CV ya Titus Mlengeya Dismas Kamani

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Wana JF

Naomba kujuzwa na kuichambua cv ya mheshimiwa waziri mteule wa Mifugo na Uvuvi, hasa Education background yake na mitazamo yake juu ya sekta hii.
 
Google utapata kila kitu ni msomi wa kiwango cha akinamwakyembe na akinamakufuli.
 
alikuwa TANAPA kama daktari wa mifugo mwandamizi katika hifadhi mbalimbali ikiwamo katavi, mikumi nk.
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1678.jpg
First Name: Dr. Titus
Middle Name: Mlengeya Dismas
Last Name:Kamani
Member Type:Constituency Member
Constituent: Busega
Political Party: CCM
Office Location: Box 457, Magu, Mwanza
Office Phone: +255 754 302133/+255 784 302133
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: tkamani@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 14 November 1957
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Reading University, United KingdomMSc.19931994MASTERS DEGREE
Sokoine University, MorogoroBSc. (Livestock)19841987GRADUATE
College of African Wildlife Management,. Mweka – TanzaniaPostGraduate (Wildlife Management)20032004POSTGRADUATE
Zimbabwe Veterinary AssociationWildlife Course1997CERTIFICATE
University of PretoriaLivestock Disease Prevention Course1997CERTIFICATE
University of Illinois, USAEnvironment Course2002CERTIFICATE
Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI)Management Course2004CERTIFICATE
Old Moshi Secondary SchoolA-Level Education19791981HIGH SCHOOL
St. Pius Seminary MakokoO-Level Education19751978SECONDARY
Mkula Primary SchoolPrimary Education19651968PRIMARY
BW/RN Middle SchoolPrimary Education19691971PRIMARY
Mkula Primary SchoolPrimary Education19741974PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
The Parliament of TanzaniaMember - Busega Constituency20102015
Tanzania National Parks (TANAPALivestock Specialist Doctor19962010
Ministry of AgricultureEpidemiologyist (HQ Dar Es Salaam)19941996
Ministry of AgricultureDoctor (Mwenge Dar Es Salaam19901993
Ministry of AgricultureLivestock Officer - Arumeru District19891990
Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI)Wildlife Research Officer19841989
Ministry of Agriculture and LivestockAssistant Livestock Officer19821984
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee (Magu)20072010
Conservation, Hotels, Domestic& Allied Workers Union -CHODAWUChairperson - Workers Party20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson - CCM Youth Union (Old Moshi )19791981
PUBLICATIONS
Description Date
Dr. T. Kamani: Serengeti III , University of Minnesota2008
Dr. T. Kamani: Wildlife Tanzania, Serengeti, Wildlife Division1997 - 2009
 
Huyu bwana inaelekea alisoma Bsc Agriculture pale SUA na hakusoma Veterinary Medicine (BVM). Kama angesoma degeree ya Veterinary nina uhakika asingeandika Bsc (Livestock). By the way mimi nimesoma SUA na hakukuwa na na degree kama hiyo sana sana angesema amesoma Bsc (Agric). Sasa sijui amekuwaje Daktari wa mifugo!!?? Bongo kila mtu ni msaanii!!
 
Huyu bwana inaelekea alisoma Bsc Agriculture pale SUA na hakusoma Veterinary Medicine (BVM). Kama angesoma degeree ya Veterinary nina uhakika asingeandika Bsc (Livestock). By the way mimi nimesoma SUA na hakukuwa na na degree kama hiyo sana sana angesema amesoma Bsc (Agric). Sasa sijui amekuwaje Daktari wa mifugo!!?? Bongo kila mtu ni msaanii!!

Sio mda mrefu utakufa na matatizo ya shinikizo la damu.
 
Jamaa mkali 1997 amesoma vyuo viwili tofauti na nchi tofauti.

Mkuu hivyo inawezekana ni vi-certificate vya course za week moja au mbili tu!! Ni certificate of Attendace. Course ya maana haiwezi kutolewa na Zimbambwe Veterinary Association. Actually ni aibu kuweka certificate kama hizi kwenye serious CV!!
 
Mkuu hivyo inawezekana ni vi-certificate vya course za week moja au mbili tu!! Ni certificate of Attendace. Course ya maana haiwezi kutolewa na Zimbambwe Veterinary Association. Actually ni aibu kuweka certificate kama hizi kwenye serious CV!!

Nimekuambia si mda mrefu utakufa na presha au utarukwa na akili. Maana unaowazidi wanafanikiwa kuliko wewe. chapa kazi acha kulia lia. Haisaidii chochote na haibadilishi kitu.
 
Back
Top Bottom