Dada FaizaFoxy: Kikao cha Bunge Kinaisha lini?

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045

Viongozi wawili wa CHADEMA, maarufu na wenye hadhi, ama wataachia ngazi wenyewe na kujiunga chama kingine ama watavuliwa madaraka kabla ya kuwachia wenyewe.

Anaejuwa maana haambiwi maana! Source: FaizaFoxy

Nadhani .....Narudia. Tutaona viongozi wawili maarufu ya ama wanaachia ngazi cdm ya ama wanabanduliwa magwanda......

Au ulikuwa unamaanisha .....CHADEMA WATAPOKEA MAWAZIRI WAWILI?

Katika hali ambayo ilijulikana na ambayo inaelezwa kukolezwa kwa kutokuwepo jawabu la kujivua gamba, ni wazi sasa Sitta na kundi lake katika kuwania urais mwaka 2015 wameanza harakati za kujiweka sawa na wana CDM ambao wanaamini wataweza kuwapigia upatu kujiunga na chakma hicho mwaka 2015 kama mambo hayatakuwa upande wao katika CCM..

Bado hamjakamilika, siwezi kupoteza silaha yangu bure, nawangoja mkusanyike.

zomba a.k.a................a.k.a...........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a......
....a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a...
.......a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a
..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a
..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........a.k.a..........Naomba jibu la swali hapo juu!

Wazo la leo:

Ukiwa mkweli huitaji kukumbuka chochote!
 
Alikuwa anafanya majaribio ya kumrithi shehe Yahaya lakini naona majini yamempiga chini na kumwacha awe nabii wa uongo.
 
Au ulikuwa unamaanisha .....CHADEMA WATAPOKEA MAWAZIRI WAWILI?

Wazo la leo:

Ukiwa mkweli huitaji kukumbuka chochote!

Hujaona? amma kweli huna macho, wala masikio. Hapo ndio ujuwe FF yupo juu. Unataka nikuletee ushahidi ambao umo humuhumu JF, kwa hayo niliyoyasema?
 
Mbona mmeikimbia hii mada mlioanzisha wenyewe? au mshaona ukweli? mimi nawangoja mjazane nishindilie nondo.
 
Hujaona? amma kweli huna macho, wala masikio. Hapo ndio ujuwe FF yupo juu. Unataka nikuletee ushahidi ambao umo humuhumu JF, kwa hayo niliyoyasema?

Sijaona. Ila nikiuona ushahidi nitaujua, na nikiambiwa la kweli nitasikia na kuliamini.

Mbona mmeikimbia hii mada mlioanzisha wenyewe? au mshaona ukweli? mimi nawangoja mjazane nishindilie nondo.

Dada, usiende kishari, hapa hamna shari.
Ukweli hauhitaji kuonyeshwa, ukiwepo kila mmoja anaona. Maana nuru yake yajitoshereza. Na mwenye ufahamu akiona haitaji kuuliza. La muhimu tu, angalia usijekunishindilia njiti/chelewa ukidhani ndo nondo! Karibu.......
 
Watu hamna vitu vya kujadili mda wowote mnamwaza FF huyo ni nani wenu hapa JF?
 
Watu hamna vitu vya kujadili mda wowote mnamwaza FF huyo ni nani wenu hapa JF?

Wa Kusoma,
Habari ya ziara Kigoma?
daima, usifanye kosa la kumwaza mwanadamu maishani. Waza na jadili mawazo yake, matamshi na matendo yake. Lakini haya yote yawe yale tu yanayoathiri umma. Ndicho tunachokifanya hapa. Karibu........
 
ee bwana huku mambo yako fresh, japokuwa sijafanikiwa kukutana na jf member hata m1 hapa kgm wakati kule nilikokuwa tulikuwa 2naonana kila weekend

wapo kibao,mmojawapo asp...... Kuwa na adabu tu kwenye thread za watu watakutafuta.
 
wewe dada FF wenzako wanawashwa kwingine wewe unawashwa vidole

ama hata cameroun yako inawasha.!!!!!!!.
 
Bado hamjakamilika, siwezi kupoteza silaha yangu bure, nawangoja mkusanyike.
 
Back
Top Bottom