D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

ilikuwa 1971,adjust na inflation leo ni inakuwa hela nyingi sana
Nilisha consider adjustment for inflation kwenye bandiko hilo hilo, hukuona? Bado sio pesa nyingi kihivyo.

umetumia kigezo gani kufanya valuation ya pesa ya mwaka 1971 na miaka 45 mbele??
Well, hata economic historians hawakubaliani jinsi rahisi au uhakika ya kuthaminisha hela za miaka tofauti. Lakini ugumu hauzuii kujaribu.

Kuna vikokotozi mbali mbali vya mfumuko wa bei (inflation calculator) kutoa walau picha ya wastani, mojawapo maarufu ni kutumia Consumer Price Index. Kwamba je, ungehitaji shilingi ngapi leo kununua sahani ya Mama Ntilie ambayo mwaka 1971 tulikula kwa shilingi 1? Jibu lake kwa leo buku jelo, buku mbili.

Kwa Marekani nimetumia Inflation Calculator inayotumia Consumer Prive Index ya Idara ya Kazi na Takwimu, US Bureau of Labor and Statistics. Nikapata hela ya Cooper $200,000 ni sawa na kama $1.2M kwa leo.

Ndo nikasema mshahara wa pilot wa Marekani haupishani sana na hela ambayo wa kina Cooper, ma pilot na flight attendants wangepata kwa kugawana. Bado hatujaongelea FBI waliokula njama kama wapo. I mean, sidhani kama wange risk career zao, maisha yao, kukamatwa (criminals wanajua mkiwa wengi mnaongeza risks za kuisha). Sio kwa $230,000 kila mtu (watu 5). Njama hailipi.
 
Nilisha consider adjustment for inflation kwenye bandiko hilo hilo, hukuona? Bado sio pesa nyingi kihivyo.

Well, sijui uchumi lakini hata economic historians hawakubaliani jinsi rahisi au uhakika ya kuthaminisha hela za miaka tofauti. Lakini ugumu hauzuii kujaribu.

Kuna vikokotozi mbali mbali vya mfumuko wa bei (infation calculators) kutoa walau picha ya wastani, mojawapo maarufu ni kutumia Consumer Price Index. Kwamba je, ungehitaji shilingi ngapi leo kununua sahani ya Mama Ntilie ambayo mwaka 1971 tulikula kwa shilingi 1? Jibu lake kwa leo buku jelo, buku mbili.

Kwa Marekani nimetumia Inflation Calculator inayotumia Consumer Prive Index ya Idara ya Kazi na Takwimu, US Bureau of Labor and Statistics. Nikapata hela ya Cooper $200,000 ni sawa na kama $1.2M kwa leo.

Ndo nikasema mshahara wa pilot wa Marekani haupishani sana na hela ambayo wa kina Cooper, ma pilot na flight attendants wangegawana. Bado hatujaongelea FBI waliokula njama kama wapo. I mean, sidhani kama wange risk career zao, maisha yao, kukamatwa (criminals wanajua mkiwa wengi mnaongeza risks za kuisha). Hailipi, sidhani kama ni njama.
Punguza kiherehere mkuu...naona uzi umekua wako ss aisee
 
Punguza kiherehere mkuu...naona uzi umekua wako ss aisee
hahahahaaaa.... wow!

Nina viherehere kwenye discussions? Jamani haya mambo hayataki hasira!

Anyhow, lazima nikukomaze kimawazo wewe, hujazoe spirited discussions, unataka mtu aingize vichorombwezo vyake kwenye vitu technical halafu apeteshwe. I mean, mambo ya aviation aerodynamics ni too technical to mislead people about.

Ndege ina controliwa manually kutokea viti vya nyuma, Jesus Christ! I mean, give me a friggin break! Ndio maana Cooper aliichagua kwa sababu Boeing 727 abiria na sisi tuna input, tuna maamuzi kwenye spidi na altitude ya ndege, tena "manually," sio kutoa opinion kwa pilot, abiria tuna power "manually." Huwezi kusema kitu outlandish namna hiyo ukabaki salama!
 
hahahahaaaa.... wow!

Nina viherehere kwenye discussions? Jamani haya mambo hayataki hasira!

Anyhow, lazima nikukomaze kimawazo wewe, hujazoe spirited discussions, unataka mtu aingize vichorombwezo vyake kwenye vitu technical halafu apeteshwe. I mean, mambo ya aviation thermodynamics ni too technical to mislead people about.

Ndege ina controliwa manually kutokea viti vya nyuma, Jesus Christ! I mean, give me a friggin break! Ndio maana Cooper aliichagua kwa sababu Boeing 727 abiria na sisi tuna input, tuna maamuzi kwenye spidi na altitude ya ndege, tena "manually," sio kutoa opinion kwa pilot, abiria tuna power "manually." Huwezi kusema kitu outlandish namna hiyo ukabaki salama!
Hakuna mwenye hasira...mawazo yangu yalisha komaa kitambo sana, sio kila anaekuambia ufanye yako hajui lengo lako..au unafikiri ni wewe tu ndio unaejua ndege inavo fanya kazi..?. .tunajua vipi inafanya kazi ila tumekaa kimya ...unaonaje ukianzisha uzi wako unaopinga iki kilichoandikwa na The bold...?

Halafu mbona unacheka cheka ovyo..?we ni mwenyeji wa pwani nini.?
 
Ukitumia simu kupitia intanet ya bure ya airtel au tigo, JF inakuwa tofauti kidogo.
Mtu akiquote thread ndefu, itakulazimu uipitie yote tena.
Hata ukiwa "home" ID yako inaonekana kabisa ambapo ukitumia njia ya kawaida, badala ya ID, itaonekana alama ya profile.
Tunapolalamika kuwa wanao-quote thread nzima wanatuumiza, ujue tunatumia hiyo version.
Hivyoo! Poleni Sana Wakuu!
 
Story nyingi za aina hii huletwa humu kwa kutumia lugha ya Malkia.....na kwa vile lugha hii Ni lugha gongana kwa wengi humu ndani......basi wote wamemaliza hasira zao Leo kwa kumsifia mleta mada, kwamba oooh! Kiswahili chake kimonyooka, kwamba Oooh! Anatumia maneno ya Kiingereza pale penye ulazima!!! Kumbe wanafikisha ujumbe kwa wale wa upande wa pili......by the way mtoa mada, Umetafasiri kwa Kiswahili sanifu kabisa! Big up!!!
 
Wakuu kumradhi kwa hii post ninayoiweka sasa maana nitatumia maneno makali kidogo..

Kuna huyo jamaa hapo juu naona mnapoteza mda mwingi kubishana nae, niseme hivi;

Kwanza naomba ninukuu kipande kidogo cha taarifa iliyotolewa na FBI iliyotolewa mwaka 2011, inasema hivi:
"..he chose 727-100 aircraft because it was ideal for a bail-out escape............ he knew that the aftstair could be lowered during flight - a fact never disclosed to civilian flight crews - and its operation , by a single switch in the rear of the cabin, could not be overridden from the cockpit................. Copper knew how to control its air speed (the aircraft) and altitude without entering the cockpit where he could have been overpowered by the three pilots....."

Hiyo ni sehemu ya kipande cha taarifa ya FBI kwa umma mwaka 2011. Sasa huyu mjomba anabishana mpaka na FBI kwamba hawajui yeye ndiye anajua zaidi, kisa tu anajua kugoogle...
Takribani siku tatu huyu mwenzetu anakuja na kupost mambo yale yale hata pale ukiwa polite kumweleza kuwa OK ninekuelewa lakini dakika chache atarudi tena na kupost mambo yale yale. Ni mpuuzi pekee na asiyekuwa na akili timamu au kujitambua ndiye anayeweza kufanya ujinga kama wa huyu jamaa.

Napenda sana criticism na zinanijenga sana, ndio maana hata simulizi zangu nakuwa naziboresha kila inayofuata inakuwa tamu zaidi ya iliyopita. Nawashukuru wote mnaokosoa kwa nia ya kujenga na kunishauri kupitia PM au hata hapa kwenye comments; lakini huyu mwenzetu sio mshauri wala mkosoaji huyu ni wale ambao Mzee Msekwa aliwaita wana wivu wa 'kike'.

Naomba tuendelee kufurahia simulizi tuachane na huyo mpuuzi kwasababu mtu mpuuzi anastahili kitu kimoja tu; kupuuzwa.
 
But why tupewe ban?
D. B. Cooper story is not a fiction, vitabu vyote unavyovisema ni true story, zina facts of the event pamoja na analysis za mwandishi, na inajulikana fika kipi cha ukweli kipi mawazo ya kichwani ya mwandishi. Hawajaongeza vichorombwezo vyao kunogesha stori. Huwezi kusema Boing 727 hairuki zaidi ya 10,000ft ndio maana Cooper aliichagua, si kweli, huna leseni kama ya mtunga fiction.
Huwezi kusema Cooper alichagua Boeing 727 kwa sababu ndio ndege pekee duniani ambayo unaweza kuiendesha kutokea upande wa abiria! I mean,
Kwameh kwanza nakataa hukuwepo JF tangu 2007 kwani JG haina utaratibu wa kumkosoa ai kumsahihisha mleta Mada ni utaratibu kumtua mleta Mada kuliko Jukwaa lipoe hii ni kwa ninyi wageni mnaoshindwa kutafuta Mada mpya.
Hii ni Trye story nilishakuambia na ndio maana haina mtunzi mmoja mpaka leo na The bold asipingwe kwani juzi 09 mwezi huu kulikuwa na mwaliko wa discussion kuhusu DB Copper kila mu alialikwa kwa hiyo hata wewe ungeenda kuchangia mapyaau The Bold
Puyallup Library to host an evening of DB Cooper discussion
Posted on August 2, 2016

At some point during that flight, at an altitude of about 10,000 feet (1.9 miles), the man executed one of the most flamboyant getaways in criminal history: He leapt out of the back of the jetliner into the night with a parachute and the ransom money.
http://nypost.com/2016/07/12/fbi-closes-books-on-legendary-d-b-cooper-skyjacking/
kwa hiyo Kwameh toka mwaka 2007 sijakuona na zimekuja story nyingi hujabisha km za Simbaulanga, Sokoine, Idd Amin, Kasusura ila hii tu umeishupalia kuwa unaifahamu,
"..he chose 727-100 aircraft because it was ideal for a bail-out escape............ he knew that the aftstair could be lowered during flight - a fact never disclosed to civilian flight crews - and its operation , by a single switch in the rear of the cabin, could not be overridden from the cockpit................. Copper knew how to control its air speed (the aircraft) and altitude without entering the cockpit where he could have been overpowered by the three pilots....."​
Labda nikuombe tafuta story tuliendeleze Jukwaa kuliko kukaa kwenye mabishano na unachobisha hutuwekei hata Link ndio maana tunasema utatusababishia BAN
 
Back
Top Bottom