CV yangu kimapenzi...

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Mimi Magulumagu.....
Sina post ya maana kwa sasa, je nimefulia, sina sera, ni mpenzi wa JF how usiniulize...Siipendi CCM kivipi usitake nitapike....Nawachukia rais wetu Kikwete maana muongo na waziri mkuu wake...Nchi yangu nilikuwa naipenda kabla haijauzwa, kwa sasa kila mwenye nacho anajimilikisha anavyotaka...

Hehehe kama huna la kuandika sorry hapa si pake...niko vacation usiniulize wapi maana hata rais wetu husafiri kila wiki...
 
Kweli umepatwa!! Toka yale mashairi matamu mpaka hapa.... JK mwachie akili yake Magu jamani.....lol
 
Kweli umepatwa!! Toka yale mashairi matamu mpaka hapa.... JK mwachie akili yake Magu jamani.....lol

Ahadii on the Forum jamani hata wewe? Niko vacation kama mkulu acha akili nayo irelax.....Soon nitablast the jukwaa..
 
hizi ni bange tu. Pole sana Magulumagu

bange iko juu maana ni miti asili...je wanaolewa madaraka Je? wao sasa tuwaite wana nini vile? ndizi, karanga,vitumbua, maandazi au? wewe huipendi bangi? Bora mlevi/au addicted to Bangi than addicted to our CRAP a.k.a R.I.P source juu hapo..
 
jana nimebembea ka nini usiombe, halafu leo naenda kuangalia Basketball...I love vacation....wewe unaumia tu na jua la bongo? Pole sana...

Hahahaha! Hunishindi mimi! Next week naenda kuwaona boys 2 men. Afu si unajua hv majuzi tu nltoka kuhudhuria b'day ya mzee wetu Mandela? Ulienda wewe?
 
Hahahaha! Hunishindi mimi! Next week naenda kuwaona boys 2 men. Afu si unajua hv majuzi tu nltoka kuhudhuria b'day ya mzee wetu Mandela? Ulienda wewe?

Hehe sasa na majonzi kanitoka kipenzi wangu "Amy Winehouse"...nasikitika sijaitwa kwenye Janga la Norway.....hahahaha Unajua nyie Watanzania nyie swala la umeme mnalichukulia mchezomchezo tu hahaa....Nilifurahi sana mwandishi wa Bibisi nilipombwaga na maswali yake......sasa najifunza kuogelea visiwa vya marta na kumwona rafiki yangu Kipenzi...
 
bange iko juu maana ni miti asili...je wanaolewa madaraka Je? wao sasa tuwaite wana nini vile? ndizi, karanga,vitumbua, maandazi au? wewe huipendi bangi? Bora mlevi/au addicted to Bangi than addicted to our CRAP a.k.a R.I.P source juu hapo..
magu bana hutaniwi duh! Haya bana endelea kupuliza msuba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom