CV ya Waziri Kiongozi wa Zanzibar

Wadau,

Hii hapa ni CV ya mheshimiwa wetu waziri kiongozi wa Zanzibar, Shams Vuai Nahodha. Nimesoma yaliyomo ndani nikajiuliza kama haya ndio mambo muhimu sana katika wasifu wake, au walioiandika (au kama ni yeye mwenyewe aliyeiandika) wamekosa mambo ya kuandika humo, ikabidi wayaandike hayo. Hasa hizi entry za July 1999 na hiyo ya May 2000 sielewi zinaingiaje kwenye CV, hebu tuelimishane hapa!

Nanyi hebu oneni mtoe maoni yenu.

CV yenyewe inapatikana kwenye link hii hapa: http://www.jakayakikwete.com/tanzania/pages/Chief-Minister ,
lakini nimeamua pia kuinakili na kuibandika hapa chini.


Chief Minister
Surname: Nahodha
Other names: Shamsi Vuai
Date of birth: 20 Nov. 1962
Place of birth: Zanzibar
Marital Status: Married
Sex: Male
Nationality: Tanzanian
Constituency: Zanzibar West District.

Academic Qualification:

1969 - 1978 Primary and Junior Secondary education at Kiongoni school in Makunduchi, Zanzibar
1969 - 1979 Ordinary level education at Ben Bella secondary school
1980 - 1984 Certificate of languages at the institute of Kiswahili and foreign languages, Zanzibar.
Area of specialisation: English, French, Kiswahili, History and Education
1984 - 1987 BA Ed at the University of Dar es Salaam.
Area of specialisation: French, History, Psychology, Educational Counselling, Educational Administration and Management.

1995 - 1996 Post-Graduate Diploma in International Relations and Diplomacy at the Centre for Foreign Relations in Dar es Salaam.
Area of specialisation: International Relations, Diplomacy, Interantional Law, Communication Skills, International Negotiation and Management of Conflict Resolution.

Professional Skills and Experience:
April - June 1984 Four months intensive French language course at the Centre of Language Training, Bujumbura University in the Central Republic of Burundi.
April - June 1986 Four months intensive French language course at the Centre of Language Training, Bujumbura University.
1988 - 1991 Producer Director of Educational Programmes at Television Zanzibar
Jan - May 1991 Certificate of General Programme production course at Radio Netherlands Training Centre.
1996 President of Students� Government at the Centre for Foreign Relations, Dar es Salaam
1997 News-Editor and Public Relations Officer respectively at the Zanzibar Department of Information
1998 Equipment organiser for Zanzibar International Film Festival
1999 Pursuing LL.B Degree course at the open University of Tanzania
May, 1999 Member of the Steering Committee of the Pan African Women Conference on Peace and Non-violence responsible for publicity and conference equipment
July, 1999 Master of Ceremony during the award presentation ceremony to mark the closure of Zanzibar International Film festival in which the chief guest of honour was His Excellency, Dr. Salmin Amour, the President of Zanzibar.
May, 2000 Host to President Benjamin W. Mkapa when he visited Hasnu Makame CCM Zealot at Mwanakwerekwe, Zanzibar.
2000 - 2005 Elected member of the House of Representatives in Mwera

Kaekwa ili atumiwe huyo...Hamna kitu hapa.
 
heee heee

nimecheka kweli, sijui labda kwa kuwa cv yake ilikuwa shallow sana ikabidi na hayo mengine abambikie.

kweli jf makini mna macho kila kona
Mi niko kati ya kicheko na kulia ,sijui mwenyewe akiisoma anajionaje?
 
April - June 1984 Four months intensive French language course at the Centre of Language Training, Bujumbura University in the''Central Republic of Burundi.''

Hii nchi haipo duniani................kuna Central Republic of Africa. Ni wazi kwamba wanasiasa wengi wana elimu ya kuungaunga



Kwanza piga hesabu tokea April hadi June kisha upate four kabla hujaenda kwenye mambo mengine
 
Ooh...Kithuku, pse tell me this is just a joke, please..! Kama ni kweli naomba uiondoe hapa- aibu tupu kama raia wa nchi za kigeni wataiona.

Hata hii pos ikiondolewa, yeye mwenyewe akiwakilisha Tanzania au Zanzibar kama kiongozi si ataendelea kujivunia kwamba alipata kuwa kiranja shule za chekechea? Tanzania tumekwisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona hiyo cv mbona ipo shallow sana, kwa elimu yake hastahil kuwa kiongoz wa ngaz ya juu kama alivokuwa
 
Hapo naona umepotoka.

Katika CV unaweka mambo yote muhimu uliyowahi kusoma au hata kuhudhuria ikiwa pamoja na weledi wako kwalo na kutokana na kitu unachotaka kuomba.



kwa hiyo wewe hata haya mambo ya msingi unayofanya hapa jf umeyaweka kwenye CV yako(kama unayo maana inaonekana hata maana ya cv ni shida kidogo kwako
 
CV ukiweka hadi u-MC wako wakati wa harusi ya rafiki yako jua moja kwa moja elimu ni ya kuunga unga tu!
 
Back
Top Bottom