Dada wa Kikenya alipotaka ku..Aliniambia huku ananiangalia machoni!!. . . .

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Kwanza haijawahi kunitokea,huu ni ukweli.Alivyoniambia nilihisi miguu ikilegea! Nilikutana na dada huyu akaniambia ni Mkenya. . . Akaniuliza kama ni mwenyeji hapa Mwanza nikamwambia ndio.

Akaniomba nimsaidie kumpeleka baadhi ya maeneo fulani hivi, nilimpeleka. . . Wakati nakutanana nae jana ilikua saa 8 mchana.

Nilimpa msaada aliouhitaji kwani jana jumapili sikua na kazi nilimaliza mizunguko yangu mapema,na ilipofika saa 11 jioni akawa amekamilisha kazi yake akaniambia anataka akanywe juisi,nikampeleka,wakati tunakunywa ndipo akaniambia "(akinitaja jina kwani nilimwambia). . . .

Nakushukuru kwa msaada ila ningefurahi kama tungeenda ukani. . .(akataja tendo la ndoa bila tafsida) nitafurahi zaidi na nitaona nimekushukuru vizuri"!!!!

Kwanza juisi niliyotaka kuimeza ilinikaba,kisha nikaduwaa!Nilikosa la kusema kisha nikagundua miguu imelegea!Ilibidi nikurupuke. . . Eeeeee. . Mmmmmm thanks,usijali nimekusaidia tu dada!!

Alijitahidi kunisihi mwishowe ikabidi nimpe excuse ya ugonjwa akanielewa japokuwa hakuridhika!Nilitamani nimdanganye nimeoa lakini wakati tuko kwenye mizunguko aliniuliza kama nimeoa nilimwambia ukweli kuwa sijaoa!Dah nimejiuliza sana kwa taharuki ile ilisababishwa na nini sipati jibu.

Sijui ni kwa kuwa sipo kwenye mahusiano muda mrefu!Yaani na umri hu wa miaka 3.... kidogo nionekane katoto. . .Lol! Jamani wadada wamebadilika unapokutana nae jiandae kwa lolote!!!!Dada huyu anaondoka leo mchana na Akamba!!
 
kwani mdada kukuomba ni tatizo?
mbona nyie wanaume mnatuomba?
sie tukiwa na shida na iyo kitu mnaona isue sio mbona sisi sometimes tunawapa mkituomba... hukumfanyia fair kwa kweli ...
ndo maana mimi huwa simpi mtu...
sipewi na mimi sitoi
 
kwani mdada kukuomba ni tatizo?
mbona nyie wanaume mnatuomba?
sie tukiwa na shida na iyo kitu mnaona isue sio ... poa bana
ndo maana mimi huwa simpi mtu...
sipewi na mimi sitoi

Smile nipe nione kama kweli haiingii.
 
kwani mdada kukuomba ni tatizo?
mbona nyie wanaume mnatuomba?
sie tukiwa na shida na iyo kitu mnaona isue sio mbona sisi sometimes tunawapa mkituomba... hukumfanyia fair kwa kweli ...
ndo maana mimi huwa simpi mtu...
sipewi na mimi sitoi

kwani nini bana....mwaga mboga nimwage ugali.....
 
kwani mdada kukuomba ni tatizo?
mbona nyie wanaume mnatuomba?
sie tukiwa na shida na iyo kitu mnaona isue sio mbona sisi sometimes tunawapa mkituomba... hukumfanyia fair kwa kweli ...
ndo maana mimi huwa simpi mtu...
sipewi na mimi sitoi


Smile umeona eeh! yaani wanatunyanyapaa kwani nasie si watu jamani nasi tuhitaji pia kwani wote situlipewa midomo ya kuzungumza!!!
 
Heee???? Kwani cha ajabu nini hapo? Kuombwa au? Heheh.......alafu tafuta mke uoe bwana mkubwa, umri huo na desh ulopiga vinatosha......lasivyo ukikutana na wawili wa namna hiyo utajaanguka usijue umelegea side ipi!!! Lol
 

Smile umeona eeh! yaani wanatunyanyapaa kwani nasie si watu jamani nasi tuhitaji pia kwani wote situlipewa midomo ya kuzungumza!!!

sasa huyo dada si amejieleza ukweli kosa lake liko wapi jamani, sie ni binadamu na tunahitaji kama wanaume wanavyohitaji. ulitaka aanze kujiumauma vidole kwanza??? au unataka kama lile tangazo la condom, mtu anataka condom lakini kaanzia mbaali eti nipe biscut akabeba mabox ya biscut asizozihitaji, alipokuja mhitaji wa condom wala hakufikiri mara mbili alisema straight nipe condom 2 akapewa akaendelea na raha zake!
 
Wadada wa kikeii huwa hawana noma kwenye hiyo mambo yaani yeye ndiyo stelingi (anazoza bila tafsida kabisa huku akikuangalia machoni). kama hujawazoea unaweza kutoa macho kama panya aliyenaswa kwenye mtego.
 
shida hapo ipo wapi sasa??? i hope ulimpatia alichokuomba!!!!!!!!!!!!!!!!wats love got tod o with it(sex)??
 
Hakuna cha ajabu hapo. Ukweli ni kwa ubongo wako umezoea kuomba na si kuombwa. Badilika ...... uwe tayari kuombwa!
 
Back
Top Bottom