CWT Mbeya yawatimua viongozi wake na kuwatuhumu ni vibaraka wa CCM

CWT bana, watatishia mgomo na walimu kupata mzuka wa mgomo kumbe lengo lao mwishoni serikali ije iwahonge wasitishe mgomo.....Chama cha kingese sana hiki.

kwasasa kunapoelekea lazima kitu kitaeleweka kwani idadi ya wanazuoni wanaoingia kwenye kazi ya ualimu ni wengi na hakuna wenye wito hivyo mwendo mdundo na chama hiki lazima kivunjike kwani kama walimu wakikubaliana wanaweza kuanzisha chama kingine cha walimu kwa mfano walimu wa sekondari wanaweza kuanzisha chakwao na wa chekechea na wa msingi na kila kimoja harakati zikaendelea mpaka kieleweke
 
na uzuri vijana wengi sasa tunaingia kwenye hii kazi na uelewa upo juu,watuajiri kwanza hayo tutaonesha huko huko,haiwezi mfano mwalimu wa cheti alieanza kazi mwaka 2005 mshahara wa mwezi wa nov cwt contribution ni sh 9878! Hizi hela zinafanya kazi gani kama sio kumfanya mkoba na wenzie wazidi kung'aa tu? Imeniuma sana baada ya kuona ka salary ka shemeji yenu wamemkata hvyo

napenda kuwajulisha walimu kuwa makato hayo ni asilimia iliyosawa kwa watumishi wote wenye vyama vya wafanyakazi.hii ni kwa mujibu wa sheria iliwekwa kati ya serikali na shirikisho la vyama vya wafanyakazi.ni vizuri mkajenga hoja ili kiwango hicho kibadilishwe kwa watumishi wote siyo walimu tu.msome vizuri sheria za kuanzisha vyama vya wafanyakazi ili walimu msionekane mnafunja sheria bila kujua.
 
Hili halina tatizao Oscar,tutalifanyia kazi
 
napenda kuwajulisha walimu kuwa makato hayo ni asilimia iliyosawa kwa watumishi wote wenye vyama vya wafanyakazi.hii ni kwa mujibu wa sheria iliwekwa kati ya serikali na shirikisho la vyama vya wafanyakazi.ni vizuri mkajenga hoja ili kiwango hicho kibadilishwe kwa watumishi wote siyo walimu tu.msome vizuri sheria za kuanzisha vyama vya wafanyakazi ili walimu msionekane mnafunja sheria bila kujua.

Makato watu wasingejali sana kama chama kweli kingetenda kazi inayotakiwa lakini CWT ni bora liende tu.
 
Napenda kuwakumbsha hao wanafk wa cwt kua walimu wa enzi ya nyerere c walimu wa enzi ya kikwete! Na baadh ya walimu nia wanafk haswa ktk masuala ya maslah yao,wengne hawajui hak zao wpo wpo tu ilimrad kunakucha!
 
Back
Top Bottom