Dada agonga pampu ya kujazia mafuta

Vituo vingine huwa wanaweka chuma kuzunguka pamp ili kuzuia ajali kama hizo.
 
shilingi ngapi hiyo inauzwa? isijekuwa sawa na garama ya icho kigari chake...hahaha.
 
hao marafiki zake mmoja wapo ni member wa jf. huyo wa kulia.
 
Dada alikuwa anaendesha kwa mbwembwe na alikuwa amewapakia mashosti huku akiwa amevaa tinted machoni kilicho mkuta ndo hicho alitaka sifa sasa zimemgarimu
 
Dada alikuwa anaendesha kwa mbwembwe na alikuwa amewapakia mashosti huku akiwa amevaa tinted machoni kilicho mkuta ndo hicho alitaka sifa sasa zimemgarimu

Hii gari niliiona jana asubuh pale iringa central police sikujua kama imepata msala kama huu na n mwanaume ndo alikuwa anaiendesha kwa mbwembe parking pale kituon.
 
bado najiuliza ni vipi ameifikia hyo pampu
alikuwa katika mwendo gani hata pawe na madharamakubwa hvyo
 
Ilikuaje akafikia hiyo pump!!! loh!!
..Mbwembwe tu hapo..unaweza kukuta alikuwa analonga na buzi lake kwenye blackberry yake kutahamaki kitu hiki...anaongeza moto badala ya breki..noma!
 
Back
Top Bottom