CV ya Waziri Lucy Nkya

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
HII NDO CV YA MADAM LUCY NKYA, ANAONEKANA AMEENDA SHULE NA EXPERIENCE LAKINI MAMBO ANAYOYAFANYA HAYAENDANI NA HIVI.......

GENERAL

SalutationHonourableMember picture
1207.jpg
First Name: Dr. Lucy
Middle Name: Sawere
Last Name:Nkya
Member Type:Special Seat
Constituent: No consituency
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 9083, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 754 304 385/+255 787 304 385
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: lnkya@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start date:
End date:
Date of Birth 10 October 1952
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
University of NairobiM.Medicine (Psychiatry)19851988MASTERS DEGREE
University of NairobiM. (Public Health)19881990MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam(Muhimbili Medical School)B (Medicine)19761980GRADUATE
Cluj - Napoca Medical School, RomaniaMedical Course19731976CERTIFICATE
Kilakala Girls' Secondary SchoolA-Level Education19711972HIGH SCHOOL
Weruweru Secondary SchoolO-Level Education19671970SECONDARY
St. Mary's Upper Primary SchoolPrimary Education19641966PRIMARY
Wereni Primary SchoolPrimary Education19601963PRIMARY
Institute od TB & Leprosy Control, JapanMedical Course19831983CERTIFICATE
School Without Walls, University of ZimbabweMedical Course19911991CERTIFICATE
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
Ministry of Health and Social WelfareDeputy Minister2010Todate
The Parliament of TanzaniaMember - Morogoro South-West Constituency20102015
SUA-Department of DSIPart time Lecturer20052005
Ministry of Community Development, Gender and ChildrenDeputy Minister2/13/20082010
Union of Women of Tanzania-UWTDistrict Chairman1998-
Regional SWW-Consultant for SATCountry Co-coordinator(part time)19942001
Faraja Trust FundDirector19932000
Ministry of HealthSenior Medical Officer19801993
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of National Executive Committee2002
CCM-Chama Cha MapinduziMember of UWT Council1999Todate
CCM-Chama Cha MapinduziMember of National Executive Council1998Todate
CCM-Chama Cha MapinduziMember of UWT Committee19931998
PUBLICATIONS
Description Published Date
Public Health journal, Morogoro 1995
Faraja Newsletter, twice per month2007
Dar es Salam Medical Journal, Dar es Salaam1977
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list
 
JK can not succumb to pressure from doctors to drop such a savvy public servant. Their demand for amelioration of working conditions sounds relevant but calling upon presidential appointees' resignation is nothing short of insurbodination.

Japokuwa umetamka kwa maneno mazuri, ukweli ni kwamba uhai wa raia masikini ni bora kuliko Dr Nkya! Ukweli ni kwamba hawa mawaziri hawawezi kusimamia wasichokubaliana nacho tokea mwanzoni!
Wakae pembeni ili hili lipite kwa usalama!
 
JK can not succumb to pressure from doctors to drop such a savvy public servant. Their demand for amelioration of working conditions sounds relevant but calling upon presidential appointees' resignation is nothing short of insurbodination.

He'd rather see few Tanzanians die than drop 'such a savvy public servant' are you out of your mind??
 
Kuna mambo yananitatiza kwenye hii CV
Moja.... Kuteuliwa kwenye viti maalum and then naibu waziri ( hii haiji labda kama alipewa huo uviti maalum ili aweze kupewa ulaji wa unaibu waziri, na kama hii ni kweli ina maana kuna mkono wa mtu hapo! Haiwezekani rais from no where aanze mteua mtu kwenye viti maalum na kumweka kwenye unaibu waziri kama hamfahamu, hapa ina maana rais anafahamiana na huyu na ndio maana inakuwa ngumu kuchukua maamuzi dhidi yake.

Ukiangalia vizuri kwenye elimu yake toka 1985 mpaka 1991, yeye alikuwa anafululiza kwenda kusoma tu tena nje ya nchi! Je alikuwa anajilipia au alikuwa analipiwa na serikali? Haiingii akilini mtu aunganishe degree baada ya degree pasipo hata kuja kupractice alichosomea mwanzo( nina imani tukichimba zaidi hapa tutaona kuna walakini kwenye huku kusoma huku).
 
JK can not succumb to pressure from doctors to drop such a savvy public servant. Their demand for amelioration of working conditions sounds relevant but calling upon presidential appointees' resignation is nothing short of insurbodination.
We have to get used to the democratic way of ruling. What weighs much heavier than the other, is it the President's interest or peoples' interest. Yes, Dr. Nkya's CV is good but it is useless if she does not perform as it happens now. So, what should people do? Definitely, demand a replacement whether by the appointing authority in this case the president or by deliberate resignation.
 
Kwa kiwango chake cha elimu mbona kama si tamaa ya pesa angekuwa wodini akitibu wangojwa badala ya kupiga siasa za maangamizi na sanaa. Big girl, go and save life instead of being abused by stupid politicians. Binti, achana na siasa za ubabaishaji ulinde heshima ya taaluma yako.
 
Inalipa!
 
nadhani kuna shida naa hiyo CV, si current, maana ninamfahamu huyu mama na nimebahatika kufanya nae kazi na kufika hata jimboni kwake, ni mbunge wa kuteuliwa na si mbunge wa viti maalum. Pia, huyu mama aliwahi kuwa naibu waiziri jinsia na watoto wakti magreth sita akiwa waziri wake. Ni mchapakazi na asiyeyumbishwa, tatizo lililotokea wizara ya afya ni kwa sababu alikuwa mislead na blandina nyoni pamoja na mtasiwa, itakumbuka kuwa yeye na wairi wake ni wageni kabisa kwenye wizara hiyo. Lakini kutokana na collective responsibility haina jinsi inabidi wawajibike kwa kujiuzulu lakini si kwamba ni mzembe, mchapa kazi mzuri sana sana, huwezi kumlinganisha na wanawake mawaziri kama sofia simba, magreth sitta, n.k, nyoni na mtasiwa imemgarimu. Ikumbukwe kuwa kuna viti vingi sana pale wizarani huyu mama akiwa na data alikuwa anamtolea nje nyoni.

Tena angefaa kuwa Milembe akiwahudumia wale jamaa zetu!
 
Kuna haja ya semina elekezi kwa MPs on how to write their CVs.
Hakuna mpangilio wa maana, miaka inakwenda mbele na kurudi nyuma.
This is a shame.

You are right! Even me I went through it with difficulties. There is no chronological presentation of experience and education.
 
JK can not succumb to pressure from doctors to drop such a savvy public servant. Their demand for amelioration of working conditions sounds relevant but calling upon presidential appointees' resignation is nothing short of insurbodination.

It is a question of incompetency by the minister to handle the situation. Unfortunately incompetency can be seen by many people not only the employer. Unfortunately again inability to deal with incompetency is incompetency in itself.
 
M.Medicine (Psychiatry).......hili ndio tatizo nadhani......maamuzi yake huyafanya kutokana na elimu hii pengine.....:lol::eyebrows::embarassed2:
 
We have to get used to the democratic way of ruling. What weighs much heavier than the other, is it the President's interest or peoples' interest. Yes, Dr. Nkya's CV is good but it is useless if she does not perform as it happens now. So, what should people do? Definitely, demand a replacement whether by the appointing authority in this case the president or by deliberate resignation.

People do not eat papers!!!! and certificates!!!!!. If one does not deliver, then papers are nothing!!! ( siongelei kujiuzulu- sina uhakika kama wana makosa!!)
 
nadhani kuna shida naa hiyo CV, si current, maana ninamfahamu huyu mama na nimebahatika kufanya nae kazi na kufika hata jimboni kwake, ni mbunge wa kuteuliwa na si mbunge wa viti maalum. Pia, huyu mama aliwahi kuwa naibu waiziri jinsia na watoto wakti magreth sita akiwa waziri wake. Ni mchapakazi na asiyeyumbishwa, tatizo lililotokea wizara ya afya ni kwa sababu alikuwa mislead na blandina nyoni pamoja na mtasiwa, itakumbuka kuwa yeye na wairi wake ni wageni kabisa kwenye wizara hiyo. Lakini kutokana na collective responsibility haina jinsi inabidi wawajibike kwa kujiuzulu lakini si kwamba ni mzembe, mchapa kazi mzuri sana sana, huwezi kumlinganisha na wanawake mawaziri kama sofia simba, magreth sitta, n.k, nyoni na mtasiwa imemgarimu. Ikumbukwe kuwa kuna viti vingi sana pale wizarani huyu mama akiwa na data alikuwa anamtolea nje nyoni.

Kama kweli ni mchapa kazi, basi ni wazi kuwa walikuwa hawaivi na katibu wake na kama walikuwa hawaivi na kupeleka ishu zao binafsi kwenye kazi tena wizara ambayo inahusika na maisha ya watu, hilo ni kosa.

BTW hivi si ni huyu mama ambaye alisemaga kuwa alienda kwa waganga wa jadi ili aupate uwaziri? Hivi kama medical personnel ana akili timamu kweli huyu?
 
Itapendeza sana kama Dr. Nkya na Dr. Mponda wakajiuzulu wao wenyewe ili kuhakikisha heshima zao zinabaki pale pale kuliko haya ambayo yanaendelea! Unajuwa ukiona hivi ujuwe watu wamechoka nao! Sasa mimi kinanishangaza sana kuona bado wanangangania hivyo vyeo. Kwa kweli nadhani kwa sasa wanaishi maisha yakutokupata usingizi kama kweli inawa-click kwenye akili zao, sababu sasa wanawakimbia hata waandishi wa habari! kama wanaendelea kukaa ofisini basi wajuwe na kuzitetea nafasi zao.Maoni:Watumie busara zao ndogo tu walizonaz kama wanazo wakae pembeni!!!!Madaktari wamechoka, wagonjwa wamechoka na wananchi tumechoka!!
 
hivi bosi ukikataliwa na subordinates kwa nini ung'ang'anie wakati unajua hawatakupa ushirikiano?!!!utamuongoza nani?it's about people's power(doctors' power)took control over incompetent power hungry politicians...JK unawang'ang'ania una deal gani nao?mbona lowassa ulimwaga?(pm)ukaunda baraza jipya..yani kwa jk ni bora watanzania 10,000 wafe lakini marafiki zake(huwa anawateua kiurafiki zaidi)wabaki kwenye ma-VX..shame on you
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom