Daaah hii inafunga mwaka kabisa wadau maana imeniuma zaidi wanafunzi hawa waweza lia mdau

more worse to come! yaani na bado! ktk linchi lisilo na uongozi lazima tutegemee hili. Pesa zoe wamekumbatia mafisadz na network zao! God bless Tanzania, God Bless Tanzanians! tunalia machozi ya damu sasa! na kama hautachukua hatua tutalia machozi a usaa! i am done! Watoto wetu wanapata malipo haya kweli??
 
halafu kumbe 1bn inaweza kupatikana kutoka wizara moja tuu!wanawaza kupitisha bajeti badala ya kuwaza maendeleo
 
Uamuzi thabiti wa nchi hii tunayo wananchi kama hatujaridhika na hili tuchukue hatua 2015 ya kuwawajibisha kama wameshindwa kujiwajisha wenyewe
 
Hii shule naipata sana Bungo ipo mjini sijui za vijijini zipo katika hali gani duh!!!
 
tufanye utafiti twaweza sikitikia jambo ambalo academicaly lina faida kwa wahusika e.g wametawanyishwa kuondoa nafasi ya kupeana majawabu (kusaidiana) tutafiti tujiridhishe ni upungufu wa vyumba vya madarasa, madawati au uwiano wa wanafunzi na madawati inapokuja swala zima la majaribio na mbinu sahihi kuwezesha kupata matokeo sahihi kwa watahiniwa n.b natetea matumizi ya zana tulizonazo kupata matokeo yaliyo bora.
 
Mkoa wa morogoro ni mikoa mojawapo ambayo CCM INAJIVUNA KUWA NI NGOME YAKE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom