Wanajf naomba mwenye cv ya mbunge wa jimbo la Dodoma mjini aiweke hapa. Nimejitahidi sana kufatilia utendaji wake pamoja na uwepo wake na uchangiaji bungeni ni utata mtupu. Naombeni cv yake mengine nitasema baada ya kupata cv yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.