Dada zetu acheni kuwatega vijana wanaowasafisha kucha barabarani!

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Kweli hawa vijana wana kazi sana jana nimemuona mdada anaoshwa kucha na jamaa mmoja huku akiwa kavaa kimini isitoshe anajiachia kabisa kwa kupanua miguu dah! Nikajisemea moyoni kweli hawa wajamaa wana kazi nzito!
Waoneeni huruma jamani nao wanatafuta riziki!
Ni hayo tu!
 
kama unamsatsfy she wako,hata mtega mpaka rangi kamwe...ukiona hivyo ujue ther is somethng wrong mkuu
 
duh...ngoja nibadilishe profession fasta...hao ndio mie nawataka....full kunitega na mwanaume wakweli akitegwa lazima amalizie kazi.
 
Hujaelewa nini sasa?
Ukienda fanyiwa pedicure vaa combat ya CHADEMA

hahaha!!! ila kaunga huoni wao ndio wanatutega lakini. wanatutekenya tekenya miguu. mi kuna mmoja bado kidoncho nimtemee mate.
 
Mkuu usiwaonee huruma hao vijana kwani wana kazi ya kujenga uchumi na kufanya reproduction process,unataka wazee ndiyo wafanye kazi hizo?!!
 
hahaha!!! ila kaunga huoni wao ndio wanatutega lakini. wanatutekenya tekenya miguu. mi kuna mmoja bado kidoncho nimtemee mate.

I know, nimeogopa kusema nikihofia Eiyer kunipiga marufuku kwenda kwa Mr.Kucha! LOL
 
Last edited by a moderator:
ivi nani anamtega mwenzie zaidi? anaekuchezea na kumasaji miguu au anaeona vilivyonona? lol
 
Eeh chumbani mchuchu akutengeneze...;)
vile vitu vyao vyenye ncha kali wewe unaviamini?

Mchuchu yupo mbali bht mbaya, nilishapata fungus niksjifunza. Nina kit yangu ndio naitumia; na most of the time ni kuchora tu baada ya kijisafisha ya nyumban!
 
duh...ngoja nibadilishe profession fasta...hao ndio mie nawataka....full kunitega na mwanaume wakweli akitegwa lazima amalizie kazi.

Taabu ukitegeka wanakufirisi! Maana utaishia kuwaosha miguu; chonga na paka rangi kucha; kama unabahati ujiosHEMO nawewe! Malipo yameishia hapo! Haitokuwa biashara tena sasa hiyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom