CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

Status
Not open for further replies.
Waziri ni "political post" na si "technical post" ninavyofahamu (I stand to be corrected)

Pale wizarani kuna PS, huyo ndo anapaswa kuwa mtaalamu. Waziri ni kisiasa zaidi, hata kama hana background ya wizara anayosimamia. Sasa kama huyu ana bahati ya kuwa "mwalimu" na background ya admin, anatosheleza.
Correct
 
Ufisadi umeshamiri hapa nchini kwa sababu ya watanzani wengi kuthamini makaratasi yaani vyeti badala ya kutazama utendaji wa mtu, binafsi ujasiri alioonyesha huyu bawana kurejesha mtihani wa kidato cha pili ambao ulifutwa hivi karibuni ili kukidhi matarajio ya kisiasa ya ccm ni uthibitisho kuwa hutu bwana anfaa kabisa kusimamia sekta ya elimu hapa nchini.
 
Kaazi kweli kweli...nashukuru Open University imeongezea kiwango vinginevyo si mchezo
 
Kutoka Ualimu wa Sekondari, tena kishule chenyewe Cha kata hadi unaibu waziri mkuu. Tena kwenye Wizara nyeti ya elimu.. Ama kweli watanzania tunaongozwa na zuzu! Hivi hatumii akili. Huyo jamaa hata ualimu mkuu mimi simpi!
 
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :

First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe


EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Songwe Constituency 2010 2015
Southern Highland Secondary School School Managing Director 2008 2010
Southern Highland Secondary School Administrative & Personnel Officer 2005 2010
Southern Highland Secondary School Teacher 2000 2004
POLITICAL
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary General - Mbeya Region (Parents) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - Chunya District Political Committee 2007

Tunao mfahamu
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY Div Three
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL Div Four
 
Hili ni tatizo la mamlaka ya uteuzi, ambayo ni Rais JK...yeye huteua hata wasiokuwa na sifa za kuongoza hiyo wizara. Ukweli ni kwamba huyu Naibu Waziri hana vigezo mtambuka kuelewa upana wa kinachotakiwa kufanyika ili kuendeleza jitihada za kuelimisha watu. Fadhila siku zote haiangalii unalipaje, kinachotakiwa ni kutoa nafasi tu kwa yule unayeamini unamlipa fadhila kwa alichokutendea siku za nyuma.

Hali hii itabidi ikome wakati wa uandishi wa katiba mpya, hakuna haja ya kuwa na Rais anayeteua kwa fadhila, ushwahiba na pasipo kuthibitishwa na chombo (for checks and balances purposes) chochote cha juu. Huu utaratibu ukome kabisa, kwani huyu Rais wetu anaonekana hana busara ktk uteuzi wake, tazameni wateule wake wote ktk ubalozi, ukuu wa mikoa/wilaya n.k ni kwa marafiki na walioshindwa ktk chaguzi za ndani.

Mwisho wa upuuzi wa uteuzi wake upo karibu sana.....!!

Mungu Ibariki Tanzania.

Mwenzetu unaamini kuwa itakuja katiba better than hii iliyopo, personally i do not believe, for some very good reasons.
 
Tunao mfahamu
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY Div Three
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL Div Four

Kwani hao waliopata Div I wantusaidia nini kama sio ufisadi mtupu?
 
Kuna:-
1.Dr Shukuru Kawambwa
2.Prof Jumanne Magembe
3.Prof Juma Kabuya
Hao wote CV zao za kueshimika kuliko huyo jamaa, ila angalia Wizara ya Elimu walivyoziongoza?!
 
Bado safari yetu Ndefu kiukweli Mlugo nafasi ya Unaibu iko juu sana kwa Uwezo wake! Ni kama vilaza hawa eti ni Wabunge Mr Sugu-Form 4 Mbunge wa Mbeya Mjini,Godbless Lema -form 4 Mbunge Arusha Mjini! Yani form 4 failure anaongoza jimbo!

2015 -Afande Sele Moro.
 
Tatizo la Mulugo siyo elimu ya kuunga unga bali ni uwezo mdogo wa kuongoza. Na siyo Mulugo tu,wapo wengi tu huko serikalini. Wiki iliyopita tumeona uongozi mbovu ktk wizara ya Afya ukishindwa kutumia busara ya uongozi wanatumia mabavu kutatua tatizo ambalo lingemalizwa kwa kutumia hekima na busara tu za viongozi.
 
Huyu waziri alipokuwa headmaster southern hilghlands, alivujisha mitihani ya kidato cha nne hadi akatiwa ndani na polisi na wanafunzi wote kufutiwa matokeo mwaka huo......
Nikashangaa sana eti kawa waziri...
 
Mi nafikiri aliyefanya uteuzi alifikiri bila kufikiri na hayo ndo matatizo yake.
 
Jamani najua humu JF kuna watu wa makundi mengi kuanzia viongozi wa serikali, TISS, wana siasa na wana harakati. Hizi taarifa tunazozipata kwenye thread hii zinatosha kujenga hoja na kumshauri JK atengue maamuzi yake. Ukiacha tatizo la kisomo ambalo baadhi wanasema uwaziri siyo profession lakini intergrity ya Philip Mulugo ni highly questionable. Angeweza kuwa hata full minister wa Kilimo au Madini tungeelewa, lakini kwenye elimu tunajitayarishia time bomb. Please wanaharakati na TISS fanyeni kitu musipuuze thread hii, kwani inaathiri mpaka watoto wenu.
 
Sasa anarusha mawe kivipi?Mbona jambo liko wazi kabisa?Kama alianza STD1 mwaka 1982 angemaliza std 7 mwaka 1988 na si 1989!Kama huamini tumia vidole kukokotoa hesabu.

jamani ni mtoto wa mkulima na alikuwa hana uwezo wa kwenda private school ndio maana akakariri yaani alipo maliza darasa la saba 1988 akakarudi darasa la saba mwaka uliofuata shule nyingine ndio akafaulu kwenda mbeya day hostel. angalia msingi kasoma shule mbili
 
kuna habari niliipata kuwa huyo jamaa alitaga form six na w
hii habari ni ya ukweli maana aliyesema ni mtu aliyesoma naye a-level ndo maana cv haina muunganiko mzuri
Kuna mtu kasema alipata div four aliponea chupuchupu kutaga (kayai) ila hizo kashfa za kufungiwa kwa ajili ya wizi wa mitihani kweli inatisha ndio maana kila mtu anataka kugombea urais kupitia ccm maana Tz kila kitu kinawezekana.
 
Jamani najua humu JF kuna watu wa makundi mengi kuanzia viongozi wa serikali, TISS, wana siasa na wana harakati. Hizi taarifa tunazozipata kwenye thread hii zinatosha kujenga hoja na kumshauri JK atengue maamuzi yake. Ukiacha tatizo la kisomo ambalo baadhi wanasema uwaziri siyo profession lakini intergrity ya Philip Mulugo ni highly questionable. Angeweza kuwa hata full minister wa Kilimo au Madini tungeelewa, lakini kwenye elimu tunajitayarishia time bomb. Please wanaharakati na TISS fanyeni kitu musipuuze thread hii, kwani inaathiri mpaka watoto wenu.

hao TISS unaowataja ndio walimpigia simu akiwa iringa na alikuwa anaelekea mbeya kwa hiyo walishamchunguza na wakaona anawafaa, na isitoshe jamani uwaziri unagaiwa kulingana na mikoa! ndio maana mwakyusa alidropiwa akaingia mwakyembe na mulugo aliingia baada ya yule mbunge wa mbozi aliekuwa waziri kushindwa jimbo na chadema. sasa inambidi rais ateue kwenye wabunge wa ccm waliobaki

haya mambo ya ratio na usawa yanaliumiza sana taifa mfano utitili wa wazanzibar pale juu umkimtoa kikwete!
 
nadhani hatuhitaji cv nzito suala hapa anatekeleza kazi zake ipasavyo anasimamia majukumu yake.hao waliotangulia mbona wametufikisha pabaya.kama mmekosa la kungea bora kukaa kimya.
 
Yaani from Southern Highland Private High School to Depute Minister who oversees the whole country!!! Watu wengine wanazaliwa na bahati kweli kweli.
 
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :

First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe


EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS

Degree miaka 6



Ndiyo miaka sita kwa open University ni sawa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom