CV ya Mheshimiwa Waziri wa Afya anayesubiri kujiuzuru hivi karibuni

Lakini wakuu nimeona amesoma kitu kinaitwa graduate pale mzumbe. Ni programme gani hiyo? Duh
 
Wanaotuangusha nchi hii ni wasomi wenye viburi na wanaoamini kuwa wao ni kila kitu. Nakushukuru Dokta kwa kuchagua kusema ya moyoni pamoja na ukweli kuwa utaandamwa na kuhatarisha nafasi yako ya kisiasa. Uzuri wa kuwa na elimu kama yako ni kuwa siasa si mwisho wa maisha yako na unaweza kuendelea na maisha nje ya siasa tena mazuri zaidi. Na hapa ndipo penye tatizo, wanasiasa wanaohofia kupoteza nafasi zao na kuchagua unafiki penye ukweli.
 
Back
Top Bottom