Washington International University is an unaccredited institution of higher education founded in 1994 and currently incorporated in the British Virgin Islands. It describes itself as a "university without borders," serving clients from around the world via distance education. The university website states that WIU's graduates have come from 112 countries. The name "Washington International University" is used in promotional materials for other unaccredited distance learning institutions. There are no known accredited institutions by this name, but at least four accredited Washington universities exist: the University of Washington, Washington State University, Washington University in St. Louis and George Washington University (see "Similarity of names" section, below).
magombe junior... umechemka sana kaka...info za Wikipedia ziko solid, japokuwa katika citations vyuoni haikubaliki. Huwezi kukuta information isiyokuwa na mashiko kwenye WIKIPEDIA na bado ika-stand out bila kuwa corrected, or worst case scenario kuwa deleted. So wake up bro na uache kutukana wachangiaji mada as if wote ni "wafugaji"
pamoja na kulopoka bungeni kumbe hana elimu hapa,elimu ni ya kuunga kuunga tu,hana lolote,siku zote mwenye elimu ndogo huwa hajiamini,ni fadhila tu wanazopeana hawa magamba kutoka kwa kikwete.
Lukuvi ni janga la kitaifa,yaani elimu ni ziro,kabebwa tu na kikwete ndio maana hajiamini na cheo alicho nacho,anaogopa kupokwa cheo na makamanda akina Lissu
Kwa observation aliyofanya jana hauitaji kujua elimu aliyonayo hata form 4 hasingesema vile. Personal fear hauwez kuifanya official state fear. Anachochea jeshi eti military coup itatokea threat za kitoto.awezi kujenga oja anatisha watu. Wakuu tuombe uzima msije shangaa wakati wowote jesh kutoa msimamo kws huo kwenye press conference kama alivyofanya CHIMBO
Cv kubwa ya CCM ni utokane na ukoo wa panya na uwe na uwezo mkubwa wa kukana ukweli na hali halisi ya maendeleo ikiwemo kauli zako pale inapolazimika. Mfano Refaa kauli na hotuba za kinana / Nape mikoani Vis utendaji wa serikali chini ya chama wanachokiongoza na sera zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.