dada huyooo....anaolewa...mahari ishatolewaaaa

Nafasi ya mpiga drums ni yangu sitaki ugomvi na mtu kabsa.

nashukuru sana lusambo,nakupandisha cheo pamoja na kupiga drums pia utakua mwenye kiti wa kamati ya muziki na burudani naamini utahakikisha watu wanapata ladha kamili, wacheza ngoma wote watapewa dawa za kulainisha viuno kabla ya kuingia ukumbini
 
kikungu mimi nimetokea kwenye lile kabila maarufu linaloongoza kwa maduka na biashara hapa nchini,na pia tunaongoza kwa kupenda vilevi vya aina mbalimbali ikiwemo mbege

sasa we kama unaweza liaaaa kwa sauti ukumbini najua upande wa mume watakupa hela ili unyamaze ila hizo hela baadae tutakuja kugawana bila hata bwanaharusi kujua,hapa unasemaje?

Deal done,Mtende,na mie nilijua tu kama ndio kutoka kule kaskazini ambako mtoto akizaliwa leo akisigikia coin imeanguka anachungulia sio mchezo.Na dollar mia tukipiga pasu hapo uongo na hasa kipindi hiki cha HANDSOME BOY wa pale BWAGAMOYO kilivyokuwa kigumu mbona deal tayari.
 
kaka zangu na dada zangu wana jf nawakaribisha mje mniimbie kwenye harusi yangu huuu wimbo

dada huyooo anaolewa
dada huyoooo anaolewa
mahariiii ishatolewaaaa
mahariiii ishatolewaaaa

kwa watakao kuja please confirm ili niwaandalie kadi pamoja na notten za wimbo lol

nyani ngabu atakua anaimba solo, rosweeter atakua anaongoza msafara wa waimbaji, babu ngosha atakua anapiga kinanda na preta atatoa wosia kwa niaba ya mmu

tafadhali pendekeza jina la mtu wa kupiga gitaa, kucheza ngoma,kamati ya chakula, vinywaji nk
haya uwanja ni wenu

Mimi kamati ya Chakula.Machalali yapo?
 
Deal done,Mtende,na mie nilijua tu kama ndio kutoka kule kaskazini ambako mtoto akizaliwa leo akisigikia coin imeanguka anachungulia sio mchezo.Na dollar mia tukipiga pasu hapo uongo na hasa kipindi hiki cha HANDSOME BOY wa pale BWAGAMOYO kilivyokuwa kigumu mbona deal tayari.

sasa usiniangushe maana hiyo hela nshaipangia matumizi
 
hongeraaaaa. Kumbe na wewe ni Mwali?
Harusi lini? Mi niweke katika watakao pika
Nikiwa huko nachoma maini nakula na ugali.
 
hongeraaaaa. Kumbe na wewe ni Mwali?
Harusi lini? Mi niweke katika watakao pika
Nikiwa huko nachoma maini nakula na ugali.

hahaaa mwali sasa ugali hautakuwepo, anyway ngoja ntakununulia kiroba cha unga ili nisikukoseshe uhondo,wewe utakua mwenye chair kamati ya mapishi,najua utahakikisha wahusika wanakorofisha misosi ipasavyo
 
mie najitolea kupokea zawadi.....

badili tabia haina shaka hiyo sekta nimekukabidhi ila zawadi zangu zote zitakua zimefungwa kwa password na remort ya kufungulia nimeshakabidhiwa,sasa kama umepanga kuchungulia zawadi zangu itakua imekula kwako
 
hahaaa mwali sasa ugali hautakuwepo, anyway ngoja ntakununulia kiroba cha unga ili nisikukoseshe uhondo,wewe utakua mwenye chair kamati ya mapishi,najua utahakikisha wahusika wanakorofisha misosi ipasavyo
Kwa ni ugali ni wa sherehe? Ugali ni sisi wapishi, tunalia jikoni na maini
Huku ukumbini mnakula pilaw na njegere kwa sinia, na rojo ya utumbo.
Halafu reception ndio tunaleta cattering ya hotelini.
 
Kwa ni ugali ni wa sherehe? Ugali ni sisi wapishi, tunalia jikoni na maini
Huku ukumbini mnakula pilaw na njegere kwa sinia, na rojo ya utumbo.
Halafu reception ndio tunaleta cattering ya hotelini.

ewaaaa mwali wew ni mtaalamu sasa usiwe na shaka kamata nafasi yako kila kitu naamini kitaenda sawa
 
shabban usijali nafasi umeipata ila sasa bwana harusi ni bondia na ana wivu kweli, hakikisha unapata mazoezi ya kutosha

.
Na wewe ondoa shaka kwani Bwana Shabban ni mwanariadha mzuri sana! - kwa hiyo huyo Bondia amkimbize mwanariadha si mpaka amkamate ndio aweze kumdunda!

.
 
nafasi zipo full tuelekee ukumbini

bigman kula kitu full, mziki wa kutosha,vinywaji ndo usiseme, ukumbi wenye nafasi kila mtua atajimwaya, mahanjumati ahhh mi sisemi mwali kashaandaa kila kitu sasa anza kunoa tumbo
 
.
Na wewe ondoa shaka kwani Bwana Shabban ni mwanariadha mzuri sana! - kwa hiyo huyo Bondia amkimbize mwanariadha si mpaka amkamate ndio aweze kumdunda!

.
hehehe dotworld kama shabban mwana riadha basi mimi sina shaka maana bwana harusi hana mbio kabisa yeye anajua tu kupiga mangumi
 
kaka zangu na dada zangu wana jf nawakaribisha mje mniimbie kwenye harusi yangu huuu wimbo

dada huyooo anaolewa
dada huyoooo anaolewa
mahariiii ishatolewaaaa
mahariiii ishatolewaaaa

kwa watakao kuja please confirm ili niwaandalie kadi pamoja na notten za wimbo lol

nyani ngabu atakua anaimba solo, rosweeter atakua anaongoza msafara wa waimbaji, babu ngosha atakua anapiga kinanda na preta atatoa wosia kwa niaba ya mmu

tafadhali pendekeza jina la mtu wa kupiga gitaa, kucheza ngoma,kamati ya chakula, vinywaji nk
haya uwanja ni wenu

Mi niweke kamati ya ulinzi!
 
Back
Top Bottom