Cv ya Werema kweli ndo umlinganishe na Prof Issa Shivji? Kwa masters ya Online

Tatizo lenu mnafikiri CV ndio zinafanya kazi.

CV Ni UHURU. Kwa wanazuoni, wanataaluma au ma-manju nk HUHESHIMU WALIOBOBEA KATIKA. Nidhambi kwa mwanataaluma kumkashifu aliyebobea. Nadhani serikali inanafasi katika kurekebisha ujinga Hulu.
 
Werema si boom tu. Hata anavyojibu hoja unajuwa kuwa huyu mtu sio makini.

Zomba,

Jana in one of my replies niliwaambia kwamba Werema ni mtoto aliyekulia kwenye system. Nilikwenda mbali nkasema alipata ujaji kwa rushwa ya Ngono I dont know if you all understood what I meant.

Before Kikwete came into power in one of the most corrupt elections in Tanzania using the EPA funds, Werema was just nothing.

Alipewa Ujaji na Kikwete in 2007 ni Kati ya non performing / lawyers who were appointed to become judges. Wengi walikuwa ni waiislam but the Weremas were just picked to compliment the dubious appointments. It is a shame on the Juduciary ni pamoja na Yule judge wa Arusha wa kesi ya Lema. Waliopewa wengi ni wanawake as gender balancing of course na mahusiano ya kindugu putting competence aside.

The bottom line is that it's a crime to compare him with Tundu Lisu or even the powerful scholar and respected Professor Issa Shivji tafuteni a new thread just close this one.
 
siku nikikashfu usomi wa shivji nitajinyonga kwa kamba hadi kufa...i advise empty- headed weremavi to do the same
 
Prof shivji si muislam pekee aliyesoma sheria! Kwa hiyo waislam hawatochaguliwa kadhi acha pumba! Tuna madaktar na mapr wengi sana! Dharau zimewazid mno! Tunao shivj wengi ! Fanyeni utafiti mtajua ukweli!
 
Jamani werema ni hewa maana mkimwita kilaza mnampa cheo,maana naona anaiza sura tu.Ila sababu kubwa ni huyo kaka yenu maana anajaribu kulipa fadhila,ushikaji umezidi. Mimi nimesomea chini ya mwembe ila jamaa akaushe asirudie tena. Wanateuliwa hovyo kuongeza idadi ya wapiga makofi akipita,hivi hiyo post inamatatizo ganii wandugu maana hata jirani yetu wa Bariadi Mashariki naye alikuwa Pumba. Ila naamini ipo siku Mjomba wa Korogwe Mjini naye atapewa hiyo post ili kulipa fadhila ya kutoa Dawa ya kuchakachua kura zetu.
 
Mtu yoyote anayenyoa moustache kwa hiyo design ya Hitler Kama Werema aivyonyoa huwa ni hatari sana na fikra zao..chunguza hilo.
 
Yaani kwa ufupi BOYA WEREMA anaingia MLIMANI tayari SHIVJI NI ASSOCIATE PROFESSOR..., NA BILA SHAKA KAFUNDISHWA NAE ....
 
Mmoja ni Prof mwingine ndio ana postgraduate Certicates, wapi na wapi? Mmoja ni International academic figure, mwingine publications za RUCO. Hivi RUCO kuna Ma Prof kweli?
 
Kumlinganisha Werema na Prof. SHIVJI ni sawa kuifananisha Team ya Barcelona na Lipuli. Alichojaliwa Werema ni matusi na kejeli kwa Tundu Lissu, lakini you can't compare with them. Tundu ni MOTO wa kuotea mbali, hata kikwete analijua hilo.
 
Back
Top Bottom