Cynthia Masasi yu wapi??

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,171
Wadau niaje,e bwana kuna mrembo alikuwa ana-hit sana miaka ya 2006 kwa kushiriki kwenye video za wasanii wa mamtoni,nasikia amekuwa-deported,sasa sijui yupo wapi kwa sasa?

::::deportee - a person who is expelled from home or country by authority:::::
 
yupo na mumewe wanakula bata,she is expecting.....kuwa deported sio mwisho wa maisha,wengi miaka ile ya kuchanja credits cards za wazungu walikuwa deported na wameweza kumove on vizuri tu....
 
Back
Top Bottom