CWT yaanza kusambaza ujumbe wa simu (sms) za mgomo kwa walimu nchi nzima

tatizo waimu wetu waoga sn sijui ni mazingira yao ya kaz au sehem walizokulia. Hua hawana msimamo mwanzo mwisho.

tatizo ni vyeti vyao. Wanajua kuwa hawakuitendea haki Elimu wakati wakiwa shule.
 
Wewe jamaa upo nchi gani,watu wana maasira wewe unaleta utani unataka muendelee kutawala tanzania kisultani kwa kusomesha watoto wenu nje sisi watoto wetu wabaki bila elimu,ikifika ajira mnaajiri majina yaleyale kisa wamesoma nje ya nchi,tumechoka kutawaliwa tunataka kujitawala hivyo walimu nao wasikilizwe watusomeshee watoto wetu,kwanza nawashauri walimu wagomee kusimamia sensa pia

kwani hiyo sensa wanafanya bure, si wanalipwa? Wagome kama wana uwezo.
 
tatizo co mkoba japokuwa naye anamapungufu mi.nadhani sec.na primary kila mmoja awe na chama chake.maana msingi hawaminiki,pia katika vikao huwa wanatubagua walimu wa sec.
 
HEBU TIZAMA TOFAUTI HII YA KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WA TZ! (Ajira mpya cheti)

Mwl 244,400/= Afya 472,000/= Kilimo/mifugo 959,400/= Sheria 630,000/=

Diploma mwl 325,700/= Afya 682,000/= KLM/MFG 1,133,600/= sheria 871,500/=

degree mwl 469,200/= Afya 802,200/= Klm/MFG 1,354,000/= Sheria 1,166,000/= Je upo tayari kuvumilia kunyanyaswa hivo katika utumishi wa umma wa taifa moja lenye soko la bidhaa lililo na mfumuko wa bei wa kutisha? Ungana na Cwt kudai nyongeza ya mishahara 100%, Teaching allowance hardship allowance. Wape sms hii walimu 20 tu! Mshikamano daima.

Una uhakika na source of information? Maana kuna watu wa kilimo na mifuko ninaowafahamu wa level ya diploma wamefanya kazi zaidi ya miaka 10 wanalipwa laki saba. Inawezekana tofauti zipo lakini jaribu kujiridhisha na source yako ili tusijechangia mambo yasiyo sahihi
 
kwa tanzania ninayoifahamu, wataitwa ikulu watapewa juisi kama madaktari halafu watasitisha mgomo na kumsifia rais wetu
 
Acheni kukashifu watu kama wanadai wanachoona ni haki yao, sijui kundi gani lililo na mnaojiona mrifaulu vizuri form 4 na 6 linafanya kazi vizuri wanasheria wengi wa tanzania maamuzi yao ovyo, watu wa it vimeo wengi sana hata kurekebisha tu mtandao wa atm unawashinda.
 
Wewe jamaa upo nchi gani,watu wana maasira wewe unaleta utani unataka muendelee kutawala tanzania kisultani kwa kusomesha watoto wenu nje sisi watoto wetu wabaki bila elimu,ikifika ajira mnaajiri majina yaleyale kisa wamesoma nje ya nchi,tumechoka kutawaliwa tunataka kujitawala hivyo walimu nao wasikilizwe watusomeshee watoto wetu,kwanza nawashauri walimu wagomee kusimamia sensa pia

wewe huwajui walimu wa Tz,yani ni vilaza kupita maelezo,maadili hamna,heshima0.0000%,kumendea vident vyake 100%...mwalimu anafundisha form4 hesabu hajui simultaneous equation juzi kaja kunfata nimfundishe akawafundishe vilaza wenzie wa shule ya kata anayofundisha,mi nlitaka wanaotaka kusomea ualimu wawe na div1,2,3 kuliko hawa waliofeli
 
mkuu sikiliza nikwambaie wengi wa waalim ambao wameshika nafasi za uongozi huko ct ni wa shule za msingi na hawa wana experience ya miaka kama 20 au 15 hivi. waalim hawa ni wake wa wakurugenzi, makatibu wakuu mameneja wa mashirika ya umma so wako na kuwasilikiza waume zao zaid. hawa wakitoka kwenye vikao huwa wanakwenda kuwaambia na waume zao wanakwenda kuyapresent hivyo tunakuja kuwa defeated baadae.

pia kuna kundi la waalim wa primary ambao ni waoaga na hasa ikitanguliwa na elim yao, matokeo yake ni kukwamisha kila kitu. baadhi ya waalim pia huwa wamefika kwa kuwa waalim so to them wanaresist kila kitu. wanhofia kukosa unga wa watoto.

but kuna kundi la vijana ambao wanajivunia elimu zao katika kiwango cha elim ya juu na hawa wako tayari kwa lolote but ni wachache sana uilinganisha na makundi mengine. so po ndipo penye tatizo but mm natangaza nia wazi ya kugoma hadi kieleweke juu ya waalim jamani hata teching allowance hatuna wala overtime lol!
Tatizo ni kwamba ukigoma peke yako, utapoteza kazi wewe peke yako. Cha mhimu, kama tunasambaza hizo message basi mojawapo ya nia ya hizo message iwe ni kumwondoa Mkoba na katibu wake. Hawa jamaa ni waganga njaa tu, hawana la maana. Kama Mkoba yeye tayari ana maisha mazuri kabisa, matatizo ya walimu wala hayamgusi. Mojawapo ya mikakati iwe pia kumwondoa Mkoba na kumwoka somebody ambaye atakuwa serious.
 
hawana kitu hawa wakitwa kwenye kikao cha majadiliano na kupewa sitting allowance zao inakuwa basi kuna badhi wanaamini kuwa CWT ni tawi/jumuhiya ya chama
Mimi nilishafanya kazi ya ualimu kabla ya kubadili kazi, hakuna mtu msaliti kama mwalimu hasa wazee ambao wanakaribia kustaafu. Adui wa mwalimu ni =mwalimu (personality yake)+kiwango cha mshahara+muda wa kazini.
 
Hakuna cha mwalimu wa sekondari wala wa msingi wote vilaza tu!mwalim wa form 4 ukitoa mtihani na mwanafunzi wa form 4,mwanafunzi anashinda
 
Wewe jamaa upo nchi gani,watu wana maasira wewe unaleta utani unataka muendelee kutawala tanzania kisultani kwa kusomesha watoto wenu nje sisi watoto wetu wabaki bila elimu,ikifika ajira mnaajiri majina yaleyale kisa wamesoma nje ya nchi,tumechoka kutawaliwa tunataka kujitawala hivyo walimu nao wasikilizwe watusomeshee watoto wetu,kwanza nawashauri walimu wagomee kusimamia sensa pia

weee usiwaponze wenzio hizo fulana ndio wanategemea mipalo,na hivyo vibegi vya watoto wao kwendea shule
 
Kuna haja ya kuandaa mtihani wa kuwapima waalimu, atakeyefanya vizuri anapandishiwa mshahara.
 
mkuu umesema kweli kabisa viongoz wa cwt ndio wanaotuangusha sisi waalim but hata wao sasa hivi tutawatoa na tutadai haki yetu hadi kieleweke

nasikia kuna chama kipya cha walimu kinacho tafuta usajili wa kudumu kinaitwa UMET nadhani hii inaweza kuwa ukombozi kwao

maana nasikia pia mkoa wa Kigoma wote wajitoa kwenye CWT na wanadai warudishiwe fedha zao hiyo kesi iko mahakamani
 
weee usiwaponze wenzio hizo fulana ndio wanategemea mipalo,na hivyo vibegi vya watoto wao kwendea shule
nimefuatilia sana pot zako unawaponda sana walimu, wamekukosea nini mkuu?

maana uanakuwa kama FF alivyo kuwa anawaponda madaktari walivyo kuwa wanagoma
 
wewe huwajui walimu wa Tz,yani ni vilaza kupita maelezo,maadili hamna,heshima0.0000%,kumendea vident vyake 100%...mwalimu anafundisha form4 hesabu hajui simultaneous equation juzi kaja kunfata nimfundishe akawafundishe vilaza wenzie wa shule ya kata anayofundisha,mi nlitaka wanaotaka kusomea ualimu wawe na div1,2,3 kuliko hawa waliofeli
ajira iliyo wazi bila rushwa ni ualimu ndiyo maana wengi wanajiunga nao maana huko kwengine iliyojaa ni rushwa tu na bila mpiga debe kazi haupewi hivyo watoto wawakulima ndiyo walimu wa nchi hii wa wenye nach huko kwingine.....

si walimu wote wenye div 4 labda huko kwenu
 
Tatizo wakigoma .. they can be replaced with a blink of an eye.. case yao ni tofauti na madactari ni wachache.. hawawezi wakawa replaced easily.. wavumilie ni wito.. mwalimu umekaa chuoni three years dactari miaka mitano hadi Sita. Wataka ulipwe sawa na yeye..
 
Tatizo ni kwamba ukigoma peke yako, utapoteza kazi wewe peke yako. Cha mhimu, kama tunasambaza hizo message basi mojawapo ya nia ya hizo message iwe ni kumwondoa Mkoba na katibu wake. Hawa jamaa ni waganga njaa tu, hawana la maana. Kama Mkoba yeye tayari ana maisha mazuri kabisa, matatizo ya walimu wala hayamgusi. Mojawapo ya mikakati iwe pia kumwondoa Mkoba na kumwoka somebody ambaye atakuwa serious.
Lukoko na mimi hii ndio ilikuwa nia yangu ya dhati kabisa. naona umefika mahali tunahitaji mabadiliko
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom