Cyprian Musiba wa Channel Ten adaiwa kula chakula chenye sumu

Kwa nini channel ten inaongozwa na Mkenya ambaye anapata 10m wakati wafanyakazi wanapata laki tatu na wanadai mishahara lakini wanafukuzwa.
Mkenya huyo anasafiri kila wiki kwenda Kenya na anamiliki TV nchini Kenya
Je kuna haki???

Mmiliki ndie ameamua alipwe hivyo kwa makubaliano yao....mbona hausemi nyie mnalipwa ngapi tupime..unaishia mshahara wake yeye tu na nyie je?
 
Si abebe hotpot ya msosi toka kwa mke wake! simpo as that kwani ni lazima ale hotelini
 
Back
Top Bottom