Baba Dorcas
Member
- Jan 15, 2012
- 83
- 5
Naomba na ile CV ya Shukran Kawambwa, nahs yenywe ndo funny zaid! Hongera JK kwa kufaulu kuingza siasa kwny sekta ya Elimu! Duh!
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :
First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe
EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Songwe Constituency 2010 2015
Southern Highland Secondary School School Managing Director 2008 2010
Southern Highland Secondary School Administrative & Personnel Officer 2005 2010
Southern Highland Secondary School Teacher 2000 2004
POLITICAL
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary General - Mbeya Region (Parents) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - Chunya District Political Committee 2007
Yaani wanaomtetea Mulugo na CV yake wanafanana na mtu anayejaribu kubeba gunia la misumari. Nakubaliana na huyo aliyesema kuwa huyu bwana alifadhili safari za Riz1 wakati wa kutafuta wadhamini wa mgombea wa Uraisi wa baba yake, hivyo hiyo ni fadhila za kazi aliyofanya.
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :
First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe
EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Songwe Constituency 2010 2015
Southern Highland Secondary School School Managing Director 2008 2010
Southern Highland Secondary School Administrative & Personnel Officer 2005 2010
Southern Highland Secondary School Teacher 2000 2004
POLITICAL
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary General - Mbeya Region (Parents) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - Chunya District Political Committee 2007
Naomba na ile CV ya Shukran Kawambwa, nahs yenywe ndo funny zaid! Hongera JK kwa kufaulu kuingza siasa kwny sekta ya Elimu! Duh!
Waziri ni "political post" na si "technical post" ninavyofahamu (I stand to be corrected)
Pale wizarani kuna PS, huyo ndo anapaswa kuwa mtaalamu. Waziri ni kisiasa zaidi, hata kama hana background ya wizara anayosimamia. Sasa kama huyu ana bahati ya kuwa "mwalimu" na background ya admin, anatosheleza.
Kwa kuweka kumbukumbu sawa huyu jamaa yenu (Mulugo) akiwa administrator shule yake iliwahi kufungiwa kuwa kituo cha mitihani na NECTA kwa miaka mitatu baada ya kupatikana na hatia ya kuibia wanafunzi wake mitihani.
kama ni kwel bac nchi sasa itakombolewa soon maana kila kukiacha siri zote zinbnikwa peupe. Na bado hii ni adhabu ya hapa duniani bado yenyewe.Ndugu yangu wee! Kuna tetesi kuwa alighalamia safari zote za mkoa wa Mbeya wakati Rizi- One alipomkampenia Mkulu kurudi ikulu kwa mara ya pili. Kama tetesi hizi ni za kweli, basi mkono wa Rizi- One umo katika uteuzi wa Mh Mulugo!
. . . . .. . .Ni kama vilaza hawa eti ni Wabunge Mr Sugu-Form 4 Mbunge wa Mbeya Mjini,Godbless Lema -form 4 Mbunge Arusha Mjini! Yani form 4 failure anaongoza jimbo!
........mkuu hesabu hii haihitaji hata kutumia magazijuto, anyway, alitakiwa amalize primaty education mwaka 1988.Unarusha mawe wakati upo kwenye nyumba ya vioo! Kama ulianza darasa la kwanza 1982 unatakiwa kumaliza darasa la saba mwaka gani?