Dada zetu bwana...!

Wenye wivu wajinyonge!
Mbona kapendeza sana, na ni mbunifu sana huyu binti.
Nywele hata kama ni bandia ni ok
Nyusi ndo usiseme na eye shades are good
Rangi ya ngozi usoni na shingoni na mkononi zinalingana
Mdomo lipstick pete na nguo na bangili zinalingana
Usanii unapendeza sana huo na pose yake imenimaliza!!
Ningekuwepo karibu ninge-propose kumuwowa!

huyu dada anaitwa rachel yupo sinza kumekucha pale,
 
Back
Top Bottom