Elections 2010 Daa ni hatari kumbe kweli JK aliiba kura....

Mkuu sifahamu umri wako wala kiwango chako cha elimu bt mvuke unaotema hapa unaonyesha una matatizo makubwa.
Tahadhari "KUWA KICHAA SIO MPAKA UVUE NGUO" Jitathmini mwenyewe Makamba

we ndio mzembe kweli kweli, na wewe umejikubalisha kutemewa mate? du aibu mkuu kwani sweetlady nimemtemea mate ya uzazi na wewe unataka bado. mkuu hapa suala la umri halina nafasi kwani umri wako wewe ungekuwa unadhani unatusaidia usingekubali kuzoeshwa kwamba hufanyi jambo mpaka ulipwe kama ulivyo zoea huko kwa wanamaandamano.mwambie sweetlady kesho aje ofisini kwangu aone ninavyouza kahawa.mimi interview sitomuomba rushwa ya ngono kama alivozoea kugawa kama karanga.
 
Tehe! Kumbe hata kijiwe cha kahawa nacho ni ofc???
 
we ndio mzembe kweli kweli, na wewe umejikubalisha kutemewa mate? du aibu mkuu kwani sweetlady nimemtemea mate ya uzazi na wewe unataka bado. mkuu hapa suala la umri halina nafasi kwani umri wako wewe ungekuwa unadhani unatusaidia usingekubali kuzoeshwa kwamba hufanyi jambo mpaka ulipwe kama ulivyo zoea huko kwa wanamaandamano.mwambie sweetlady kesho aje ofisini kwangu aone ninavyouza kahawa.mimi interview sitomuomba rushwa ya ngono kama alivozoea kugawa kama karanga.
Acha kujifagilia bana toka lini SHOGA akatema mate ya uzazi??
 
hata tahira akikutemea mate ya uzazi siyo mbaya, na nahisi kuanzia siku hiyo ndio utakoma kutoa rushwa ya ngono huko kazini kwako.mtoto unachakachuliwa mpaka unapoteza utaifa wako, hujulikani tena wewe wa taifa gani kwa jinsi ulivyochakachuka. Halafu unajiona una kazi ya maan? kazi yenyewe wewe kibarua, wewe na muuza kahawa ngoma droo, tena muuza kahawa hana tabu na mambo ya rushwa ya ngono ila wewe toka kwenye interview mpaka leo unachakachuka tu.

unaona utamu nepi kukulipa buku 2 ili ulete ujinga hapa,nyie ndo vijana mliokua chini ya milaji uchaguz ulipoisha wakawatelekeza,nasikia ulianza kujiuza/kuuza mwili,sasa nepi kakuajiri unajiona umefika.
 
mbona slaa mwizi tena aibu iliyo kubwa ni mtu aliyekua katika maadili ya kiroho lakini alikuwa mchakachua wanawake yakamshinda na hatimae akanogewa na mke wa mtu mpaka akamuiba na bila aibu akawa anamnadi kwenye majukwaa sijui yule mama alimuwekea limbwata mpaka Dr akajisahau? mimi sijui ila kamshangae kwanza huyo.
ukimaliza huyo kawashangae wale viongozi wa kiroho ambao wamejifanya hawaoi hali ya kuwa Mitalimbo yao iko active sasa Jumapili huishia kuwachakachua wanawake walionona wanaoenda kuwatamanisha

Irrelevant! kinachozungumziwa ni wizi wa kura, halafu mwenye kudai mke alishafungua kesi mahakamani na mpaka leo kimya! wewe unaelewa nini hapo? ukizingatia dr. anategemea kupata mtoto hivi karibuni kutoka kwa huyo mnaesema mke wa mtu! acha ushabiki maandazi, ilikuwa mbinu ya kisiasa lakini iligonga mwamba.
 
swali la nyongeza kwako sina ila kamuulize huyo anayedai kaibiwa muulize aliibiwa kura gani? mbona wanachama wake bado anao? mwambie awahesabu nchi nzima aone kama angeweza kushinda kwa kura. yeye ushindi alikuwa nao kwenye media siyo kwa wapiga kura.halafu nyani haoni kun...le, mbona naye mwizi tena mwizi mkubwa? kathubutu kuiba mke wa mtu?!!! wala huumii kwa hilo. ebu Mtamu jiulize wewe uibiwe mume wako utajisikiaje?huyo ndo tunatakiwa tumshangae kwani wanawake mko wengi,huenda wewe hujaolewa siungeenda akakuowa tu mtamu?

we ndo mpuuzi kweli yaani unadhani idadi ya wanachama ndo ina
determine ushindi! kwa akili yako unadhani wote wanaojiandikisha na kupiga kura lazima wawe members wa chama fulani! kashangae kenya KANU iliangukaje.
 
Ushahidi mkubwa kwa jk kuiba kura alishautoa Magamba mwenzao yule msema hovyo wa vyama vya siasa yulee aahh unamjuaa bana!!!Tendwa!!
 
kuchukua mke wa mtu inategemea huyo mwanaume anatoa care kama hutoi wezio wanajisavia
jamani ccm wanahoja nyepesi sana hii nayo wanaona hoja mbona jk anachukua wake za watu na tunawafahamu sasa hvi amewahonga madarka kwani hatujui, uliza kisa cha kufungwa babu seya na wanae kisa jk analazimisha mapenzi. yule mke wa kocha wa timu ya wanawake mbona kama mke wake tu, sasa hivi mkuu wa wilaya huko tanga hebu waulize walinzi wa jk akifika huko huwa haitaji ulinzi mme wake amehongwa ukocha wa timu yataifa ya k
 
Out of the topic pls.
I am a new comer and i want to know how to post new topic. Help me pls.
 
Ok, Jumamosi wengi mnaenda kwenye mitoko. Ok kwa yeyote atakayesoma hizi post zangu anisaidie kunielekeza. Mi mgeni kwenye hii room
 
Ok, Jumamosi wengi mnaenda kwenye mitoko. Ok kwa yeyote atakayesoma hizi post zangu anisaidie kunielekeza. Mi mgeni kwenye hii  room  
 
Back
Top Bottom