CV ya KOVA!!

Ashakum si matusi, Kama Kova angekuwa ni mwalimu tungemwita mwalimu wa upe.
 
Kova ni kamanda madhubuti kabisa anaaminika na hawezi kufanya kazi kwa matakwa ya watu bali sheria ,kanuni na taratibu za kazi ndio muongozo wake. Kamanda endelea kwani kamamda bora na mtendaji huwa hapendwi na ndio maana tunasemaga kamanda mnoko na kamanda poa usikubali kuitwa kamanda poa bora uitwe kamanda mnoko lakini unafuata sheria, kanuni na taratibu za kazi usiwe na upendeleo wala huruma kwa watu.

GANGSTAR upo kwenye kundi la watekaji wa Kenya waliotajwa na Kova nini?
 
Kova hana makosa ila yeye anatumika kama rubber stamp tu.Ulisha ona wapi mtu akabishana na Tv set yake !! anawekewa maneno mdomoni ya kusema, simply kuna mtu ana remote control inayomuongoza kamanda wenu kufanya maamuzi.Waweza kuta ana Elimu nzuri tu ya kawaida kulingana na wakati wake ,lakini Je anafanya maamuzi kulingana na elimu yake au anaisaliti hiyo proffessional yake?Mbona akina KOVA tunao wengi hapa nchini sishangai hili
 
kenya haitakubali raia wake azushiwe na kulichafua taifa la kenya...bunge lao lipo makini lipo tayari kumuondoa ata waziri mkuu wao kwa ishu km hii....yani tanzania haina pakutokea kwanza marumbano yameanza wenyewe kwa wenyewe mcungaji anasema hiki police anasema kile...tutegemee nini zaidi?
 
Napita, ntarudi CV ikibandikwa hapa ya huyu kilaza anayefanya kazi na vyombo vya habari badala ya kwenda field mwenyewe.
 
Back
Top Bottom