dada utamtokeaje mvulana uliyempenda?

Mi nitakutimua kama ubwa koko,nikikuhurumia sana nitakuambia nimewowa na nina mtoto so siwez mcheat my wife.kamwe cwez ruhusu mwanamke antongoze apo c ataniwowa

hiyo ni wrong mentality kwani sie hatuna moyo wa kupenda bana , ok sometimes it happne anaweza kwambia nawe ukawa umefall hapo sasa Quadratic equation inakuwa formed hehehe nicheke mie upo By default
 
poleni wadada inaowatokea hii hali.........very simple mwandikie msg kutwa mara 3, matakie asubuh njema....lunch njema....dinner njema...na usingizi mororo....ukifanya hivi siku 3 bila kukosa lazima tick iwekwe na na unajinyakulia maksi kiulaiiiiiiiiiiiini
 
Ni furaha iliyoje jamani kutongozwa na msichana, imewahi kunitokea, mara ya kwa aliniandikia barua nikahisi ni utani lakini akaja kuhitimisha kwa maneno yake kutoka mdomoni, hapa nilichogundua ni kuwa wasichana wanayo nafasi kubwa ya kuexpress hisia zao kwa wanaume iwapo hawataonesha zile tabia za ukicheche na naamini wanaume watawaelewa tu, natamani wasichana wote wangekuwa kama huyu dada aliyewahi kunitongoza
 
Kuna dada mmoja hakuwai kunitamkia ila zile show alizokuwa ananipa,kilichofuata ni mtomboko tu...kiulaiiiini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom