Halafu nimeona, kama vile ana KIDOTI hapo puani kwenye kona
Ila mzee we si umeoa
Sasa ndo upige mbiu................LOL
Ndie mimi mwenyeweMkuu, na wewe hiyo Avatar ulipewa ruhusa na mwenyewe, au ndio yale yale ya Major Deegan Expressway, kwa jina lingine I 87, Bronx?
Mbuzimzee si useme kuwa umetaka kuwaonyesha watu mapaja na si mawazo. Umejuaje kuwa mawazo yamemzidi na si vinginevyo? Haya we watege mafisi ya ngono wataisha kwa miwaya nawe mbuzi utaendelea kula majani yako bila hofu. Maana mbuzi hawaugui ukimwi pamoja na kujifanyia bila mpango.
sasa huo mkono si aachie tu ...mbona kang'ang'ania arghhhhhh.......
​
kabakwa huyu.