dada utamtokeaje mvulana uliyempenda?

mymy

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
296
110
Habari za jioni wana jamvi. kwanza natanguliza samahan kama kutakua na watu nitakao wakwaza. msichana kama amempenda mvulana ruhsa kutiririka, hebu tiririkeni njia (mitego)mtakazo tumia, angalizo mpo mikoa tofauti. na je wavulana (wanaume) mnapenda mtokewe na mwanamke kwa jinsi gani?
 
Kwa kujipitisha pitisha ili akuone kila inapowezekana kufanya hivyo na kuwa na uchangamfu wa hali ya juu na tabasamu za kufa mtu mpaka somo lieleweke.

Habari za jioni wana jamvi. kwanza natanguliza samahan kama kutakua na watu nitakao wakwaza. msichana kama amempenda mvulana ruhsa kutiririka, hebu tiririkeni njia (mitego)mtakazo tumia, angalizo mpo mikoa tofauti. na je wavulana (wanaume) mnapenda mtokewe na mwanamke kwa jinsi gani?
 
Last edited by a moderator:

kama ungekuwa unaishi nae mtaani
ungepika chapati na kumpelekea
mara mbili tatu angepata message lol
 
inategemea kama mko level gani ya kujuana, kama tayari anakufahamu unaweza kumtumia zawadi yoyote ile na ka ujumbe kadogo ka kawaida tu. Kwa mwanaume barubaru {kama yours truly, of coz} atajua tu kuwa kuna 'interest' imekuwa declared hapo.
 
Da utafikri uko moyoni mwangu.da i love the guy and i do rarely fall.Only that the family are very close and best fiend of my brother,he likes to call me like her sister but hapendi nikimpigia.a ngoja nisubiri miracle
 
lol! unamfundisha sasa aanze kutoa hongo eeh! :)

inategemea kama mko level gani ya kujuana, kama tayari anakufahamu unaweza kumtumia zawadi yoyote ile na ka ujumbe kadogo ka kawaida tu. Kwa mwanaume barubaru {kama yours truly, of coz} atajua tu kuwa kuna 'interest' imekuwa declared hapo.
 
Mi nitakutimua kama ubwa koko,nikikuhurumia sana nitakuambia nimewowa na nina mtoto so siwez mcheat my wife.kamwe cwez ruhusu mwanamke antongoze apo c ataniwowa
 
Kutongoza ni kushawishi wacha hasira wewe kula majan,chora chini wakati huyo anakupa vocal
 
Cjui nina gundu mbona cjawahi kutokewa na mrembo!! na ni veterani sasa .......mrembo nitokee mimi basi.

Wewe ni veteran wa kuchakachua.......kabla hajakuanza tayari umeshamtongoza....Wakati mwingine jifanye saint utatongozwa tu.
 
mimi japo ni kidume,kwa mrembo I stand up tall,look her up in face and boldly tell her that i love her!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom