D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Ok nilikuwa sijaangalia vizuri hii screenshot ya Yericko Nyerere nimeona hapo pembeni kuna tarehe (June 5, 2015), aisee siamini kama mkuu Yericko unaweza kufanya uhuni wa kiasi hiki, nahisi labda sijaelewa hasa una maana gani.. Ila kama unajaribu kujenga hoja kuwa hii stori ni yako mkuu wangu umenivunjia heshima mimi na umejivunjia yako kwangu maana huwa nakuheshimu sana mkuu..

Now let's settle this, its very simple.. Kwanza naskia hata hasira kuanza
kujitetea ati ni stori yangu ukizingatia jinsi nilivyojipinda kuandika huu uzi ila for the sake of argument wacha nihighlight mambo kadhaa maana uongo ukiachwa bila kushughulikiwa unaweza kugeuka ukweli..

1. Kila mwandishi ana style yake ya kuandika (swag, midondoko) na ana fleva yake ya story telling ndio maana ukishika kitabu bila ya kuangalia jina la muandishi ukasoma tu stori unaweza kutofautisha huyu in Harlan Coben na huyu ni Robert Harris.!! Yaani kwamfano; moja ya watu ninao penda stori zao humu JF ni Lara 1, hata ukikuta stori yake huko whatsapp watu wamepost bila hata jina lake kuwepo ila utajua tu huyu ni Lara 1. Ndio hiyo naongelea swag na midondoko ya story telling..
Sasa soma stori zangu zote, kuanzia zile za mwaka 2014 hadi za mwaka huu angalia aina ya stori zangu, pia angalia 'swag' yangu ya usimuliaji alafu baada ya hapo nenda kaangalie stori za Yericko. Utapata jibu..

2. Jiulize swali dogo kama ameandika hii stori mwaka 2015, hebu wajitokeze watu waseme wamewahi kuiona hii stori mwaka jana ikiwa imeandikwa hivi hivi! Wajitokeze waseme waliiona wapi?? Kama hawapo jiulize aliiandika akawa anasoma peke yake chumbani???

AMEFANYAJE..

Sasa swali; kama amekopi kwangu kwanini tarehe inaonekana June 5, 2015.

I have two guesses..

i) nahisi kwenye hiyo blogu (sijui ni blogu gani maana hata jina alionekani sawia) katika tarehe hiyo alipost kitu kwenye blogu. Sasa alichofanya ni kwamba akachukua hii stori huku alafu akaenda kuipost kwenye post yake ile ya kwanza ya tarehe hiyo husika (editing)
Yaani hivi; mfano hapa hapa JF nenda kwenye post yako yoyote ya zamani labda wiki moja nyuma au mwezi au mwaka alafu jaribu kuiedit hiyo post na uandike kitu kingine! Kitakachobadili ni ile post mpya uliyoweka ila tarehe itabaki ile ile ya zamani!
That's my first guess..

ii) its a "dummy screen shot"
Huko play store kuna apps kibao za kutengeneza screen shot zinafanana kabisa na zile app watoto/vijana wanatumia kujiedit wametokea kwenye cover la Vogue magazine etc..

So far nafikiri ni moja kati ya hivi viwili amekifanya au kingine ambacho sijakifikiria..

Mwisho; inatia hasira kukaa hapa kujijitea kuwa stori ni yangu ukizingatia naandika hapa silipwi wala kuongeza sumni kwenye akaunti bank but still nimejipinda kuandika na kushare nanyi hapa!! Watu kama kina yericko ndio wanaokatisha tamaa hata mtu kutumia mda wako kuandika alafu from no where kidudu mtu anakuja kutingisha kibiriti kuwa ni stori yake..
Lakini sio kutia hasira tu bali nasikitika suala hili kufanywa na mtu ninayemuheshimu kama yericko! Umenihuzunisha sana.. Najiuliza kama kijiuzi tu cha The Bold una dandia na kujifanya ya kwako, je, kule kwenye taasisi/chama wanapo/tunapo kutegemea utushauri kuhusu masuala ya usalama huwa unatuingiza chaka mambo mangapi??? Inasikitisha sana, this is too low mkuu..

Lakini mimi niko positive sana kitu kama hiki nakichukulia positive pia! Hapa niko nalinganisha kitu hiki ulichokifanya na mfano anatokea President Obama anajitangazia kuwa mkeo hata yeye alimtolea mahali kabla yako na anataka umuachie, inatia hasira lakini kwa upande chanya lazima ujisifu "aisee kumbe mke wangu mkali mpaka Obama anashoboka"!!??
Ndicho ninachowaza mimi wakati huu; kama mtu anayejitanabaisha kuwa ameiva na nguli wa masuala ya usalama anakuja na kuanza kujitangazia stori zangu ni zake kumbe The Bold am really really really good at this!!!

Naanza kufikiria kutoa vitabu kama wengi mnavyonishauri wakuu!! We can do this..
Possibly ame back date kama maelekezo haya yanavyosema

how to backdate your post on WordPress blog

Beginner's Guide: How to Back Date Your WordPress Posts

 
Hao FBI wakati wanarudia hiyo safari i mean walipouvaa uhusika wa jinsi ile ndege ilivyosafiri waka set na mda ule ambao marubani walisema walisikia sauti kuashiria mlango ulifunguliwa na cooper halafu wakaenda ku deal na sehemu hiyo waliyoibashiri kuwa ndio yenyewe naona walikosea sana kwa sababu wakati cooper anadondoka kwa parachute huenda alienda kutua sehemu ya mbali sana au alisubiri kwa mda hapo mlangoni ili kuwapoteza wapelelezi halafu akaenda kudondokea sehemu ya mbaaali kimya kimya.
Ila siwapondi sana hao FBI kwa sababu hilo eneo walilokua wanahisi cooper kadondoka walilichunguza sana bila mafanikio na eti wakaja kutapa pesa baadae sana tena sio zote.
Wangelikua wajanja wangemkamata yule dogo aliezichimbuz hizo pesa halaf wamchunguze vizuri pamoja na wazazi wake ikiwezekana wapewe adhabu kali ili waseme ukweli, huenda cooper alikua anawafatilia aone watafanyaje na baada ya kujua wame concentrate mahali flani yes akaenda kuchimbia hapo hizo hela ili kuwazima kabisa.

FBI wangepaswa wawabane wale watu watatu waliobaki kule kwenye ndege ili kujua ukweli zaid kwani huenda muvi ilichezwa vizuri tuu na wahusika i meen marubani wawili, fundi na huyo dada walicheza game kuwapoteza FBI.
Pia kwa ninavyo fahamu pesa inavyopendwa sio rahis cooper azichimbie zile pesa, huyu itakuwa kuna kibaraka wake alimuambia usizitumie hizo pesa zimechukuliwa serial number ndo maana nasema hii ni game tuu wala hao FBI wasikune vipara sana.

Au kwa upande mwingine hawa FBI walitaka kuupotosha ulimwengu tuu. Hakuna ukweli wowote wa hilo jambo ni research walikua wanafanya na pia huyo cooper atakua aliwasoma mda akajua hii ndio njia ya kuwakabili ili wakipitia hii njia wasinipate na pia mtu kama huyo atakua ni FBI ambae kalizunguka FBI ili kujitest na yeye anaweza?
Pia kwa zile ndege zilizokua zinafuatilia itakua kuna fitina ili fanyika kule maana wangeona tuu mtu akidondoka hata kama ni usiku wingu limetanda na giza bado taa zingemwilika au basi kama vipi hiyo hali ya hewa ilifanya asionekane basi.
 
Infantry inawezekana kabisa alibaki ndani ya ndege lain ndege ilishusha abiria na mizigo yao kabla ya kuondoka na pesa pia ndege ilikuwa chini ya uangaliz mara baada ya kuondoka na fedha pia ingechezwa na team ingekuwa imejulikana kwan watu cwengi walifanyiwa utafiti wakiwemo waliohusika wote kuanzia abiria kituo wstumishi wandege na fbi wenyewe
 
Mkuu bold nimeona lile dude lako jingine mzee sasa nimekuelewa

Naomba kufuta kauli yangu rasmi kama hii story ulicopy kutoka kwa yerico nyerere

Nisamehe bure next time ni tag tena kama ulivyofanya
 
Mkuu bold nimeona lile dude lako jingine mzee sasa nimekuelewa

Naomba kufuta kauli yangu rasmi kama hii story ulicopy kutoka kwa yerico nyerere

Nisamehe bure next time ni tag tena kama ulivyofanya
Hahahahaha!! Nashukuru sana mkuu..
Sitasahau kukutag nikishusha nyingine
 
Hingera sana uko vizuri mkuu, tuelezee japo kwa ufupi story ya yule jamaa aliyeteka ndege ya Misiri mwanzoni mwa mwaka huu
 
Yaani mkuu unahitimisha kwa maneno mawili alichofanya DB Cooper na baada ya FBI kuja na intensive investigation kwa miaka kadhaa ?
Katika hali ya kawaida hao jamaa wa FBI walishindwa kuwaza kama wewe ?

Kweli Tanzania tumebarikiwa na mashushu wenye akili kubwa kama wewe


The Bold Hongera
 
Back
Top Bottom