Dada wa Kikenya alipotaka ku..Aliniambia huku ananiangalia machoni!!. . . .

Eiyer mbona nyie hua mnaomba ghafla ghafla tu?au nyie mkiomba ni sawa ila mkiombwa ajabu?anhaa mi siwaelewi ati!

Dah!Sijawahi kuomba ghafla ndo maana sijazoea kutoa ghafla!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza haijawahi kunitokea,huu ni ukweli.Alivyoniambia nilihisi miguu ikilegea! Nilikutana na dada huyu akaniambia ni Mkenya. . . Akaniuliza kama ni mwenyeji hapa Mwanza nikamwambia ndio.

Akaniomba nimsaidie kumpeleka baadhi ya maeneo fulani hivi, nilimpeleka. . . Wakati nakutanana nae jana ilikua saa 8 mchana.

Nilimpa msaada aliouhitaji kwani jana jumapili sikua na kazi nilimaliza mizunguko yangu mapema,na ilipofika saa 11 jioni akawa amekamilisha kazi yake akaniambia anataka akanywe juisi,nikampeleka,wakati tunakunywa ndipo akaniambia "(akinitaja jina kwani nilimwambia). . . .

Nakushukuru kwa msaada ila ningefurahi kama tungeenda ukani. . .(akataja tendo la ndoa bila tafsida) nitafurahi zaidi na nitaona nimekushukuru vizuri"!!!!

Kwanza juisi niliyotaka kuimeza ilinikaba,kisha nikaduwaa!Nilikosa la kusema kisha nikagundua miguu imelegea!Ilibidi nikurupuke. . . Eeeeee. . Mmmmmm thanks,usijali nimekusaidia tu dada!!

Alijitahidi kunisihi mwishowe ikabidi nimpe excuse ya ugonjwa akanielewa japokuwa hakuridhika!Nilitamani nimdanganye nimeoa lakini wakati tuko kwenye mizunguko aliniuliza kama nimeoa nilimwambia ukweli kuwa sijaoa!Dah nimejiuliza sana kwa taharuki ile ilisababishwa na nini sipati jibu.

Sijui ni kwa kuwa sipo kwenye mahusiano muda mrefu!Yaani na umri hu wa miaka 3.... kidogo nionekane katoto. . .Lol! Jamani wadada wamebadilika unapokutana nae jiandae kwa lolote!!!!Dada huyu anaondoka leo mchana na Akamba!!

Wenzetu wazungu walianza hilo zamani sana. Ukiwa unatoka Africa na uko kwao ilikuwa inakupa shida sana ukiambiwa moja kwa moja. Ni kukomaa kwa uhuru wa kujieleza, lakini pia badiliko katika mila za kiafrika. Tabia hii imekwisha ingia Tanzania ingawa si sana. Watoto walio chini ya miaka 30 hawafichi sana feelings zao kama zamani. It's a new breed. So she is a normal East African gal. Kama kweli hujaoa fukuzia huyo uhakikishe kama yupo serious.
 
Kwanza haijawahi kunitokea,huu ni ukweli.Alivyoniambia nilihisi miguu ikilegea! Nilikutana na dada huyu akaniambia ni Mkenya. . . Akaniuliza kama ni mwenyeji hapa Mwanza nikamwambia ndio.

Akaniomba nimsaidie kumpeleka baadhi ya maeneo fulani hivi, nilimpeleka. . . Wakati nakutanana nae jana ilikua saa 8 mchana.

Nilimpa msaada aliouhitaji kwani jana jumapili sikua na kazi nilimaliza mizunguko yangu mapema,na ilipofika saa 11 jioni akawa amekamilisha kazi yake akaniambia anataka akanywe juisi,nikampeleka,wakati tunakunywa ndipo akaniambia "(akinitaja jina kwani nilimwambia). . . .

Nakushukuru kwa msaada ila ningefurahi kama tungeenda ukani. . .(akataja tendo la ndoa bila tafsida) nitafurahi zaidi na nitaona nimekushukuru vizuri"!!!!

Kwanza juisi niliyotaka kuimeza ilinikaba,kisha nikaduwaa!Nilikosa la kusema kisha nikagundua miguu imelegea!Ilibidi nikurupuke. . . Eeeeee. . Mmmmmm thanks,usijali nimekusaidia tu dada!!

Alijitahidi kunisihi mwishowe ikabidi nimpe excuse ya ugonjwa akanielewa japokuwa hakuridhika!Nilitamani nimdanganye nimeoa lakini wakati tuko kwenye mizunguko aliniuliza kama nimeoa nilimwambia ukweli kuwa sijaoa!Dah nimejiuliza sana kwa taharuki ile ilisababishwa na nini sipati jibu.

Sijui ni kwa kuwa sipo kwenye mahusiano muda mrefu!Yaani na umri hu wa miaka 3.... kidogo nionekane katoto. . .Lol! Jamani wadada wamebadilika unapokutana nae jiandae kwa lolote!!!!Dada huyu anaondoka leo mchana na Akamba!!

Mh ! Cheki na docta inawezekana unakaupungufu flani mwilini kwanini ulegee ? opportunity never come twice my friend. kwa taarifa yako wanatupenda sana wanaume wa tz wanasema tunijua shuguli sawasawa ,kuna mmoja nilikutana nae nairobi kila siku ananisumbua anataka kuja Tz kisa anakumbuka shughuli niliyompa eti akasema mpaka "chupa yake" ikapasuka akamwaga mimaji kitandani mi sijui wadau wanaijua hii kama ni kweli nijuzeni.
 
Naomba namba yake ya simu
 
to prove the point..insecure men are scared of an assertive woman!kama asingekuwa na self esteem issues asinge shangaa kuombwa sukari!

Always assumption is wrong!
 
Mh ! Cheki na docta inawezekana unakaupungufu flani mwilini kwanini ulegee ? opportunity never come twice my friend. kwa taarifa yako wanatupenda sana wanaume wa tz wanasema tunijua shuguli sawasawa ,kuna mmoja nilikutana nae nairobi kila siku ananisumbua anataka kuja Tz kisa anakumbuka shughuli niliyompa eti akasema mpaka "chupa yake" ikapasuka akamwaga mimaji kitandani mi sijui wadau wanaijua hii kama ni kweli nijuzeni.

Ni mzima sana ndugu yangu,tena sana!
 
kwani mdada kukuomba ni tatizo?
mbona nyie wanaume mnatuomba?
sie tukiwa na shida na iyo kitu mnaona isue sio mbona sisi sometimes tunawapa mkituomba... hukumfanyia fair kwa kweli ...
ndo maana mimi huwa simpi mtu...
sipewi na mimi sitoi

Mimi nilidhani hii topic ingekubore,kama kawwaida yako......nasikia una ellergie na wanaume!
 
Kwanza haijawahi kunitokea,huu ni ukweli.Alivyoniambia nilihisi miguu ikilegea! Nilikutana na dada huyu akaniambia ni Mkenya. . . Akaniuliza kama ni mwenyeji hapa Mwanza nikamwambia ndio.

Akaniomba nimsaidie kumpeleka baadhi ya maeneo fulani hivi, nilimpeleka. . . Wakati nakutanana nae jana ilikua saa 8 mchana.

Nilimpa msaada aliouhitaji kwani jana jumapili sikua na kazi nilimaliza mizunguko yangu mapema,na ilipofika saa 11 jioni akawa amekamilisha kazi yake akaniambia anataka akanywe juisi,nikampeleka,wakati tunakunywa ndipo akaniambia "(akinitaja jina kwani nilimwambia). . . .

Nakushukuru kwa msaada ila ningefurahi kama tungeenda ukani. . .(akataja tendo la ndoa bila tafsida) nitafurahi zaidi na nitaona nimekushukuru vizuri"!!!!

Kwanza juisi niliyotaka kuimeza ilinikaba,kisha nikaduwaa!Nilikosa la kusema kisha nikagundua miguu imelegea!Ilibidi nikurupuke. . . Eeeeee. . Mmmmmm thanks,usijali nimekusaidia tu dada!!

Alijitahidi kunisihi mwishowe ikabidi nimpe excuse ya ugonjwa akanielewa japokuwa hakuridhika!Nilitamani nimdanganye nimeoa lakini wakati tuko kwenye mizunguko aliniuliza kama nimeoa nilimwambia ukweli kuwa sijaoa!Dah nimejiuliza sana kwa taharuki ile ilisababishwa na nini sipati jibu.

Sijui ni kwa kuwa sipo kwenye mahusiano muda mrefu!Yaani na umri hu wa miaka 3.... kidogo nionekane katoto. . .Lol! Jamani wadada wamebadilika unapokutana nae jiandae kwa lolote!!!!Dada huyu anaondoka leo mchana na Akamba!!

Ndugu yangu inaelekea wewe ni mtoto bado.Mwanamke kueleza hisia zake kwamba anataka kuduu na wewe mbona sio jambo la kushangaza .Tena wa namna hiyo ni safi kwa sababu unauhakika kwamba yupo tayari kisaikolojia kwenda kufanya tendo la ndoa na wewe.
 
Back
Top Bottom