Dada Wema, anasema karibuni kula

299395_531405556888890_23670314_n.jpg

Wenzake wamenda shortcall, hayupo peke yake jamani.
 
jamani labda anakula na wenzake ambao hawapo pichani kha! atamalizaje msosii wote huo alone?lol...
 
Hakuna mashori waroho kama mashori wa kichaga dadadadeki.......siku moja nilikuwa na shori wa kichaga.....kufika bar akaagiza chips mayai na firigisi akamwambia fundi nyama amuwekee na ndizi 6 zikaja akafyeka zoote....
kama nusu saa hivi nikamuona anatoka nikajua anakwenda kuchimba dawa kumbe alikwenda kuagiza mguu wa mbuzi...ukaja akafyeka peke yake...

later akaagiza mzinga mkubwa wa konyagi....akawa anasindikiza na korosho mfuko wa 2000 alipitisha mtu pale.....mara yakapita mayai ya kuchemsha aknunua...manne akayala pale pale.....kisha akaagiza malta guiness eti akaniambia inaletya nguvu kaagiza mbili...mwanamke yuleee mie nataka kulia bill wajomba......

mara akamuita fundi nyama akamwambia amtayarishie supu ya makongoro nusu bakuli...ikaja akaimaliza....kisha kakagiza kili bariiidi eti anapozea aiseeeeeee nikaomba kuondoka aiseee....tukitoka akachukua take away kuku mzima,chips mayai ya kushiba na mishikaki 3 aiseeeeeee........sina hamu na mashori wa kichaga...

kufika guest wallhi usiku mzima alikuwa anajamba jamba na kubeua beua aiseee BTW nilimkimbia....
 
ni mzuri, Mungu kamuumba, tatizo ni used mno, uzuri wa mwanamke si sura ni tabia pamona na......no wonder kilinuka na diamond na wanaume wengi, manake kwa ulaji huu bajeti yake unatakiwa kujipanga vilivyo, 90% inakuwa msosi, 10% maendeleo mengine.
 
Da jamani si anamsubiri Diamond waje kila wote? Ha ha ha mapenzi ya kahaba matamu!!! zaimond karudi kaanguka miguuni au? Walivyochambuana!!! Kidoti naye kafia wapi? So cheap women!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom