Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,671
- Thread starter
- #421
Nashukuru kwa 'input' maridhawa.. Ndio maana hata kwenye heading nikaandika "tukio lililogeuka hadithi ya 'alfu lela ulela'" kwasababu wako wengine hawaamini kama tukio la ufanisi kama hili linaweza kufanyika!HAPA watu wanataka wasikike au waonekane wanajua. hii habari mtu haitaki akae kimya, yametolewa machapisho na vipindi kwenye tv za wenzetu zinazoonyesha vipindi vya ukweli kama 'FBI FILES'. mimi nimefatilia hiki pikindi, walitoa habari hii kama ulivyo andika, kwangu nachukulia kama umetafsiri ili wajue wengi,
ILA NI YA KWELI.
View attachment 387287
Nashukuru mkuu naona umeingia mpaka kwenye archives za FBI kudodosa zaidi.. Baadhi hawaamini lakini "wezi wa daraja la kwanza" wapo sana duniani