Daah....nimetafuta kazi jamani hadi sasa napoteza imani

Nakushahuri pia uangalie jinsi unavyoiandika CV yako, maana hiyo ndo interview ya kwanza. Check online for the best CV, maana ki2 kikubwa kwenye CV ni kuonyesha your capabilities clearly and in simple way for easy understanding, waajiri wanapokea CV nyingi sana na hawana muda wa passthrought each. So make your CV interesting to read and to meet you.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom