CV ya Paul Mzindakaya

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Wadau!
Mwenye cv ya huyu mtu aweke hapa maana hakika serikali imeamua ikajidhalilishe kwa kumtumia huyu jamaa maana licha ya kuwa alikuwa mkurugenzi kiwanda cha nyama ila anamaisha ya kihuni- huni, kama uvaaji wa jeans mlegezo,chain kubwa, kofia kugeuzia nyuma kama 50 cent yuko kukwaani sasa kweli kuna Dc hapa? Labda abadilike....ila kama una Cv weka hapa...,
 
ANA MASTERS DEGREE,NI MWENYEKITI WA UVCCM Sumbawanga,ni mtoto wa baba.
 
wadau!
Mwenye cv ya huyu mtu aweke hapa maana hakika serikali imeamua ikajidhalilishe kwa kumtumia huyu jamaa maana licha ya kuwa alikuwa mkurugenzi kiwanda cha nyama ila anamaisha ya kihuni- huni, kama uvaaji wa jeans mlegezo,chain kubwa, kofia kugeuzia nyuma kama 50 cent yuko kukwaani sasa kweli kuna dc hapa? Labda abadilike....ila kama una cv weka hapa...,
aaah too childish simjui ila maelezo yako unahisi matendo yako yanaweza badilisha cv yake..kama uamini njoo umwone ngeleja ama masha laurent rosegarden alafu ukaulize cv zao...wako wengi tu mtafute aliekuwa mkurugenzi wa idara moja ya ndege mfwatilie matendo yake soma cv yake..ni wakati muafaka kuleta yako kwanzza
 
Wadau!
Mwenye cv ya huyu mtu aweke hapa maana hakika serikali imeamua ikajidhalilishe kwa kumtumia huyu jamaa maana licha ya kuwa alikuwa mkurugenzi kiwanda cha nyama ila anamaisha ya kihuni- huni, kama uvaaji wa jeans mlegezo,chain kubwa, kofia kugeuzia nyuma kama 50 cent yuko kukwaani sasa kweli kuna Dc hapa? Labda abadilike....ila kama una Cv weka hapa...,

Mheshimiwa sharobaro
 
unataka avaeje?
Hao wanaovaa vizuri kukidhi yanayoujaza moyo wako ndo hao wametufikisha hapa!!
kama una ugomvi nae mkapambanie huko unakomwona akiwa mlegezo sio humu jamvini
 
Wadau!
Mwenye cv ya huyu mtu aweke hapa maana hakika serikali imeamua ikajidhalilishe kwa kumtumia huyu jamaa maana licha ya kuwa alikuwa mkurugenzi kiwanda cha nyama ila anamaisha ya kihuni- huni, kama uvaaji wa jeans mlegezo,chain kubwa, kofia kugeuzia nyuma kama 50 cent yuko kukwaani sasa kweli kuna Dc hapa? Labda abadilike....ila kama una Cv weka hapa...,

alikuchukulia kitu chako kwakuwa ulishindwa kukihudumia, acha kumjadili, chukua hatua ya kuacha uvivu ili uweze, acha kujadili watu, jadili issues
 
Kama anavaa mlegezo atakuwa anawashwa na masaburi. Kapewa kazi kiushkaji so hawajaangalia suala la maadili. But kumbuka wilayani kuna wazee wa heshima kibao na wameitumikia hii nchi kwa muda mrefu lakini watalazimika kumsujudia boss wao anayevaa mlegezo. Wapi Lisinde ammwagie matusi huyu Mzindakaya na milegezo yake
 
Weka yako kwanza,mpuuzi nini unashindwa fanya kazi unajadili watu humu,kuvaa jean ni tatizo?wangapi wanavaa tai na wameshindwa kazi
 
Doma utashambuliwa sana humu jamvini,jamaa ana washkaji wengi humu nashangaa mbona Cv za wengine mnaponda hii mnatetea.Jamaa amesoma Forest sec. morogoro enzi hizo baba Rc wa moro badaye akaingia chuo cha diplomasia Kurasini kwa ajili ya diploma,baada ya hapo alienda UK sijui alisoma/alimaliza nini huko then akarejea bongo.
 
asante mkuu
 
Si mchezo! Ila watu wanabadilika wanapopewa majukumu.. Kuna dada mmoja alikuwa mvaa "vimini" mkubwa,akateuliwa u-DC wilaya moja huko Mtwara.. Enzi hizihizi za JK.. Akabadilika kabisa! Akawa mmama wa heshima tu!
 
Wakuu hebu tuache kumpandishia DOMA. Hoja hapa ni huo uvaaji lakini la CV hilo tuliweke pembeni. Hivi itakuwaje unapomwona DC wako kavaa mlegezo mpaka masaburi yako nje? Vijana mnashobokea vitu bila hata kupima kwenda zenu huko! DOMA yuko sahihi kulalamikia uvaaji wa aina hiyo. Na hiki ki-SINDBAD BAHARIA kinagawa vyeo tu bila kuangalia! Nyamb..f za kenyewe!! Any way bado miaka 3 tuwamwage wale sana maana tukitinga magogoni tunateua wa kwetu!
 
SHAME ON U,ask urself dat silly question! kumbe unajiona ulivo **** na mjinga km unaona ni kitu kidogo ukuu wa wilaya kwanini ukaandika msg ya kipumbavu wch means imekuuma.so far i never argue wth fools n the nxt thing is 2 block u,wanaume wengne km mashoga duu!! ishi maisha yako achana na mzinda's u looser!! on top ov dat mzee wetu alishakua waziri wkt wa nyerere so if it happens akapata another fam member dat aint gonna b strange 2 our family...poleey
 
Haya ndo wanayosema dada zake Facebook kwa wananchi wanaojaribu kuhoji vigezo vya uteuzi huu
SHAME ON U,ask urself dat silly question! kumbe unajiona ulivo **** na mjinga km unaona ni kitu kidogo ukuu wa wilaya kwanini ukaandika msg ya kipumbavu wch means imekuuma.so far i never argue wth fools n the nxt thing is 2 block u,wanaume wengne km mashoga duu!! ishi maisha yako achana na mzinda's u looser!! on top ov dat mzee wetu alishakua waziri wkt wa nyerere so if it happens akapata another fam member dat aint gonna b strange 2 our family...poleey
 
SHAME ON U,ask urself dat silly question! kumbe unajiona ulivo **** na mjinga km unaona ni kitu kidogo ukuu wa wilaya kwanini ukaandika msg ya kipumbavu wch means imekuuma.so far i never argue wth fools n the nxt thing is 2 block u,wanaume wengne km mashoga duu!! ishi maisha yako achana na mzinda's u looser!! on top ov dat mzee wetu alishakua waziri wkt wa nyerere so if it happens akapata another fam member dat aint gonna b strange 2 our family...poleey
duh!! kazi ipo!
 
DOMA mi niliuliza Huyu jamaa ni mtoto wa mzindakaya watu walitoka mapovu.

Maji hufuata Mkondo
Mkondo haufati maji
Bendera hufata Upepo
Upepo haufati upepo
 
Back
Top Bottom