CV ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustine Ramadhani

Ranks of Commissioned Officers in Tanzania Armed Forces: Second Lieutenant, Lieutenant, Captain, Major, Lieutenant Colonel, Colonel, Brigadier General, Major General, Lieutenant General, General.

For Tanzania Prisons and Police.

Assistant Inspector,Inspector, Assistant Superintendent(ASP), Superintendent(SP), Senior Superintendent(SSP), Assistant Commissioner(ACP), Senior Assistant Commissioner(SACP), Deputy Commissioner(DCP), Commissioner(CP)

CGP (Commissioner General of Prisons),IGP (Inspector General of Police)
 
ccm wanajitekenya wanazani watu kwa sasa wanataka cv ya mtu kama ingekuwa hivyo lema asinge kuwa mbunge kwenye jiji lenye wasomi kama arusha,tunamtaka mtu mwenye uwezo wa kututoa kulipo na kutupeleka tumapotaka kwenda na awe msafi na tukubali uchapa kazi wake,MAGUFULI basi vinginevyo waachie ukawa ikulu,
 
..Magufuli siyo msafi.

..ana kashfa ya kuuza nyumba za serikali bila kuzingatia maslahi ya nchi.

..pia ni mkurupukaji, mjuaji, na asiyeshaurika.
 
..Magufuli siyo msafi.

..ana kashfa ya kuuza nyumba za serikali bila kuzingatia maslahi ya nchi.

..pia ni mkurupukaji, mjuaji, na asiyeshaurika.

Umesahau ni mwizi na hana maadili ya ndoa ..ana vimada kila kona ..
 
Unatisha. Unapofikia mahala pa kuibeza shule, hakika unanitisha. Shule ni kila kitu, hata angalikuwa hana shule ya maana hakuna mtu angalimteua uteuzi alioupata. Wanachozungumzia wadau wana jf; ni kuwa baada ya kupata kashahada kamoja na uteuzi juu kuna vitu vingi tu amekosa kitaaluma pengine ni royalty kwa wakubwa iliyomfanya ateuliwe lakini siyo academic issue wenye kuabudu kwenye royalty atamheshimu, lakini wenye kuheshimu shule watamponda, hana siyo wanamuonea ndiyo ukweli. Kwa kuangalia popularity ni sawa mbona hata JK ana ka degree kamoja lakini si ametawala watu wenye madegree yao mengi tu, lakini tunazungumzia shule hierarchy siyo blabla
mtu anaweza kuwa hajasoma kivileee,ila akili na experiance yake maishani ndivo vvya msingi
madegree nini bwana?ni kuklemu tu sometimes (sio wakati wote)
nimeipenda CV yake
 
quote_icon.png
By Rweye
Kweli huyu jamaa ni mkonomtupu, matusi tu ndo kipaji chako. Mzee wenu alishindwa kuisimamia mahakama mpaka ikawa taasisi inayoongoza kwa Rushwa ndo ataiweza kwenye level ya Taifa? atwambie wahanga wanyonge waliopoteza haki zao kwasababu ya Rushwa iliyostawi wakati wa uongozi wake atawalipa nini?

:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:imbecile again at work

Yule jaji anaegombea ukubwa alijiunga lini na chama? Je tuchukulie na huyu jaji wa tume hii ya na niihii inawezekena nae ni mwanachama wa chama?
 
Hiyo CV kwenye bandiko la kwanza nadhani haijakamilika. Maana sioni wakati alipojiunga na chama ma cha TANU ama CCM.
 
wewe kweli kilaza
Hio si historia ya mtu kama zile za maibani

Kwa ulimwengu huu wa karne ya sayansi na teknologia nataraji cv iwe ina vitu tofauti ambavyo sio masimulizi, mie nlijua ntakutana na mihimili aliyoisimamia kuhakikisha nchi inasonga mbele au miradi aliyoibuni ambayo inasaidia watanzania mpaka sasa na kuendelea...

Aghr....

CV ya Judge Ramadhani Mwaka 2010

Nimezaliwa Desemba 28, mwaka 1945 Zanzibar mjini nikiwa ni mtoto wa pili kati ya watoto wanane, wa kike wanne na wanaume wanne. Ni Mkristo wa dhehebu la Anglikana.-

Nimesoma shule mbalimbali za msingi Mpwapwa mkoani Dodoma 1952 -1953 nikaenda Town School-Tabora nikasoma darasa la tatu hadi la nne mwaka 1954-1956 na darasa la sita na saba nilisoma Kazel Hill sasa inatwa Shule ya Msingi Itetemia mwaka 1957-1958. Na darasa la nane tu mwaka 1959 nikarudi kusoma Mpwawa.

Mwaka 1960-1965 nilijiunga na Tabora School kwa ajili ya masomo ya kidato cha kwanza hadi cha sita. Kwakuwa nilifaulu nilichaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1966, na nilisoma shahada yangu ya Sheria na ilipofika Machi 1970 nilihitimu masomo.
Na mwishoni mwa Machi mwaka huo huo wa 1970 nikajiunga na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), niliingia jeshini kama mwanasheria raia mpaka kipindi cha mafunzo ya kijeshi nikaenda kwenye mafunzo na kisha nikarudi kuitumikia JWTZ.

Ilipofika mwaka 1971 nikapewa kamisheni kambi ya Mgulani nikawa Luteni (nyota mbili). Nikaendelea na jeshi hadi mwaka 1977, nikahamishiwa Brigedi ya Faru-Tabora nikiwa na cheo cha Meja.

Sasa mwaka 1978, wewe mwandishi ulikuwa hujazaliwa, ndiyo mzee Aboud Jumbe Mwinyi, wakati huo akiwa ni rais akaniita Zanzibar na kuniteua kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar na kipindi hicho Mwanasheria Mkuu wa Serikali alikuwa ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva.

Aidha Oktoba 1978 niliteuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar. Na ilipofika Machi 1979 nilirudishwa JWTZ na baada ya muda mfupi nikapelekwa kwenye vita ya Uganda , nikiwa na cheo cha Luteni Kanali na kwenye vita hiyo nilikuwa naendesha mahakama za kijeshi.

Vita ilipokwisha nikarudi Zanzibar. Januari 8 mwaka 1980 nikaapishwa kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar, wakati huo nikiwa na cheo cha Luteni Kanali. Nikaendelea na Ujaji Mkuu Zanzibar hadi Septemba 1989 alipoapishwa Jaji Mkuu Zanzibar Hamid Mahamod Hamid.

Hata hivyo Juni 23 mwaka 1989 niliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania hadi mapema wiki hii nilivyoteuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.

Nilipoteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani hapa Bara ndiyo sababu ya kuacha ujaji Mkuu Zanzibar.
Januari 1993 niliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na niliendelea na nafasi hiyo hadi Januari 2003 na Oktoba 2002 niliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ambapo kipindi changu cha miaka mitano katika tume ZEC kinamalizika Oktoba mwaka huu.

Novemba 2001, niliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki nafasi ambayo natakiwa nimalize kipindi changu cha miaka sita Novemba mwaka huu.

Nina mke mmoja ambaye Mungu ametujalia tumebahatika kupata watoto wanne, wawili ni wasichana na wawili ni wavulana.

Mtoto wangu wa kwanza anaitwa Francis (30) huyu ni mwanasheria na anafanyakazi ya uwakili Manchester, Uingereza, Brigeth, huyu ana shahada ya Uandishi wa Habari na anafanyakazi ICAP hapa nchini, Marina ni mfamasia, yuko Liverpool, Uingereza na Mathew naye ni mfamasia, anafanya kazi Liverpool.”
 
ccm wanajitekenya wanazani watu kwa sasa wanataka cv ya mtu kama ingekuwa hivyo lema asinge kuwa mbunge kwenye jiji lenye wasomi kama arusha,tunamtaka mtu mwenye uwezo wa kututoa kulipo na kutupeleka tumapotaka kwenda na awe msafi na tukubali uchapa kazi wake,MAGUFULI basi vinginevyo waachie ukawa ikulu,

Makongoro ndo pekee wa kusema na akakemea hata maskini na wanyonge wa nchi hii wakamuelewa.
 
wewe kweli kilaza
Hio si historia ya mtu kama zile za maibani

Kwa ulimwengu huu wa karne ya sayansi na teknologia nataraji cv iwe ina vitu tofauti ambavyo sio masimulizi, mie nlijua ntakutana na mihimili aliyoisimamia kuhakikisha nchi inasonga mbele au miradi aliyoibuni ambayo inasaidia watanzania mpaka sasa na kuendelea...

Aghr....

Ndugu yangu hawa jamaa ni weupe mno ..wao kupata wanafikiri sie tunapumbazwa na CV ndefu isiyo na mantiki, tumewaambia huyu jamaa ni docile na hana uwezo wa kutusaidia katika ajenda yetu namba moja ya rushwa na ufisadi, huyu hawezi.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
quote_icon.png
By Rweye
Kweli huyu jamaa ni mkonomtupu, matusi tu ndo kipaji chako. Mzee wenu alishindwa kuisimamia mahakama mpaka ikawa taasisi inayoongoza kwa Rushwa ndo ataiweza kwenye level ya Taifa? atwambie wahanga wanyonge waliopoteza haki zao kwasababu ya Rushwa iliyostawi wakati wa uongozi wake atawalipa nini?

:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:imbecile again at work

Mpelekeni seminari akahudumie kondoo ama kama unampenda basi mwombe awe babaako
 
Wakuu nilikuwa naomba kama kuna mtu mwenye CV ya huyu bwana amwage hapa. Education and work experience ndo vya maana zaidi. Mambo mengine ni ya ziada! Natanguliza shukrani.

mbona sijasikia kuhusu uchungaji wake alitumikia kwa muda gani kanisa anglikan
 
kila mmoja anao uhuru wa kuchagua kile akipendacho!!! nina imani kuna watakao ona mzeeA/mkulima wa kigoma ama jaji na wengineo.CCM ni wakati wenu wa kuchambua mtu wenu bora.
 
Kama CV ya vitabu undo inampa MTU nafasi basi Lema hasinge Kuwa mbunge wa jiji kama arusha lenye wasomi wengi watu wengi wanamtaka mtu wanaemfaamu kwa uchapa kazi sio cV yake
 
  • [*]Send PM

    [*]
    user-offline.png
    Rweye

    22nd June 2015 11:41
    #94
    JF Senior Expert Member Array

    Join Date : 16th March 2011
    Posts : 6,309
    Rep Power : 1785
    Likes Received1348
    Likes Given0

    [h=2]
    icon1.png
    [/h]
    quote_icon.png
    By mkonomtupu
    quote_icon.png
    By Rweye
    Kweli huyu jamaa ni mkonomtupu, matusi tu ndo kipaji chako. Mzee wenu alishindwa kuisimamia mahakama mpaka ikawa taasisi inayoongoza kwa Rushwa ndo ataiweza kwenye level ya Taifa? atwambie wahanga wanyonge waliopoteza haki zao kwasababu ya Rushwa iliyostawi wakati wa uongozi wake atawalipa nini?

    :majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:imbecile again at work

    Mpelekeni seminari akahudumie kondoo ama kama unampenda basi mwombe awe babaako

    sibishani na wajinga a.k.a punguani wa Kihaya. Njoo Kilimanjaro uone maendeleo.

Back
Top Bottom