Dada wa Tundu Lissu kuchaguliwa viti maalum hii CHADEMA ni ya familia?

Status
Not open for further replies.
nimeambiwa viti maalum vimeenda kwenye mikoa ambayo viongozi wa chadema wanatoka. eti kuna mikoa imeongoza kuipa chadema kura lakini hakuna kiti hata kimoja. hivi mikoa gani walitoa kura nyingi kwa chadema
Dada, embu fanya kautafiti kadogo basi ili nasi wengine utuaminishe unachosema.

Mimi ninachojua ni kwamba ili mtu achaguliwe lazima ajitokeze kugombea, uongo?

Sasa tupe data dada....wangapi waliwania hivi viti kutoka koo au mikoa ipi, nani wamenyimwa, nani wamepata, etc.
 
Jaribu na wewe utapata hivyo viti maalumu na ni akheri kuchagua hao kuliko kuteua zile fhakula fya wazee kina Rita, Kamata maana wakifika bungeni wanafikiria kujiremba tu.Kumbuka kina Lucy Owenya na Mdee walivykuwa mwiba kwa serikali ya CCM 2005/10, umakini wa mbunge ni muhimu sio kuuza sura tu mjengoni. :rip:CCM.
 
acha dada ake kuw ambunge,hata angekuw abibi yake we inakuhusu nn?hebu toka hapa
 
HUO NI UKWELI KUBEBANA UNDUGU KIASI HICHI SI HAKI CHAMA NI CHA WATU WOTE IWEJE WATU WAINGIZE NDUGU ZAO KAMA NZIGE KWANI WA KWALIFICATION WENGINE HAWAPO AU MPAKA UWE MBUNGE NDO UBEBE NA MBELEKO?CHAMA NDIO MAARUFU SI MTU:nono:
 
Crap! Kunahaja ya kuwa compare wabunge wa chadema vs ccm... Halima mdee, owenya, kamili vs kamata, khadija kopa, mlaki ... tuendelee....
 
Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu

PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE

HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE

TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....

HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI

ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI

CHADEMA TUBADILIKE

Dada dada, inakuhusu nini?????? kinachotazamwa hapa ni uwezo wala siyo dada au mama yake nani? Ondoa umbeya wako huo.
 
Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu

PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE

HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE

TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....

HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI

ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI

CHADEMA TUBADILIKE

Vp ulimpeleka dada ako akakataliwa viti maalumu?
 
acha dada ake kuw ambunge,hata angekuw abibi yake we inakuhusu nn?hebu toka hapa


acha kuongea upuuzi kuna mwenyekiti..wa wanawake wa chadema ana qualification kuliko hiyo milupo mlioiweka kwa kujuana
 
Dada dada, inakuhusu nini?????? kinachotazamwa hapa ni uwezo wala siyo dada au mama yake nani? Ondoa umbeya wako huo.

siongei na wambeya m na wewe nani mbeya unajua maana ya mbeya muulize mzazi wako akujulishe
maanayake tatizo la chadema amtaki ukweli ujinga ndio unaomaliza baddhi ya watu ona mpuuzi kama huyu ananyuka kupiga kelele nenda kaangalie kwenye majina uje uone m nawewe nani mbeya wa kina
 
Wabongo bana hapa ndipo huwa tunachoshana kabisa! Ina maana wewe ukiwa say NCCR mageuzi basi ni maruifuku ndugu zako kujiunga huko na kama wakijiunga marufuku kugombea uongozi? Ukisikia dada yako nataka kugombea viti maalum unamkemea weeeee!!!!!!!!! And yet the same pipo mnazungumzia demokrasia, ooh haki za wanawake, self realization etc.

Hoja ni kama say katika criteria zao say pts 1 - 100. hundred being the highest, kuna mtu kapata 80 ameachwa lakini aliyepata 30 kachukuliwa. Au katiba ya CHADEMA inakataza ndugu na jamaa kuwa viongozi at once lakini wakubwa wa CHADEMA wamelazimisha kupindisha katiba kwa maslahi yao. Otherwise habari kama hizi nni za kipuuzi na zinareflect uwezo wa kufikiri wa waleta habari.
 
kwani kuna shida gani kama mtu ana kwalifikesheni??si bora dada yake kuliko akina viki kamata wanakuja bungeni kuburudisha wazee wa uchakachuaji

M/kiti wanawake chadema ahujumiwa
Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) ameachwa katika uteuzi wa wabunge wa viti maalumu licha ya kuomba huku makamu wake, katibu mkuu wake, naibu katibu mkuu wake wakiteuliwa. hali hii ni picha mbaya kwani katika kura zilizopigwa na wanawake chadema mwezi august alikuwa namba 2 kabla hawajatoa visingizio vya uchaguzi kuharibika baada ya kuona wateule wao wakiwa wamefeli kwa mbali.
mchakato wa uteuzi uliofanyika na vigogo kina dr. slaa, mbowe na lissu umepelekea wanawake wengi wenye sifa kuachwa huku dada wa tundu lissu ambaye hana uzoefu wala mchango ndani ya chama akipewa ubunge, mke wa dr. slaa rose kamili naye kazawadiwa ubunge kutokana na kuwa kimya wakati wa sakata la mchumba na ilikuwa moja ya makubaliano ya ukimya wake. kama kawaida ndesamburo kaingiza binti yake na mkwewe katika ubunge na waliosalia wengi ni wapenzi wa vigogo.
katika hali hiyo tunashindwa kupima demokrasia wanayoipigia kelele kila siku.
cha kushangaza ni kitendo cha Dr. Mkumbo kuaibisha taaluma yake kwa kujitokeza mbele ya umma wa watanzania na kusema kuwa yeye ndie aliyeweka vigezo vya uteuzi, ni kwa nini asingewashauri kuruhusu demokrasia? ni kweli ktk demokrasia kuna vigezo vipi? mbona hata wenye sifa kubwa akiwemo huyo mwenyekiti wa wamama ambaye kapigania chama kwa miaka, ana elimu na uzoefu mkubwa kaachwa?
huu ni ubabaishaji wa hali ya juu.
Hayati Chacha Wangwe katika uhai wake alipigania sana haki ndani ya chadema na mojawapo ni uteuzi wa viti maalum kinddugu, kifamilia, kiukoo na kimapenzi.
katika hali hii hiyo demokrasia itajengwa vipi?



ulitaka vickykamata wakaburdishe matapeli wa siasa ama??rekebisha kinywa chako na wewe gombea vitimaalum CCM asikuumize kichwa binti kaumbika ana kwalifikeshen zake ajaenda kwa mgongo wa mjomba shangaaz mamamkubwa kama chadema tena mkome kutaja jina lake ovyo tajen hao madadazenu na mahawara zenu mliowachagua mnashindwa kuchagua mwenyekiti mwenye akilizake kweli mbaafu ambafuki
 
bila shaka yoyote huyu mtoa maada atakuwa na tatizo kidogo la kufikili maana kama suala ni vitu maalumu angeanza kwanza na hiyo nyumba ndogo za wazee wa kuchakachu ambazo zinaelekea mjengoni, nani asiyejuwa kwamba watu kama Vick Kamata ni chakula ya mkuu.. kasomesha hadi nje na sasa anaona ampeleke mjengoni, nchi hii inaendeshwa kimtandao zaidi wewe kama baba yako au mama yako hakuwa na jina ktk Taifa hili andika maumifu,
 
bila shaka yoyote huyu mtoa maada atakuwa na tatizo kidogo la kufikili maana kama suala ni vitu maalumu angeanza kwanza na hiyo nyumba ndogo za wazee wa kuchakachu ambazo zinaelekea mjengoni, nani asiyejuwa kwamba watu kama Vick Kamata ni chakula ya mkuu.. kasomesha hadi nje na sasa anaona ampeleke mjengoni, nchi hii inaendeshwa kimtandao zaidi wewe kama baba yako au mama yako hakuwa na jina ktk Taifa hili andika maumifu,

dadako alikuwa wapi asisomeshwe ????ama jaribu na wewe bahati zako
unajua kama kaka na dada mke na mume.baba na mtoto na mkwe nini kimebaki chadema
so stop kimbilia ya ccm wako wengi sio huyo kama chadema
 
Mke wangu kala shavu tayari dada ako vp anasura ya mbuzi nini?
hana hata muda wa kugombania uchafu kama huo angalia mkeo vizuri mkuu hawa viongozi wetu wametembeza fimbo sana kwa wateuliwa wetu so far usiogope huko dodoma muwekee speedomita ikiguswa ibaki kama ilivyo huku na wewe ukiwa umerokodi speed ulioiacha else duh dom noma
wasikubebeshee mimba mkulu kama bado anachevua
 
Kama mwanzilishi wa mada hii anayo nia nzuri nataka nimhakikishie kwamba taasisi yeyote ile, na vyama vya siasa vikiwemo, uanzishwa na watu walio karibu; kwa mfano wana familia, marafiki, ndugu, watu wa eneo moja, watu wa dini moja n.k. Lakini kadri taasisi hiyo inavyoendelea kukua taratibu uwakilishi wa hao waasisi unaendelea kupungua hatua kwa hatua na hatimaye ufutika kabisa. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa TANU. Hapo mwanzoni, waswahilina ndiyo walikuwa wanaongoza, lakini hali hiyo hatimaye ilibadirika. hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa chadema, hivi sasa kuna wimbi kubwa la watu wanaotaka kujiunga na chama hicho, matarajio yangu ni kwamba muda mfupi ujao chadema watakuwa na mtandao ulio enea nchi nzima.
 
Mh lakini baadhi ya members kwa double standards jamani. Hapa hizi tuhuma zingeelekezwa CCM ungeona mkuu hapo juu ambavyo ange gongewa thanks nyingi. Jamani maslahi ya taifa haya angalii itikadi wala ushabiki wa chama. Tume kuwa sasa kama wanasheria ambao leo hii anaweza aka tetea jambo fulani kesho akipata mteja mwingine aka lipinga kwa nguvu zote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom