Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Sio tu kupanda ndege tu hata msafara wa Prezda wa bongo kutoka magogoni kwenda kijitonyama una magari mangapi? je msafara wa huyo PM wa UK akiwa kwao wanatumia gari ngapi.Utashangaa . probability kubwa ya threat iko wapi.
Kwenye nchi zetu ni ufahari zaidi kuwa kiongozi kuliko majukumu. So most of african leaders wanafarijika zaidi.
Kwenye nchi zetu ni ufahari zaidi kuwa kiongozi kuliko majukumu. So most of african leaders wanafarijika zaidi.