Dada zangu embu nipeni ukweli wa hili!

ndo vile venye iko.....

haha preta,kule mwanamke bila kudundwa dundwa anaweza akamwacha mume, lakini kama kila siku unamtwanga mi ngumi huyo lazima akusifie kuwa unampenda.
 
Kujisimamia kama mwanaume ni tofauti na upole. Nani kasema upole ni ujinga? Mwanaume anapaswa kutoshobokea maugomvi yasiyo na maana. Ila siku akipandisha sauti inapaswa kushtua watu. Sio ati ugomvi hata wa kusutana anaendekeza. Mwanaume anapaswa kuwa kimya ila uanaume wake ukidhalilishwa ama memsahib akidhalilishwa ndo aingilie kati.

king'ast huwa unanikosha sana kwa upembuzi wako,lakini kwanini wewe upo na mwenye tabia hizo na si yule mwenye tabia zile?
 
haha preta,kule mwanamke bila kudundwa dundwa anaweza akamwacha mume, lakini kama kila siku unamtwanga mi ngumi huyo lazima akusifie kuwa unampenda.

sio anipige....akinipiga huo ni mjadala mwingine......mi napenda mwanaume mwenyewe nikimwangalia nasema.....yes....hapa nina kidume.....sio napita nae watu wananichokoza ananyamaza......
 
BAK
naomba niburudishe kidoncho "I'm a little bit bored right now"
naomba ule wimbo wa miss Rihanna "S&M" kutoka kwenye album yake "Loud"
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nyie tuchagueni tu hamjui hizo ni tabia za nje tu (watu wanavaaga ngozi za kondoo)...kugombana si mpaka uchokozwe bana...nani kasema mwanamume mpole hapigani?..mchukulie demu wake ndio ujue nguvu zake...By the way Preta naomba nikuwe mpenzi wako??...mimi ndiye yule Francis Cheka Bingwa wa UBO,WBA na WBF..umekubali eeh??..hapa ngumi jiwe!

he he he......hapana.....hiyo ya masumbwi sasa itanifanya nikuchinje ukiwa umelala....we ukiona tunapigana.....niache nipigane mpaka hasira ziishe....we unakuwa unanipiga polepole.....
 
Last edited by a moderator:
Nimepita tu....kumbe wameulizwa kina dada....nipo nipo naendelea kuwasoma ili nijuwe kama wa aina yangu namaindiwa au sina changu!

kwani wewe unatabia zipi? Jipambanue mzee najua na wenye kupenda tabia kama zako wapo wengi tu.
 
ofu kozi, mwanamke lazima adundwe dundwe na mshedede, vinginevyo hakuna ndoa.

Hiyo midundo mingine aikafanyie kwa wanamme wenzie.

haha preta,kule mwanamke bila kudundwa dundwa anaweza akamwacha mume, lakini kama kila siku unamtwanga mi ngumi huyo lazima akusifie kuwa unampenda.
 
Nyie tuchagueni tu hamjui hizo ni tabia za nje tu (watu wanavaaga ngozi za kondoo)...kugombana si mpaka uchokozwe bana...nani kasema mwanamume mpole hapigani?..mchukulie demu wake ndio ujue nguvu zake...By the way Preta naomba nikuwe mpenzi wako??...mimi ndiye yule Francis Cheka Bingwa wa UBO,WBA na WBF..umekubali eeh??..hapa ngumi jiwe!

Ha ha ha ha! We unatongoza waziwazi hivo? He! Huu utandawazi mbona shuhuli.... Huyo Preta si ungeMP basi? Jamani...
 
Upole na ujinga ni vitu viwili tofauti, tena hamna mtu mwenye hasira mbaya kama mtu mpole, ukimchokoza mpaka ukafikia point ya kumuudhi utakiona cha mtema kuni.
Na wapo wanaume ambao wana nguvu nyingi tuu, lakini ni wapole........ ukiwatibua ndo utajua nguvu zao, so kuwa mpole haimaanishi hana nguvu za kukulinda na majambazi mkivamiwa
Na pia wapo wanaume ambao ni wakorofi sana tuu, lakini hawana nguvu kiasi hicho........
Anyways, mimi naamini mwanamke hapigwi, i do not know if that makes me mpole au mjinga, lakini siamini katika kumpiga mwanamke na huwa nashangaa sana wanaume wenzangu wanaopiga wanawake
 
DR. Najaribu kupima maneno ya wale wadada niliowaelezea hapo juu,pamoja na hayo nikataka dada zangu nao waniambie uchaguzi wao upo vipi. Lakini mie sasa kupitia post hii najifunza kwamba kumbe kila mwanamke huwa anatabia flani ambazo huwa anapenda mwanaume wake awe nazo. Hili nadhani halina ubishi ndio maana unapo mtokea mwanamke kwanza lazima ajipe muda wa kuchunguza tabia azipendazo kama unazo pia wanaume kama kweli wamedata utakuta wanavaa tabia ambazo si zao ili tu mwanamke apende kwakuwa tayari anaona tabia azipendazo. Swali kwako dr. Tangu ulipo anza mahusiano je wanawake ambao walikukataa walikataa kwa sababu zipi?
 
Mi napenda mwanamme mpole anaejiamini na cyo janadume babe ambye kila m2 nkipta linamuogopa,hee c ntakmbiwa na wa2 njian, na ata salam ntakuwa cpewi.ictoshe ata kwng wa2 wataogopa kuja kisa "hee mumeo mkali,mumeo mi mwili wke 2 unantsha,ah mumeo bwana we acha 2" aaahh anakua km ki2ko loh!
 
safihat umefunguka aisee,!!
 
Mimi je??

('.')
<))>
_/\_
 
wee kweli unatoa supu ya kutosha wewe??

Kiuno kimeingia ndani hivyo?

Mmmmh, na wasi wasi aisee.

hahahahaha! Pls kongosho acha kuchezea mbavu zetu,ina maana hicho kiuno ndo kinachotoa supu?
 
Linapokuja swala la kupenda hivyo vigezo vyao huwa vinapotea na anajikuta amedondoka popote bila kutegemea! Na kila mwanamke najua ana vigezo vyake!
 
sio anipige....akinipiga huo ni mjadala mwingine......mi napenda mwanaume mwenyewe nikimwangalia nasema.....yes....hapa nina kidume.....sio napita nae watu wananichokoza ananyamaza......

oooh! Nimekupata sina sababu ya kukuuliza wewe upo ktk kundi gani.
 
Back
Top Bottom