani mdada mjeshi kama huo kuna dalili ya kulegezwa na raia? hapo utazama chumvini mpaka domo litavimba lakini mdada unakutumbulia mimacho tu haulegei kabisa yaani halaf unakulamba vibao kuonesha msisitizo, au katikati ya mchezo unaweza ukauona mdada unaimba wimbo wa taifa, hainogi yaani.
aaaaaaah,aaaaaah,hii kali hasa kuimba wimbo wa taifa ina maana kuwa hasikii chochote au anataka usimame wima kueshimu wimbo wa taifa?
 
Awe mwanamke au mwanamme kwa maumbo hayo polisi hayafai unasikia mama Brian. Inaonekana wewe ukiambiwa chochote usichokipenda inakuwa mfumo dume.
Kwa tuliwahi kupita majeshini huko, mengi yaliyosemwa humu yana ukweeeeeli sana. Na utaona askari wachache sana wa kiume wanaooa askari wenzao.
Nawasilisha.
 
halafu kama hao eti ndio wanalinda usalama wetu na wanatumika kufanya doria, shape kama hiyo hata kobe si atawapita mbio jamaniiii?sembuse hao majambawazi na vibaka. Nchi yetu hatuko serious katika kila idara
 
kamanda hao inabidi waolewe na majeshi wenzao tu, wee unazani mdada mjeshi kama huo kuna dalili ya kulegezwa na raia? hapo utazama chumvini mpaka domo litavimba lakini mdada unakutumbulia mimacho tu haulegei kabisa yaani halaf unakulamba vibao kuonesha msisitizo, au katikati ya mchezo unaweza ukauona mdada unaimba wimbo wa taifa, hainogi yaani.

heheheheh heheheh! Kwi kwi kwi kwiii! Hiyo kali!
 
Naona kama kabana sana kiaina flani hivi. Mademu wa bongo ndo hapo wamebakia. Ni kutembeza vitengo na kufuga VITAMBI na miili yao mpaka basi.
 
Back
Top Bottom