Dada Yenu Bwiiiiiiii

549678_10151177708455568_1289129166_n.jpg

Hii ngoma lazima ikapigwe expartee.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwei kabisa
nimeandika hiyo koment alafu nikajicheka sana mkuu yaani mimi ni mjinga sana,hubby hajawahi lamba alkohl ila alinikuta napiga nikaacha aliponiambia niache ,siku hizi ananinunulia wine dozen ,sasa leo asubuhi ananiambia hii 14%le,18%UKINYWA MARUFUKU KUTOKA HME KUNYWA PANDA KITANDANI NILICHEKA SANA SANA SIKUJUA KAWAZA NINI KWA KWELI
 
.

Kinga ni bora kuliko tiba rafiki. Anajihami na anakupenda pia.

After all pombe siyo nzuri kwa kweli tunakunywa tu basi.
 
Huku kwetu waathirika wengi wa ukimwi(AIDS) wana mtindo huu wa kulewa na kuangusha gari, wana agenda ya kuondoka na wengi eti wanasema kifo cha wengi harusi.
 
huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu. amekuruhusu kuwejka picha yake hapa? jamii sahihii ni ile isiyo dharau haki ya awaye yeyote hata kama mlevi.
:spy:
 
Huyu hakapendi hako kamji kake mashuhuri. waharibifu wanaweza kukisambaratisha kwa mpigo kwa ulevi wa aina hiyo

hivi mlevi aliyezima inaweza kumshughulikia?
Ukiweza kumshughulikia mlevi aliyezima, ambaye hajitambui, basi unaweza pia kushughulikia mbuzi kwasababu haiwezi kukwambia acha.

Utakuwa na matatizo kichwani sio bure. Labda kama hujawahi kuona mtu aloyezimika kwa kinywaji. . .. Anakuwa mlenda kabisa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom